Mfahamu Jokate Mwegelo (Kidoti); Kuzaliwa Marekani, Urembo, kipanga darasani, Mapenzi, Siasa

Wewe ndio Jokate? Inawezekana ukawa ndiye maana inaonekana hoja yangu imekukata maini. Pole binti, hayo ndiyo madhara ya umaarufu, ukifanya mambo ya hovyo hovyo lazima jamii itakujadili tu na huwezi kutuzuia.
Mi sio Jokate

Ila olewa wewe
Inakuaje mwanaume unafatilia ndoa ya mwanamke asiekujua
 
Mi sio Jokate

Ila olewa wewe
Inakuaje mwanaume unafatilia ndoa ya mwanamke asiekujua
Kama wewe sio Jokate mbona unkuwa na kiherehere cha kumjibia??
Au ulitaka tuzungumzie mazuri yake tu na machafu aliyofanya tusizungumze???

By the way hata utukane matusi ya kila aina, matusi yako hayatabadilisha chochote kile. Mimi nitabakia kuwa MWANAMUME na yeye historia yake chafu itabakia pale pale.
The dark side of her will always be there.
 

Wewe mwache dada wa watu usimletee masononeko yako. Kwahiyo akiwa mcha Mungu ndio asiwe mama? Mbona wacha Mungu wenu watakatifu huko Roma wanafila watoto na mpo kimya humu?
 
We ukiolewa inatosha

Every human has a dark side
Cha ajabu nini?
 
Kwa Uanaume gani ulokua nao hebu acha kuchekesha watu, wewe ulipokonywa bwana na Jojo ndio maana umeweka chuki hadi leo,

Go Jojo Goooooooooo
 
ni kwa sababu za kiusalama.inasemekana mzee wao alitofautiana na nyerere. ili tofauti zake na nyerere zisivuruge future ya watoto wake,akaamua watumie majina mengine ya mwisho.
We jamaa unatupanga hapa.
Binti yeyote anayetoka ukoo wa Ndunguru Anaitwa mwegelo.
So ukiona mtu Anaitwa mwegelo ujue ni binti kutoka ukoo wa Ndunguru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…