Mfahamu Jokate Mwegelo (Kidoti); Kuzaliwa Marekani, Urembo, kipanga darasani, Mapenzi, Siasa

Hadi sasa hamjagundua huyu Binti ni mshindi
Walisema mgumba leo ana mimba
Mnaseama ndoa subirini mje onyeshwa cheti , mtapoteana ng'ombe nyie

Binafsi am very happy for her na Freddy
U can tell VunjaBei loves her
 
Binti mrembo, mzuri wa umbo na sura, mwenye elimu plus exposure na kipaji hasa cha kuongea kwa kujiamini lakini...anaishia kuchezewa chezewa na wanaume hovyo hovyo. Binti haoleki, sasa hivi eti kajazwa mimba kabla ya ndoa. Halafu eti unasema ni mcha MUNGU? Hizi ndio tabia za wacha MUNGU?? Seriously!!!

Anyways, lakini, huyu binti inaonekana ako na shida fulani. Licha ya uzuri, bashasha, elimu, kipaji, exposure na umaarufu lakini wahuni wamemchezea na kumwacha. Wote waliokula, wamekula na kuacha. Siyo ajabu akaishia kuwa "single mother".

Ukiona hivyo, sio bure, ipo shida.
 
Mkuu sky soldier , kwanza asante kwa uandishi huu!, wewe ni bonge la mwandishi!. Hii ni biography kabisa!.

Mimi binafsi Jokate namkubali sana na kila ikitokea fursa ya kuzungumza na Jokate, huwa tunazungumza.
P
 
Baba yake Mzee Urban Costa Ndunguru sasa hii ya Mwegelo sijui Mwagelo inakujaje?
ni kwa sababu za kiusalama.inasemekana mzee wao alitofautiana na nyerere. ili tofauti zake na nyerere zisivuruge future ya watoto wake,akaamua watumie majina mengine ya mwisho.
 
Huyu dada kuna wakati niliwahi kutafakari juu yake, jibu lililonijia ni kwamba kama ataendelea kuwa makini asijichanganye, basi huko mbeleni Mungu anaweza kumweka kwenye nafasi kubwa sana hata ya kuwa kama mama Samia. Ni hayo tu kwa sasa.
 
Najua mtatupiga ban , Ila tunajua Sana dark side ya huyo Acha Tu tukae kimya , wahuni wamefukua Sana pale , front and back , anyway maisha ni mzunguko
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] wabongo bhana
 
Huyu dada kuna wakati niliwahi kutafakari juu yake, jibu lililonijia ni kwamba kama ataendelea kuwa makini asijichanganye, basi huko mbeleni Mungu anaweza kumweka kwenye nafasi kubwa sana hata ya kuwa kama mama Samia. Ni hayo tu kwa sasa.
At least akigombea na kupata kura,sio kupewa sadakarawe
 
Hadi sasa hamjagundua huyu Binti ni mshindi
Walisema mgumba leo ana mimba
Mnaseama ndoa subirini mje onyeshwa cheti , mtapoteana ng'ombe nyie

Binafsi am very happy for her na Freddy
U can tell VunjaBei loves her
Nakapendaga sana haka kadada mnoooo....na madhaifu yake yote Ila she is a true definition of role models ya mabinti hakuna aso na mapungufu but tuchukue mazuri yake tuyaige
 
Nakapendaga sana haka kadada mnoooo....na madhaifu yake yote Ila she is a true definition of role models ya mabinti hakuna aso na mapungufu but tuchukue mazuri yake tuyaige
True story
Ana mengi ya kuwa mfano kwa wengine
Na ni mtu makini
Anaonekana atafika mbali sana

Ile misukosuko aliyopitia imemuimarisha
 
Ukiolewa wewe inatosha

Sio kila mtu kaandikiwa ndoa na Mwenyezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…