Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

Haueleweki unapinga nini sasa

YHWH IS GOOD
Acha kujitoa ufahamu....Mods wanahariri thread yangu ya Kahaba Mkuu Nabii Mke Ellen Gould White..

Kule hatujabakiza chochote....tumechambua takataka zote za kahaba yule..

Unakaribishwa
 
Kamuulize padri wako.Amri ya 2 ya kukataza sanamu mbona haipo kwenye misale yetu ya waumini?Atakwambia

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
Unaongelea Misale au Biblia...

Hakuna amri iliyobadilishwa hapo...
 
Hama huko ndugu

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
Nilishahama mkuu toka Kutambo...baada ya kumsoma Kahaba Mkuu Nabii Mke Ellen G White nilitoka mara moja...

Kambi zile za ngono nimehudhuria sana pamoja na lessoni...

Vipi bado upo kwa kahaba EGW..??? Toka fasta..jehanum inakusubiri
 
Acha uongo

Kama kweli niambie AMRI YA PILI kwenye katekisimu inasemaje

Amri ya tatu na ya nne pia zinasemaje

Nina misale na katekisimu hapa, nimekaa mishen parokiani nikihudumu Katika cathedral ,navijua vitabu vyote

YHWH IS GOOD
amri ya pili = usilitaje bure jina la bwana Mungu wako

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Acha kujitoa ufahamu....Mods wanahariri thread yangu ya Kahaba Mkuu Nabii Mke Ellen Gould White..

Kule hatujabakiza chochote....tumechambua takataka zote za kahaba yule..

Unakaribishwa
Mbona wewe muamudu sanamu unawashwa hivo, unaanzisha thread baada ya huku kubanwa

Eti unanialika.

Subiri soon nashusha mvua ya uchafu wa Roma

YHWH IS GOOD
 
tofautisha kusoma biblia na kuchambua maandiko na chimbuko la maandiko...ukiwa na mashaka na ukristu wangu sitashangaa saa kwa sababu ninayeongea naye ni mpinga Kristu na sio mkistu ........

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Toa andiko lisemalo "kuchambua biblia au neno la MUNGU hadi usome"

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Nilishahama mkuu toka Kutambo...baada ya kumsoma Kahaba Mkuu Nabii Mke Ellen G White nilitoka mara moja...

Kambi zile za ngono nimehudhuria sana pamoja na lessoni...

Vipi bado upo kwa kahaba EGW..??? Toka fasta..jehanum inakusubiri
Jehanum inawangoja hawa hapa
d1a6f72f2fe023d22c721e0028b1e3ec.jpg

YHWH IS GOOD
 
Nilishahama mkuu toka Kutambo...baada ya kumsoma Kahaba Mkuu Nabii Mke Ellen G White nilitoka mara moja...

Kambi zile za ngono nimehudhuria sana pamoja na lessoni...

Vipi bado upo kwa kahaba EGW..??? Toka fasta..jehanum inakusubiri
Aligeuzaye sikio lake asiisikie sheria,hata sala yake ni chukizo kwa BWANA(mithali 28:9)

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Aligeuzaye sikio lake asiisikie sheria,hata sala yake ni chukizo kwa BWANA(mithali 28:9)

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
Ofcourse....Kahaba Ellen G White yupo anatekeatea Jehanum kwa kuukataa Utatu Mtakatifu..

Wasabato hawaamini Utatu Mtakatifu
 
Acha uongo

Kama kweli niambie AMRI YA PILI kwenye katekisimu inasemaje

Amri ya tatu na ya nne pia zinasemaje

Nina misale na katekisimu hapa, nimekaa mishen parokiani nikihudumu Katika cathedral ,navijua vitabu vyote

YHWH IS GOOD
hata unachoongea haukielewi ...yani ulikaa mission then ukahudimu katika cathedral[emoji50][emoji50] njia us muongo ni fupi sana kwa kweli...endelea na zigo lako la dhambi

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
amri ya pili = usilitaje bure jina la bwana Mungu wako

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Weka aya wewe.Hiyo ni amri ta tatu(kutoka 20:7),Ya pili iangalie ktk kutoka 20:4.Soma mwenyewe biblia ususubiri usomewe ndugu

Back
Top Bottom