Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
PETRO ALIYEULIWA NA WARUMI LEO MNADANGANYWA ALIKUWA ETI NI PAPA?
Ofcorse Warumi waliwaua Wakatoliki wengi..akiwemo Petro...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PETRO ALIYEULIWA NA WARUMI LEO MNADANGANYWA ALIKUWA ETI NI PAPA?
PETRO HUYU ALIYEOA ?
MAPAPA HAWA SIHAWARUHUSIWI HATA KUOA?
Hawa jamaa kazi yao ni uzushi. Biblia wanaisoma juujui tu tena kwa kuipotosha. Ee Bwana Yesu wasamehe watoto wako hawajui walitendalo.Eti PETRO alikuwa papa
Kwi kwi kwiiiii
PETRO HUYU ALIYEOA ?
MAPAPA HAWA SIHAWARUHUSIWI HATA KUOA?
PETRO ALIYEULIWA NA WARUMI LEO MNADANGANYWA ALIKUWA ETI NI PAPA?
YHWH IS GOOD
Basi unajiona umetusi?Mimi nipo...nakuuliza....Unashika Sabato wewe ni Muebrania...??
Kahaba Mwenyewe EGW hakushika Sabato...sasa wewe kenge unashika ni Muebrania
YESU AMESEMA sabbath ilifanyika kwa ajiri ya mwanadamu
Biblia tuitengeneze sisi utufundishe jinsi ya kusoma..Hawa jamaa kazi yao ni uzushi. Biblia wanaisoma juujui tu tena kwa kuipotosha. Ee Bwana Yesu wasamehe watoto wako hawajui walitendalo.
mkuu pole na majukumuYote hiyo ni amri moja....USIWE NA MIUNGU MINGINE
Kung'amua tusi au si tusi...si kazi yangu...kama kwako wewe umeona tusi kwangu ni kitu cha kawaida kabisa....Basi
Ngoja niende kayayasake...nitayaweka hapa..mkuu pole na majukumu
nakuomba kama unayo yale maelezo niliofafanua kwa kirefu kuhusu SANAMU NA FAIDA YA MATUMIZI YA SANAMU KWA MWANADAMU, uwajibu hao WAELLENI (wasiojua nini wanacho kifanya na wasiotambua adui wao wa kwanza ni nani)
naomba uyatafute, TENA LETE ULE UFAFANUZI WENYE MAELEZO YALIO AMBATANISHWA NA MASWALI YA KUJIBU (maana maswali hayajapanguliwa na yamekuwa kipolo hadi leo, na naona wanajifanya wamesahau)
otherwise nakutakia siku njema...................
Naomba unisaidie hili ndg, et kaini alimuoa mtoto wa nani maana biblia inasema baada ya kain kumua Abel, kain alifukuzwa na Mungu na kwenda mbali, na baadae kuoa, je, alioa mtoto wa nani kwa wakati huo??Naomba nkujibu aaron uliyeandika post hii!
Nianze na hilo neno kahaba:kahaba kama ilivotumika katika biblia inaamanisha taifa la israel baada ya kuasi kwa Mungu,tizama kitabu cha Ezekieli 16,israeli anafamanishwa na kahaba na Mungu anaongelea vyte alivofanya kwake na namna alivojichanganya yy(kahaba)na miungu mingine(wanaume) wengine alipowekwa katila nchi ya ahadi.waume ndo hao waliomzunguka na sura hiyo inaelezea kwa uzuri zaid kuasi mpka adhabu ya kupelekwa uhamishoni..ushahidi mwingine wa huyo kahaba tizama katika ufunuo 17:18 inasema "na huyo mwanamke uliyemwona ni mji ule mkubwa wenye ufalme juu ya wafalme wa nchi"
Pia ukirudi ufunuo hyohyo 17:1 inasema "njoo nikuoneshe hukumu ya yule kahaba mkuu aketiye juu ya maji mengi ambaye wafalme wa nchi wamezini naye(wamemtoa kwny kumuambudu na kumtegemea Mungu pekee mpka kumchafua na kuabudu miungu yao)" .mstari wa 7 inasema "nitakuambia siri ya mwanamke huyu na mnyama huyu amchukuaye mwenye vile vichwa saba na zile pembe kumi"
Mnyama anaongelewa katika danieli kwa sehemu tatu tofauti;
Sehemu ya kwanza n danieli 2,sehemu ya pili ni danieli 7 na ufafanuzi wa yote ni danieli 9
Ss kama umesoma vzr huu ulkuani utabiri wa siku za mwsho ambapo una majuma 70 mpka kurud tena kwa masihi(Yesu Kristo) na danieli hyo sura ya tisa anaambiwa juma la 62 litakamilika masihi atakapouliwa(danieli 9:24).ss hyo hesabu yako ya 42 umepotosha pia nakushaur urud pia kusoma ufunuo 13:1-3 ilinganishe na ufunuo 17:9 na mstari wa 10 anakuambia hivyo vichwa saba ni wafalme saba na ufunuo 17:11 inasema huyu wa saba mwny jeraha alikuepo nae hayupo na ndiye wa nane. Mstari wa 13 unasema hawa wte wafalme wana shauri moja(labda nkudokeze tu wte shaur lao ni kuitawala israel au kuifuta kabsa katika uso wa dunia na hii ipo ufunuo17:15-18)
Hzo miezi 42 ni miaka mitatu na nusu ambapo katika daniel tisa unaambiwa juma la mwsho(miaka saba ya mwsho) ndicho kiama na miaka mitatu ya kwanza atatawala mnyama huyo(42) ya kwanza(ufunuo 13:5)
Niishie hapa kama bado huelewi na una hoja ilete nitakufafanulia zaid na hata habari za hao wafalme
Naona una copy na ku-paste tuu....Ufunuo 17:8 “Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu. Nami nikastaajabu ajabu kuu”
Yani uta-copy mpaka uchokeYHWH IS GOOD
wewe mutu mbishi unafundishwa huelewi,hivi zile sanamu za nini kanisaniNaona una copy na ku-paste tuu....
Mwenzio anakuambieni ukweli unasema anakopiYani uta-copy mpaka uchoke
Hebu nieleze..ananifundisha nini hasa..?? Mimi ndio natakiwa nimfundishe yeye....Maana Biblia haijuiwewe mutu mbishi unafundishwa huelewi,hivi zile sanamu za nini kanisani
YHWH IS GOOD
All the time Yhwh is goodNimeipenda Yhwh is good,nyie waroma kaeni hapa muelezwe acheni kulalamika tu
YHWH IS GOOD
Hebi nifafanulie hii kituNimeipenda Yhwh is good,nyie waroma kaeni hapa muelezwe acheni kulalamika tu
YHWH IS GOOD