Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

PETRO HUYU ALIYEOA ?

MAPAPA HAWA SIHAWARUHUSIWI HATA KUOA?

Ona Sasa...hawaruhusiwi na Nani...???

Mapadre walikuwa wana oa mpaka ilipofika mwaka 1100 ndio katazo la kuoa...

Hivi huyo Kahaba EGW alifanikiwa kusoma kweli....

Ohhh..sorry alikuwa kichaa
 
Eti PETRO alikuwa papa

Kwi kwi kwiiiii

PETRO HUYU ALIYEOA ?

MAPAPA HAWA SIHAWARUHUSIWI HATA KUOA?

PETRO ALIYEULIWA NA WARUMI LEO MNADANGANYWA ALIKUWA ETI NI PAPA?



YHWH IS GOOD
Hawa jamaa kazi yao ni uzushi. Biblia wanaisoma juujui tu tena kwa kuipotosha. Ee Bwana Yesu wasamehe watoto wako hawajui walitendalo.
 
Mimi nipo...nakuuliza....Unashika Sabato wewe ni Muebrania...??

Kahaba Mwenyewe EGW hakushika Sabato...sasa wewe kenge unashika ni Muebrania
Basi unajiona umetusi?

YESU AMESEMA sabbath ilifanyika kwa ajiri ya mwanadamu

WEWE NI NGURUWE?

92b7a81f3e349283dec9bce53141147e.jpg


YHWH IS GOOD
 
Hawa jamaa kazi yao ni uzushi. Biblia wanaisoma juujui tu tena kwa kuipotosha. Ee Bwana Yesu wasamehe watoto wako hawajui walitendalo.
Biblia tuitengeneze sisi utufundishe jinsi ya kusoma..

Hivi Kahaba Ellen Gould White alifanikiwa kufika shule kweli...I mean alipata Elimu...?
 
Yote hiyo ni amri moja....USIWE NA MIUNGU MINGINE
mkuu pole na majukumu
nakuomba kama unayo yale maelezo niliofafanua kwa kirefu kuhusu SANAMU NA FAIDA YA MATUMIZI YA SANAMU KWA MWANADAMU, uwajibu hao WAELLENI (wasiojua nini wanacho kifanya na wasiotambua adui wao wa kwanza ni nani)

naomba uyatafute, TENA LETE ULE UFAFANUZI WENYE MAELEZO YALIO AMBATANISHWA NA MASWALI YA KUJIBU (maana maswali hayajapanguliwa na yamekuwa kipolo hadi leo, na naona wanajifanya wamesahau)

otherwise nakutakia siku njema...................
 
Kung'amua tusi au si tusi...si kazi yangu...kama kwako wewe umeona tusi kwangu ni kitu cha kawaida kabisa....

Kahaba EGW alifanikiwa hata kuenda shule kweli..I mean hata zile shule za vichaa...
 
mkuu pole na majukumu
nakuomba kama unayo yale maelezo niliofafanua kwa kirefu kuhusu SANAMU NA FAIDA YA MATUMIZI YA SANAMU KWA MWANADAMU, uwajibu hao WAELLENI (wasiojua nini wanacho kifanya na wasiotambua adui wao wa kwanza ni nani)

naomba uyatafute, TENA LETE ULE UFAFANUZI WENYE MAELEZO YALIO AMBATANISHWA NA MASWALI YA KUJIBU (maana maswali hayajapanguliwa na yamekuwa kipolo hadi leo, na naona wanajifanya wamesahau)

otherwise nakutakia siku njema...................
Ngoja niende kayayasake...nitayaweka hapa..

Ule uzi mkuu nimeshaupandisha upo hewani....Wanafarakana tuuu
 
Naomba nkujibu aaron uliyeandika post hii!
Nianze na hilo neno kahaba:kahaba kama ilivotumika katika biblia inaamanisha taifa la israel baada ya kuasi kwa Mungu,tizama kitabu cha Ezekieli 16,israeli anafamanishwa na kahaba na Mungu anaongelea vyte alivofanya kwake na namna alivojichanganya yy(kahaba)na miungu mingine(wanaume) wengine alipowekwa katila nchi ya ahadi.waume ndo hao waliomzunguka na sura hiyo inaelezea kwa uzuri zaid kuasi mpka adhabu ya kupelekwa uhamishoni..ushahidi mwingine wa huyo kahaba tizama katika ufunuo 17:18 inasema "na huyo mwanamke uliyemwona ni mji ule mkubwa wenye ufalme juu ya wafalme wa nchi"
Pia ukirudi ufunuo hyohyo 17:1 inasema "njoo nikuoneshe hukumu ya yule kahaba mkuu aketiye juu ya maji mengi ambaye wafalme wa nchi wamezini naye(wamemtoa kwny kumuambudu na kumtegemea Mungu pekee mpka kumchafua na kuabudu miungu yao)" .mstari wa 7 inasema "nitakuambia siri ya mwanamke huyu na mnyama huyu amchukuaye mwenye vile vichwa saba na zile pembe kumi"
Mnyama anaongelewa katika danieli kwa sehemu tatu tofauti;
Sehemu ya kwanza n danieli 2,sehemu ya pili ni danieli 7 na ufafanuzi wa yote ni danieli 9
Ss kama umesoma vzr huu ulkuani utabiri wa siku za mwsho ambapo una majuma 70 mpka kurud tena kwa masihi(Yesu Kristo) na danieli hyo sura ya tisa anaambiwa juma la 62 litakamilika masihi atakapouliwa(danieli 9:24).ss hyo hesabu yako ya 42 umepotosha pia nakushaur urud pia kusoma ufunuo 13:1-3 ilinganishe na ufunuo 17:9 na mstari wa 10 anakuambia hivyo vichwa saba ni wafalme saba na ufunuo 17:11 inasema huyu wa saba mwny jeraha alikuepo nae hayupo na ndiye wa nane. Mstari wa 13 unasema hawa wte wafalme wana shauri moja(labda nkudokeze tu wte shaur lao ni kuitawala israel au kuifuta kabsa katika uso wa dunia na hii ipo ufunuo17:15-18)
Hzo miezi 42 ni miaka mitatu na nusu ambapo katika daniel tisa unaambiwa juma la mwsho(miaka saba ya mwsho) ndicho kiama na miaka mitatu ya kwanza atatawala mnyama huyo(42) ya kwanza(ufunuo 13:5)
Niishie hapa kama bado huelewi na una hoja ilete nitakufafanulia zaid na hata habari za hao wafalme
Naomba unisaidie hili ndg, et kaini alimuoa mtoto wa nani maana biblia inasema baada ya kain kumua Abel, kain alifukuzwa na Mungu na kwenda mbali, na baadae kuoa, je, alioa mtoto wa nani kwa wakati huo??

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
 
Ufunuo 17:8 “Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu. Nami nikastaajabu ajabu kuu”

Mwanamke katika unabii inawakilisha “kanisa”, Ufunuo 21:2 inasema, “…Yerusalemu mpya…umewekwa tayari, kama bibi-arusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe.” Na Ufunuo 21:9 inasema, “…Njoo huku, nami nitakuonyesha yule Bibi-arusi, mke wa Mwana-Kondoo.”

Hivyo Yohana aliona kanisa ambalo limelewa damu ya watakatifu, na je kanisa hilo ni kanisa gani? Katika fungu la 1 Yohana aliambiwa na malaika kwamba “njoo huku, nitakuonyesha hukumu ya yule kahaba mkuu.” Kahaba huyo, katika fungu la 5 ametajwa kama “mwanamke aliyeketi juu ya mnyama“, -mnyama- katika unabi inawakilisha “ufalme” au “taifa”; angalia Danieli 7:17 “Wanyama hao…wanne ni wafalme wanne watakaotokea duniani” na Danieli 7:23 “…Huyo mnyama wa nne atakuwa ni ufalme wa nne juu ya dunia…”

Hivyo “mwanamke huyu aliyeketi juu ya mnyama” ni kanisa ambalo lina uwezo wa kidini na kisiasa kwa wakati mmoja (kanisa na serikali). Na Je ni kanisa gani hapa duniani lenye uwezo wa kidini na kisiasa? Ni kanisa la Romani Katoliki pekee! Ambapo kanisa katoliki ni “mwanamke” na Roma ni “mnyama”. Mpaka hapa hakuna haja ya ushahidi zaidi, lakini kwa sababu watu wana mioyo migumu kuamini ngoja tuongeze ushahidi zaidi usioweza kukatalika.

Ufunuo 17:3 inasema, “Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona MWANAMKE, AMEKETI JUU YA MNYAMA mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya makufuru, mwenye vichwa saba na pembe kumi.”

Mnyama huyu anayelichukua kanisa katoliki ana “vichwa 7” na “pembe 10”; hapa vichwa saba vinawakilisha milima saba, Ufunuo 17:9 inasema, “Hapo ndipo penye akili zenye hekima. Vile vichwa saba ni milima saba anayokalia mwanamke huyo.”

Je hapa duniani kuna kanisa na serikali vimekaa juu ya milima saba?
*
Kanisa Katoliki linasema…
“Ni ndani ya mji wa Roma, uitwao Mji wa vilima saba, hivyo eneo lote la Serikali ya Vatican limewekewa mpaka kikamilifu.” –The Catholic Encyclopedia, p 529.

“Je vilima saba vya Roma ni nini?
Roma inajulikana kuwa imejengwa juu ya vilima saba. Roma ilisemwa imepatikana wakati Romulus na Remus, wana mapacha wa Mars, walifika katika futi ya kilima Palatine na wakauanzisha mji, Vilima sita vingine ni Capitoline (kiti cha serikali), Quirinal, Viminal, Esquiline, Caelian, na Aventine.” –Geography.about.com

ENCYCLOPÆDIA BRITANNICA
Vilima saba vya Roma
“…kundi la vilima juu au kuhusu ambapo mji wa Roma wa zamani ulijengwa. Mji wa awali wa Romulus ulijegwa juu ya kilima Palatine (#1) (Kilatini: Mons Palatinus). Vilima vingine ni Capitoline, (#2) Quirinal, (#3) Viminal, (#4) Esquiline, (#5) Caelian, (#6) na Aventine (#7) (Vinavyojulikana kimoja kimoja kwa kilatini kama Mons Capitolinus, Mons Quirinalis, Mons Viminalis, Mons Esquilinus, Mons Caelius, na Mons Aventinus).” –http://www.britannica.com/seo/s/seven-hills-of-rome/

Hivyo mnyama mwenye vichwa 7 ambavyo ni milima 7 ni ufalme wa Roma, na mwanamke aliyeketi juu ya mnyama huyo au juu ya ile milima 7 ni Kanisa Katoliki. Mpaka hapa hakuna haja ya ushahidi zaidi, lakini ngoja tuongeze ushahidi mwingine labda ndungu watapata kuamini kwa huo.

Ufunuo 17:5 inasema, yule “mwanamke amekaa juu ya mnyama…mwenye pembe kumi“. Pembe katika unabii inawakilisha “mfalme/ufalme” au “taifa”, Danieli akitabiri kuhusu mnyama Roma alisema, “Na habari za zile pembe kumi [za mnyama], katika ufalme huo wataondoka wafalme kumi; na mwingine ataoondoka baada ya hao;…naye atawashusha wafalme watatu” Danieli 7:24.

Hivyo pembe kumi ni wafalme kumi ambao wanatawala katika ufalme huo mmoja wa Roma. Baada ya dola la Roma kuanguka mwaka 476BK liligawanyika katika mataifa/wafalme kumi ambayo ni…

1Saxon, kwa sasa ni taifa la Uingereza.2Frank, kwa sasa ni taifa la Ufaransa.3Alamanni, kwa sasa ni taifa la Ujerumani.4Visigoth, kwa sasa ni taifa la Uhispania.5Suevi, kwa sasa ni taifa la Ureno.6Lombard, kwa sasa ni taifa la Italia.7Burgundia, kwa sasa ni taifa la Uswidi.8Heruli, liling’olewa na pembe ndogo 493 B.K.9Vandal, liling’olewa na pembe ndogo 534 B.K.10Ostrogoth, liling’olewa na pembe ndogo 538 B.K.

Hizo ndio pembe kumi za mnyama Roma, Unabii katika Danieli 7:8 na 24 unasema kuwa, baada ya pembe hizo kumi ambazo ni wafalme kumi wa dola la Roma, kati yao ingetokea pembe nyingine ndogo ambayo ni mfalme mwingine, ambaye ni Uapa wa Vatikani; nao ungelikuwa tofauti na wale wafalme 10 kwa sababu una nguvu za kidini na kiserikali tofauti na wale 10. Pia pembe ndogo ambaye ni Upapa angezing’oa pembe 3 katika zile pembe 10 za mnyama Roma.

Baada ya kanisa katoliki kupitisha fundisho la utatu katika baraza la 2 huko Konstantinapoli mwaka 381bk, baraza liliamuru kwamba wote wasiokubaliana na imani ya utatu waangamizwe; hivyo mataifa ya Waario (Arians); watu ambao hawakuamini fundisho la utatu, mataifa yao matatu; Heluli, Vandalis, na Ostrogoth yaliangushwa na kanisa Katoliki. Hivyo Upapa ulizing’oa kabisa pembe hizo 3 kama Danieli alivyotabiri, na mataifa 7 yaliyobaki leo yanaitwa Umoja wa Ulaya [EU].

Hivyo yule mnyama mwenye pembe kumi na vichwa saba ambavyo ni milima 7 ni ufalme wa Roma, na yule mwanamke aliyeketi juu yake ni Kanisa Katoliki. Na hivyo yule mwanamke wa Ufunuo 17:6 “amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu…” ni kanisa Katoliki lenyewe. Je historia inathibitisha kuwa kanisa Katoliki liliwahi kumwaga damu ya watakatifu na mashahidi wa Yesu?

“Kwa sababu ya kufundisha imani kinyume na mafundisho ya Roma, historia inaonyesha vifo vya wafia dini zaidi ya milioni 100” –Brief Bible Readings, p 16.

Kanisa Katoliki linasema…
“Katoliki ana baadhi ya sababu kwa upande wake wakati anapotoa adhabu kwa waasi wa kidini, kwa maana anajidaia jina la Ukristo kwake mwenyewe kwa kuzuia, na anajidai kufundisha kwamba uwepo wa Roho wa Mungu kamwe hautaondoka kwake…Siyo kosa zaidi kumuua mtu kwa sababu ya uasi wa kidini, kuliko kwa sababu ya uuaji,…[na] katika mambo mengi mateso kwa maoni ya kidini siyo tu kwamba yanaruhusiwa, lakini ni ya busara na ya lazima.” –The Lawfulnees of Persecution” in the Rambler, 4, June, 1849, pp 119, 126. (“The Rambler” lilikuwa ni gazeti la kila siku la Romani Katoliki lililochapishwa kuanzia mwaka 1848 hadi 1862).

“Chini ya mawazo na desturi za kijerumani, mateso yalitumiwa kidogo kuanzia karne ya 9 hadi karne ya 12, lakini kwa uhuikaji wa sheria ya Romani mateso yalianzishwa tena katika karne ya 12…Katika mwaka 1252 (Papa) Innocent IV aliruhusu adhabu ya mateso juu ya waasi wa kidini kwa kutumia mamlaka ya kiserikali, na mateso yakaja kuwa na mahali palipojulikana katika utaribu wa mahakama ya kiuchunguzi.” –New Catholic Encyclopedia, arts. “Inquisition”, “Auto-da-Fe’,” na “Massacre of St Bartholomew’s Day.”



YHWH IS GOOD
 
Nimeipenda Yhwh is good,nyie waroma kaeni hapa muelezwe acheni kulalamika tu

YHWH IS GOOD
Hebi nifafanulie hii kitu
Pili, abishe kwamba gematria
E L L E N G O U L D W H I T E
0+50+50+0+0 + 0+ 0+5+50+500+10+0+1+0+0 = 666 si hesabu sawa.
 
Back
Top Bottom