Mfahamu Juma Jangalu anayedaiwa kuuawa na wafanyakazi wa OYA

Mfahamu Juma Jangalu anayedaiwa kuuawa na wafanyakazi wa OYA

Unfortunately Bongo unakuwa maarufu na kujulikana siku ukifa,marehemu juma ungemwambia kipindi akiwa hai kwamba kuna siku atajadiliwa kwenye vyombo vya habari na taifa kwa ujumla angekataa.

Au angekaza sana kuishi kwa taratibu za sheria za nchi ili asije akajadiliwa kwa kutenda mabaya,hii itukumbushe kifo ni wakati wowote kwa namna yoyote siku yoyote.
RIP
 
R.I.P
Nje ya mada... Huku kwetu mtu anayetembeza korosho anaonekana yup duni kibiashara, na mtu akimiliki duka ni obviously hawez kutembeza korosho bali ata-settle dukani kwake! Kumbe huko ni tofauti...
Fighting is spirit.. ukiwa na spirit ya mapambano hauwez kupoa hata kidogo. Kuja jamaa ana maduka mengi tu mjini lakin yeye dereva wa magari ya shamba kibiti huko muhoro. Pamoja na gari lile kuwa la kwake lakin anaendesha na kulala humohumo
 
Wengine ni masharti ya wahanga. Huyo ni mtumwa wa hela, yeye kila siku anaitumikia hela na haifaidi
 
Back
Top Bottom