Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

Ndio maana tunawaambiwa mmepotea hamsikii

Hivi hiyo ndio amri ya 2?
Weka aya wewe.Hiyo ni amri ta tatu(kutoka 20:7),Ya pili iangalie ktk kutoka 20:4.Soma mwenyewe biblia ususubiri usomewe ndugu

HOJA ZA KIHISTORIA ZA KINA BENCHES, ZIMEWASHINDA KUZIPANGUA
BIBLIA NDO MTAIWEZA ????????

akati wewe ukiangaika na mpangilio wa kupanga na kupangua amri za Mungu, Yesu, kwa maneno na matendo alizivunjavunja tena hadharani na kubakiza AMRI 2 TU,
(bisha nikuonesha, nakusubiri ubishe kuwa yesu hukuzipunguza hizo amri mpaka kuwa 2 pekee, then nikufundisha amri za mungu zinavo pangwa)

AU wewe ni mjuzi na mwenye uchungu sana na amri za Mungu, kuliko YESU ??

akati wewe ukiangaika na mpangilio wa kupanga na kupangua amri za Mungu

WENZAKO WAYAHUDI WALIKUWA NA SHERIA ZAIDI YA 600, HUKU WAKIPIGANA NA KUHITILAFIANA JUU YA MPANGILIO, UBORA NA UZITO WA KILA AMRI NA SHERIA
(nasubiri ubishe nikuoneshe)

AU wewe ni mjuzi na mtaalamu sana wa amri za mungu kuliko waandishi na mafarisayo ambao waliziona na kuzisoma toka kwenye mbao mbili za musa (ambazo ndo source ya izo amri) zilizokuwa zikihifadhiwa ndani ya sanduku la agano,
(na bahati mbaya sanduku lenyewe lilipotea, mpaka leo haijulikani liko wapi)

wewe ni mtaalamu sana kuliko wao ????

NA NADHANI UTAKUWA HUNA TOFAUTI NA HAO NDUGU ZAKO WAANDISHI AMBAO MPAKA LEO BADO WANAMSUBIRI YESU(MASIHA)

Na ndoo utafahamu kazi ya MAKOMAMANGA waliokuwa wakitafuna WAANDISHI (walimu wa sharia wa kiyahudi) illikuwa ni nini

na ndo utajua MIZIGO na NIRA aliokuwa akiiizungumzia yesu katika alimaanisha nini

Ndio maana hata huko madarasani/mashuleni mnafeli tena mnafeli vibaya, mnalazimisha kukalili na kumeza kila kitu kama kilivoandikwa (neno kwa neno)

USIHAMAKI SIJAPOTEA WALA SIKO NJE YA MADAI YAKO

Umedai kuwa wakatoliki wamenyofoa amri ya pili na kuiweka kando
Nanukuu (kutoka 20:3-5)
3“Usiwe na miungu mingine ila mimi. 4“Usijifanyie sanamu ya kuchonga katika umbo la kitu cho chote kilicho juu mbinguni au duniani chini au ndani ya maji. 5Usivisujudie au kuviabudu”

SWALI : naomba tofauti ya kimaana au ya neno kwa neno ya hiyo aya ya tatu(AMRI YA KWANZA) na iyo aya ya nne (AMRI YA PILI, UNAYODAI TUMEINYOFOA)???????????

SWALI: Naomba unieleze/unipe sababu ni kwanini Yule kijana myahudi alimuuliza yesu kuwa AMRI ILIYO KUU IPI ???????????????

SWALI: naomba unieleze ni kwa nini yesu alipoulizwa kuhusu amri za mungu, yeye hakuanza kama unavodai wewe ila alianza kutaja kwa kuanzia na amri ya tano, au mfululizo(arrangement) unaoudai wewe hakuwa anaujua naomba maelezo ?????????

nawashauli kafukueni yale maswali mliokimbia kwenye thread za nyuma , myatafutie majibu
(mda si mrefu nitarudi na yaleyale maswali yangu ambayo yamekuwa kipolo mpaka leo sijayasahau)

NA HIZO NI SALAMU TU............................NINAKUJA

NDO MTAJUA WAKATOLIKI HUWA WANASOMA BIBLIA AU WANASOMEWA..............

NDO MTAJUA KWA NINI WAKATOLIKI HUWA WANAWATAZAMA WAELENI WA AINA YENU KAMA MASANAMU

KAMA MNAJIAMINI KUHUSU BIBLIA JIBUNI HAYO MASWALI (SIMPLE) HAPO JUU
 
Cheza na number ya Kahaba Nabii Mke EGW

Pili, abishe kwamba gematria
E L L E N G O U L D W H I T E
0+50+50+0+0 + 0+ 0+5+50+500+10+0+1+0+0 = 666 si hesabu sawa.
Mbona unaandika utumbo

52d0e3cff7aacee85e2b2d15f434e5ef.jpg


YHWH IS GOOD
 
Hakuna link hapo...huji kuweka link...kwanza nimekufukunyua hakuna uzi ulianzisha..

Kajipange

Cheza na number(Gematria)
Pili, abishe kwamba gematria
E L L E N G O U L D W H I T E
0+50+50+0+0 + 0+ 0+5+50+500+10+0+1+0+0 = 666 si hesabu sawa.
Hakuna link au huna macho? Subir mod wauhariri kwanza
Ewe muabudu sanamu

YHWH IS GOOD
 
Cheza na number ya Kahaba Nabii Mke EGW

Pili, abishe kwamba gematria
E L L E N G O U L D W H I T E
0+50+50+0+0 + 0+ 0+5+50+500+10+0+1+0+0 = 666 si hesabu sawa.
Leo nataka uelewe biblia inasema nini kuhusu namba 666 na maana yake kulingana na Biblia takatifu.
*Ufunuo 13:16-18*
Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao; tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake. Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kabisa damu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.
Kabla hatujahesabu hesabu ya mnyama huyu,
hebu na tuone sifa za alama ya mnyama huyo
*SIFA ZA ALAMA YA MNYAMA*
1. Jina la mnyama huyo.
Ufunuo 13:16
2. Hesabu ya jina lake.
Ufunuo 13:16
3. Ni jina la makufuru.
Ufunuo 17:5
4.Mnyama amekaliwa na mwanamke. Ufunuo 17:18
5. Mnyama ni mamlaka ya kidini. Daniel 7:17
6.Mnyama aliwatesa watakatifu wa Mungu. Ufunuo 18:24 &
Daniel 7:25
7.Mnyama alimtukana Mungu na wote wakaao Mbinguni.
Ufunuo 13:6
8.Mnyama aliazimu kubadili majira na sheria. Daniel 7:25
9.Mnyama aliazimu kuenenda kinyume chake aliye juu.
*Je ni mamlaka gani iliyo na sifa tajwa hapo juu?*
Mnyama aliwatesa watakatifu wa Mungu.
Rumi ilifanya mauaji ya kutisha katika kipindi cha mfalme Nero na Constantine, pia UPAPA uliongoza mauaji ya kikatili yasiyoweza kuelezeka kuanzia mwaka 538 hadi Mwaka 1798. Ikiwa ni jumla ya kipindi cha miaka 1260 watakatifu wa Mungu waliuawa kikatili wale wote ambao walikuwa waaminifu na watunzaji wa amri za Mungu pamoja na neno lake. Mauaji hayo yalifanywa chini ya Kiongozi wa kanisa katoliki St. Bartholomew na yalijulikana kama BARTHOLOMEW MASSACRE.
Mnyama amekaliwa na Mwanamke Kahaba.
Mpaka sasa hakuna kanisa lolote duniani linalomiliki nchi yake isipokuwa Catholic Church ambapo inamiliki nchi ya VATICAN na raisi wake ni Kiongozi wa juu kabisa wa kanisa hilo yaani PAPA.
Aliazimu kubadili majira na sheria.
Kanisa katoliki ndilo lililobadili kalenda na nyakati mpaka sasa inatumika ulimwenguni kote. Mamlaka ya kipapa yalibadili siku 30 za kila mwezi kama mpango wa Mungu na kuweka mpango wa mwezi kuwa na siku 28,29,30,31 Ikiwa ni kuendesha ibada za miungu na hata majina ya miezi asili yake ni majina ya miungu mfano JANUARY (ni muungu JANUS) n.k
Pia mwanzo wa siku ulibadilishwa kulingana na Mpango wa Mungu siku huanza jioni na kuisha jioni lakini sasa majira yamebadilishwa wanadamu tumepigwa upofu na kudhan ya kuwa siku huanza saa sita kamili usiku ndio maana leo hii watu wengi inapokaribia tarehe moja mwezi wa kwanza kila mwaka husubiri mpaka saa sita usiku na kushangilia. Huo sio mpango wa Mungu
Pia walibadili pumziko takatifu la sabato ya siku ya saba na kupeleka siku ya kwanza ya juma yaani Jumapili.
"Jumapili ni alama yetu ya madaraka.......
.... kanisa liko juu ya Biblia, na huku kuhamisha kwa utunzaji wa sabato ni kizibiti cha ukweli huo. "
*Catholic Record, September 1,1923*
"Papa ana Mamlaka ya kubadilisha nyakati, kubadili sheria, na kutupilia mbali vitu vyote, hata mafundisho ya Kristo."
*Decretal De Translat*
*Espiscop. Cap.*
"Labda jambo la kijasiri la mabadiliko yaliyofanywa na kanisa yalitokea katika karne ya kwanza. Siku takatifu. Sabato, zilibadilishwa kutoka jumamosi kwenda jumapili............ sio kwa maagizo yoyote yaliyoandikwa katika Biblia, lakini kwa kanisa kujisikia lina mamlaka............. Watu wanaofikiri kwamba Biblia ndiyo mamlaka pekee, inabidi wawe wasabato, watunze jumamosi. "
*Saint Catherine Catholic Church, sentinel, May 21, 1995.*
Ana jina la makufuru.
Cheo cha papa hujulikana kama Vicarius Filii Dei (Vicar of Christ-Badala ya Mungu duniani) kwa hiyo basi papa hufananishwa na Mungu aliye juu na kufanya kazi ambao ni Mungu pekee awezaye na anayestahili kuzifanya kama vile *Kusamehe Dhambi* Hii ni kufuru kuu kwa Mungu aliye juu *Marko 2:7*
Soma pia *1Timotheo 2:5*
Hebu sasa na tuhesabu hesabu ya Cheo chake
VICARIUS FILII DEI ni lugha ya kilatini ambayo ndio lugha haswa ya kanisa hilo pamoja na serikali ya Vatican.
Biblia inatuambia ni hesabu ya kibinadamu
Na tuanze kuihesabu
V=5
I=1
C=100
A=0
R=0
I=1
U=5
S=0
F=0
I=1
L=50
I=1
I=1
D=500
E=0
I=1
JUMLA NI *666*
*USIDANGANYIKE UKADHANI NI KITU FULANI AMBACHO HUWEZI KUKIFAHAMU*
Lakini yawezekana ujumbe huu ukawa kama moto nafsini mwako usishangae Omba Mungu azidi kukufunulia Nuru yake.
34cb84c31da485b0131cbeeb671ce9fa.jpg


YHWH IS GOOD
 
YHWH IS GOOD
wewe mtaalamu wa maandiko matakatifu (BINGWA WA BIBLIA) usiejua hata maana na matumizi ya neno YHWH
in short hilo sio jina la Mungu, ila ni kosa lilofanywa na padre mkatoliki enzi izo
(NAKUSUBIRI UBISHE)

NAJUA UTAKURUPUKa OOOOH LIMO HATA KWENYE BIBLIA, tena zaidi ya mara 6000 (nasubiri ubishe)
na ndo utajua kazi ya kupanga biblia kama unavoiona ilifanywa na akina nani

nimegundu huelewi unacho kifanya, huelewi unacho kipinga, huelewi unacho kitetea na NA BILA KUPEPESA MACHO IN SHORT HUJIELEWI
na ndoo maana watu waelewa na wajuvi wa mambo kama kaka BENCHES, wamekupuuzia tu

sasa unashambulia na kutukana kila siku kanisa katoliki, huku unatumia baadhi ya mambo na mafundiho ya kanisa katoliki tena yaliopo kimakosa,

SASA VITU VIDOGO KAMA YHWH VIMEKUSHINDA, MAMBO NA MAFUNDISHO MAZITO YA KANISA KATOLIKI UTAYAWEZA ??????????
pole sana

NI SALAMU TU IZO....................... NAKUJA
 
Hakuna link au huna macho? Subir mod wauhariri kwanza
Ewe muabudu sanamu

YHWH IS GOOD
Naangalia profile yako hakuna uzi....Nipo na wewe mpaka mwisho...Ndo kwanzs nimekaa sawa..

Nimeanzisha uzi..unapamba moto...Wasabato wanafarakana tuu...wanachungulia na kukimbia...
 
wewe mtaalamu wa maandiko matakatifu (BINGWA WA BIBLIA) usiejua hata maana na matumizi ya neno YHWH
in short hilo sio jina la Mungu, ila ni kosa lilofanywa na padre mkatoliki enzi izo
(NAKUSUBIRI UBISHE)

NAJUA UTAKURUPUKa OOOOH LIMO HATA KWENYE BIBLIA, tena zaidi ya mara 6000 (nasubiri ubishe)
na ndo utajua kazi ya kupanga biblia kama unavoiona ilifanywa na akina nani

nimegundu huelewi unacho kifanya, huelewi unacho kipinga, huelewi unacho kitetea na NA BILA KUPEPESA MACHO IN SHORT HUJIELEWI
na ndoo maana watu waelewa na wajuvi wa mambo kama kaka BENCHES, wamekupuuzia tu

sasa unashambulia na kutukana kila siku kanisa katoliki, huku unatumia baadhi ya mambo na mafundiho ya kanisa katoliki tena yaliopo kimakosa,

SASA VITU VIDOGO KAMA YHWH VIMEKUSHINDA, MAMBO NA MAFUNDISHO MAZITO YA KANISA KATOLIKI UTAYAWEZA ??????????
pole sana

NI SALAMU TU IZO....................... NAKUJA
Mbona unapaniki ?
Unataka kukimbia mada?

Kuhusu jina YHWH unapotoka hilo lipo ktk tanakh ya kiyahudi acha kukurupuka usifananishe na neno Yahwe,

Rudi kwenye mada ,jitetee Je ROMA SIO KAHABA MKUU ?

15cfc477de21fb4621d0de949e578fc7.jpg


YHWH IS GOOD
 
Back
Top Bottom