Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

Nimeshamwambia huyo zuzu mwenzako, kahaba ni Nabii Mke Ellen G White
Mbona unaropoka?Na nnapoxema unaropoka cjakutukana,kuongea bila ushahidi wa maandiko ni kuropoka.Toa andiko lolote,ima iwe kwenye biblia,ama vitabu vyote vya kikatoliki ikiwemo misale ya waumini.Ukishindwa bac ucropoke ropoke.Kikristo,huwez kuongea jambo lolote la kibiblia bila maandiko

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Umekuja vzr lkn unasahau kitu kimoja ni wap hapo upapa unapotokea kama pembe ndogo...ni mataifa gani yalianguka kupisha utawala wa papa hapo...ukumbuke hata kabla ya mwaka 476 upapa ulikuwepo na kabla ukristo haujawa dini ya rumi mwaka 330 mapapa walikuwepo na waliuliwa sana wakiifia dini.onyesha hapo mataifa gani yalimpisha papa il nkuletee uthibitisho kuwa papa alikuepo hata kabla rumi haijaanguka...na ni uongo rumi haikugawanyika kuja katika mataifa ya ujeruman na uswisi n uongo wa historia mweupe kabsa
Point ya pili biblia nliyonukuu juu kule inasema mataifa haya kumi yaliungana na mnyama kufanya vita na kahaba...hujatuonyesha hapo n lin hayo mataifa yaliushambulia ukatoliki(kahaba kwa hoja zako)? Twende taratibu tu...leta majibu

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Ikiwa ukristo ni kumsujudia mnyama papa, ni kweli wasabato hawako kundi lenu hilo
tatizo la uelewa na uchambuzi wa maandiko ni shida...na alikuambia WAKATORIKI tunasujudi huyo mnyama uko wrong na elewa hili kuanzia leo na kuendelea.....pope ni cheo cha kiongozi wa kiroho makanisa ya kikatoliki Dunia sasa kama pope aliyepo vatikani ni Mnyama badili sahihisha hilo na pope anasimama badala ya PETRO mmoja wa mitume 12 wa Yesu Kristu ambacho hicho cheo ni kutoka kwa Yesu Kristu mwenye alipomuambia kuwa huyu ndio PETRO Mwamba na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Leta n amri zipi zmebadlishwa...au kubadl unamaanisha mchanganuo wa lugha...leta amri ipi imebadl mfano biblia imesema usile wao wakaleta ule...

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Napandisha uzi....Nakuomba uje...kule kahaba Nabii Mke Ellen Gould White tumemchambua vizuri....
 
Leta n amri zipi zmebadlishwa...au kubadl unamaanisha mchanganuo wa lugha...leta amri ipi imebadl mfano biblia imesema usile wao wakaleta ule...

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
hakuna amri iliyoongezwa amri zilizopo kwenye kitabu cha kutoka ndizo amri tunazozitumia wakatoriki hapo ndipo ninaposhindwa kuwaamini WASABATO yaani mzigo wa dhambi ya uongo mnaoubeba hakuna anayeweza kuwatua kwa maana ni mzito

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni mkristo kweli!Mbona unapingana na Yesu sasa!Nina mashaka na ukristo wako ww.Yesu anasema "asomaye na afahamu"(mathayo 24:15),ww unasema hadi uende chuo kikuu ndo ufahamu!!YESU anasema "nakushukuru BABA BWANA wa mbingu na nchi,kwa kuwa mambo haya umewaficha wenye hekima na akili,umewafunulia watoto wachanga"(Luka 10:21),lkn ww unasema hadi uwe mtaalam wa theology!!.Kama padri wko amekwambia usiisome hadi aje kukutafsiria bac jua ni mpinga NENO huyo.Hama huko.

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Roho mtakatifu anawafunulia wasabato tu au vipi?
Ili ROHO MTAKATIFU akae moyon mwako basi ni lazima uitii sheria na imani ya YESU.Sasa nje ya wasabato ni kanisa gani lenye sifa hiyo?ROHO MTAKATIFU hawezi kukaa kwa wavunja sheria ya MUNGU kwani ni chukizo kwake(MITHALI 28:9)

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Wasabato siyo Wakristo...aliyewaruhusu kusoma biblia ni nani..??
 

Uzi upo nitakukaribisha...

Aliyekuambia Wasabato ni Wskristo ni nani...??? Hujui Nabii kahaba Mke Ellen G White alipinga Utati Mtakatifu
 
Haueleweki unapinga nini sasa



YHWH IS GOOD
 
Acha kudanganywa wewe na wajanja wachache

Petro hajawahi kuwa papa

Petro alioa , na kuwa na familia kabisa,

Mapapa wa leo wanaolawiti vitoto na kufanya uzinz wanasema hawaoi

YHWH IS GOOD
 
Hivi ww ni mkatoliki kweli au mkatoliki aliyeasi!!Kipindi cha pasaka,misa ya alhamic kuu(ekaristi takatifu) hakuna kipengele cha kuabudu msalaba hpo?Au ktkt ya misa ya njia ya msalaba ya ijumaa kuu,hakuna kipengele cha kuabudu msalaba?Co nyie mnaoibusu sanamu ya yesu nyie?Au siku hizi mmeacha?

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Acha uongo

Kama kweli niambie AMRI YA PILI kwenye katekisimu inasemaje

Amri ya tatu na ya nne pia zinasemaje

Nina misale na katekisimu hapa, nimekaa mishen parokiani nikihudumu Katika cathedral ,navijua vitabu vyote

YHWH IS GOOD
 
Leta n amri zipi zmebadlishwa...au kubadl unamaanisha mchanganuo wa lugha...leta amri ipi imebadl mfano biblia imesema usile wao wakaleta ule...

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
1-Kutoka 20:4 usiabudu sanamu,kanisa limeiondoa
2-kutoka 20:8 itakase sabato ya siku ya saba.Kanisa limebadili kutoka siku ya saba kwenda ya kwanza.Sema lingine

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
tofautisha kusoma biblia na kuchambua maandiko na chimbuko la maandiko...ukiwa na mashaka na ukristu wangu sitashangaa saa kwa sababu ninayeongea naye ni mpinga Kristu na sio mkistu ........

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Kamuulize padri wako.Amri ya 2 ya kukataza sanamu mbona haipo kwenye misale yetu ya waumini?Atakwambia

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…