Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Huyo ni dumb head...ana copy na ku-paste...hivyo hawezi kutetea alichoandika....Atakusumbua....utapoteza muda...mimi najua jindi ya ku-deal nayeUnamfahamu mfalme Nimrod aliyekaa babeli na kuleta kuabudu miungu...au hujui kma ibada zte za miungu zlianzia babeli?au hujui Israeli yakaa ikizungukwa na mataifa ya babeli yaliyokua yakiabudu miungu...au hata upagan wa warumi na mashariki ya kati yte hujui ulitokea wap?au bx hujui hata miji iliyokua inatengeneza ufalme wa babeli(babeli ya nebukadreza)
Ukisema karne ya 15 unamaanisha miaka ya 1400-1499 ss je marthin luther alikuepo kipin hiki au unataka kutudanganya pia...mna unajaribu kuleta kila unachoweza il kujarbu kuwin na hoja ishakukataa ss...maswal yngu hujbu unakimbia
Mijadala bora huendeshwa kwa namna njema na ya kila mmoja kujitahidi kuelewa ni wapi mwingine ana tatizo kisha wote kwa pamoja kushirikiana kulitatua tatizo hilo kisha mnasonga mbele,naona jambo hili kwenye mjadala wangu na wewe limekuwa gumu....BABELI MKUU MAMA WA MAKAHABA NI NANI AU NI NINI?
Biblia inamfunua..
1. Kwanza tunaona BABELI MKUU huyu ameonyeshwa kuwa ni mwanamke, maana anaitwa "mama" sote tunaelewa sifa ya mama ni ya jinsi ya kike.
Je, kwa mujibu wa Biblia mwanamke hutumika kuwakilisha nini anapotumika kama kielelezo?
- Katika Biblia "mwanamke" hutumika kuwakilisha "JAMII YA WATU WA MUNGU" ambao katika agano la kale watu hao walikuwa ni taifa la "ISRAELI"
Tunaona katika Hosea Mungu akiongea na watu wake kama aongeae na mwanamke
Nami nitakuposa uwe wangu kwa milele; naam, nitakuposa kwa haki, na kwa hukumu, na kwa ufadhili, na kwa rehema.
HOSEA 2 : 19
"Rudini, enyi watoto wenye kuasi, asema BWANA; maana mimi ni mume wenu; nami nitatwaa mtu mmoja wa mji mmoja, na wawili wa jamaa moja, nami nitawaleta hata Sayuni;
YEREMIA 3 : 14.
Katika zama za agani jipya, ambapo hakuna tofauti tena kati ya Myahudi na asiye Myahudi, mwanamke anawakilisha watu wa Mungu kwa maana ya "KANISA"
Maana nawaonea wivu, wivu wa Mungu; kwa kuwa naliwaposea mume mmoja, ili nimletee Kristo bikira safi.
2 KORINTHO 11 : 2
Kwa sababu BABELI MKUU atatokea wakati wa Agano jipya, basi BABELI huyo ATAJITOJEZA KATIKA SURA YA KANISA!
Tumejua sasa KAHABA MKUU ni kanisa kumbe.
Nilitegemea ushushe ushahid kuhusu kahaba mkuuMijadala bora huendeshwa kwa namna njema na ya kila mmoja kujitahidi kuelewa ni wapi mwingine ana tatizo kisha wote kwa pamoja kushirikiana kulitatua tatizo hilo kisha mnasonga mbele,naona jambo hili kwenye mjadala wangu na wewe limekuwa gumu....
Tatizo langu la kwanza kwenye mjadala huu ni hili na fasiri ya mwanamke kwenye unabii wa Ufunuo 17.Nimekueleza tatizo hili na nimekuonesha vile ambavyo maandiko yanaonesha kuwa mwanamkekwenye unabii huu hana maana kama unayoiweka wewe na nimekupa ushahidi...
Badala ya kushughulika na tatizo hilo naona unaelekea kwenye mambo mengine kabisa na unaendelea kurudia maelezo yale yale ambayo mimi nimeshayapinga kwa hoja na ushahidi,sasa mkuu tutaweza kuelewana hapa kweli?
Nilikuambia kuwa kwenye unabii huu mwanamke siyo kanisa ni mji lakini bado tu naona unaendelea kurudia kauli yako ya kusema mwanamke ni kanisa bila ya kueleza ni wapi kwenye unabii huu mwanamke ameelezwa kama kanisa....
Umenukuu maelezo kwenye maeneo mengine ya biblia kuonesha kuwa mwanamke ni kanisa,hili ni kosa kubwa.Nasema ni kosa kwasababu kiutaratibu,unapokuta unabii na kuna mafumbo kwanza unachopaswa kuanza nacho ili uelewe unabii ule ni kuangalia kwenye huo unabii kama mafumbo yale yamefafanuliwa.....
Ukikuta hilo halipo unaangalia maana ya jumla kimantiki kwenye unabii huo kama utaweza kuelewa maana ya mafumbo yale,ukikosa unakwenda kwenye maeneo mengine kwenye biblia kwenye unabii unaorandana na huo ili kuona kama kuna maneno yale yale yameelezwa na kama yamefasiriwa iliupate maana ya mafumbo husika....
Ukikosa unaelekea kwenye nabii zingine kuangalia kama kuna maneno hayo na kama yamefafanuliwa na ukikosa unaangalia maeneo mengine kwenye biblia bila kujali kama ni ya unabii au la ili kuweza kupata maana ya mafumbo hayo na ukikosa basi unaangalia vyanzo vingine nje ya Biblia ili kukusaidia kuelewa maana ya mafumbo au maneno yaliyotumika kwenye unabii huo....
Nikiangalia kwenye unabii huu naona umeamua kabisa kuacha kuchukua hatua ya kwanza ambayo ndiyo bora kabisa na umekimbilia kwenye hatua ya tatu sijui ni kwanini.Kwenye unabii huu Mungu amesema mwanamke ni nani humo humo kwenye unabii huu,ni kwanini unahangaika na sijui Yeremia na akina Hosea?
Mkuu ndivyo tunaenda hivi kweli?
Tutaweza kuelewana namna ipi?
Wewe hii mada huiwezi ,tulia ufundishweHuyu anawapotezea muda tu ndugu sbb nlishamjengea hoja ambayo akakimbia na maswal hajajibu mpka leo pamoja na wenzie...leo kahaba katoka kua ukatoliki kawa mji wa vatican...hv unahisi wte n watoto kma ww kua unaeza kutuchanganyia maneno!hata hajui anatetea nini kaambiwa biblia inasema n mji kahama kutoka ukatolik kua mji...hya mbele ya mistari hyo kuna mistari inasema mji huo uko kati ya vilima saba yaani wafalme saba wamekaa...tukikwambia utaje utaweza..
Wap nime generise luther alipinga ushetan wa roma karne ya 15?Ukisema karne ya 15 unamaanisha miaka ya 1400-1499 ss je marthin luther alikuepo kipin hiki au unataka kutudanganya pia...mna unajaribu kuleta kila unachoweza il kujarbu kuwin na hoja ishakukataa ss...maswal yngu hujbu unakimbia
Kwanini mkiambiwa ukweli mnakuwa wakali hivo?Trust me wewe unayejifanya kanisa lako ni la kweli kuliko Mengine..jehanamu inakusubiri acha mimi na rais Wang JPM tuendelee kuinyoosha nchi ili tukawe malaika hata huko mbinguni..nyie mnaotafuta wafuasi kwa nguvu endeleeni.
NB..USHAURI WA BURE
kaka kizuri chajitangaza kibaya chajiuza
fanyakazi acha kujifanya malaika na umekamirika. hakuna binadamu wa kumhukumu binadamu ni Mungu tu
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Kuabudu vinyago ni ukristo?Aliyekuambia Wasabato ni Wakristo ni nani...???
Kuabudu vinyagoAliyekuambia Wasabato ni Wakristo ni nani...???
Hilo somo LA Vinyago/Sanamu lilielezwa vzuri sana ktk thread zilizopita,hili la Kababa Mkuu wa Ufunuo 17 bado unarukaruka pasipo kujibu hoja.Kuabudu vinyago ni ukristo?
YHWH IS GOOD
Nimekuuliza, Wasabato ni Wakristo...??Kuabudu vinyago
Kuabudu mifupa na mafuvu
Kulawiti watoto na unajisi ufanywao na mapadri ndio ukristo?
Kuoana wanaume kwa wanaume ndio ukristo?
Kanisa katoliki nchini Malta labariki Ushoga
Sio muda na wewe utaolewa
YHWH IS GOOD
Wewe kama nani, kwa mujibu wa nani, kweli kwa mujibu wa nani..? Usijenuambia ni kwa mujibu wa Nabii Mke EllenKwanini mkiambiwa ukweli mnakuwa wakali hivo?
Mungu ametuasa tuonyane
YHWH IS GOOD
imani ni kitu kipana sana huwezi kukimaliza kwa hiyo muhimu ni kuamini na kuongelea zaidi kile kilichokuwa kwenye imana na dhehebu lako na kitu usichokijua hata nikikuelewesha utantolea tu macho...nnarudi kulekule kwamba kama unataka waumini upate sadaka huwezi kupata kwa kuongelea dini mwenzio so amini unachokiamini na ntaamini nnachokiamini kwa sababu huku niliko nnabarikiwa pia na usiforce tufanane.....Kwanini mkiambiwa ukweli mnakuwa wakali hivo?
Mungu ametuasa tuonyane
YHWH IS GOOD
Kuna sehemu nimekuomba sadaka?imani ni kitu kipana sana huwezi kukimaliza kwa hiyo muhimu ni kuamini na kuongelea zaidi kile kilichokuwa kwenye imana na dhehebu lako na kitu usichokijua hata nikikuelewesha utantolea tu macho...nnarudi kulekule kwamba kama unataka waumini upate sadaka huwezi kupata kwa kuongelea dini mwenzio so amini unachokiamini na ntaamini nnachokiamini kwa sababu huku niliko nnabarikiwa pia na usiforce tufanane.....
OVA
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Unaolewa lini?Wewe kama nani, kwa mujibu wa nani, kweli kwa mujibu wa nani..? Usijenuambia ni kwa mujibu wa Nabii Mke Ellen
Ungejibu hoja zangu ndo ungekua na ujasiri wa kunambia nkae kimya nachokiona umefika ukomo wa ulichokalilishwa ss unarudia rudia tu maneno yakoWewe hii mada huiwezi ,tulia ufundishwe
YHWH IS GOOD