Mfahamu Juma Jangalu anayedaiwa kuuawa na wafanyakazi wa OYA

Mfahamu Juma Jangalu anayedaiwa kuuawa na wafanyakazi wa OYA

Daah uzuri wa Tanzania kwenye hizo kesi za mauaji haa zinasimamiwa vizuri sana maandishi tu yenyewe yanachapwa na zile Typewriter za kizamani maandishi yake hayafutiki siku za karibuni..
 
Tukisema BOT Haina meno ya kudili na kampuni za mikopo hii ndio maana yake. Na nina uwakika BOT hawatawafanya chchte kile iyo OYA. Nipo hapa sio onyo,kufungia leseni kwa mda au faini kwao. Nipo pale
Tumekubali kuwa mazombi, taasisi nyingi za fedha ni za wanasiasa wa chama tawala, ambao serikali ya bi Mdashi haina Janja ya kuwanyooshea kidole.

Bora Magufuli alikuwa anaogopeka
 
Mtu akiona bonge la duka anajua una pesa za kutosha kumbe ndani nanga inapaa.
 
Hapo kuna kitu cha kujifunza,mke kakopa bila kumshirikisha mume,halafu mume ndiye kauawa...
 
Back
Top Bottom