Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Acha kujitoa ufahamu....Mods wanahariri thread yangu ya Kahaba Mkuu Nabii Mke Ellen Gould White..Haueleweki unapinga nini sasa
YHWH IS GOOD
Hama huko nduguWasabato siyo Wakristo...aliyewaruhusu kusoma biblia ni nani..??
Unaongelea Misale au Biblia...Kamuulize padri wako.Amri ya 2 ya kukataza sanamu mbona haipo kwenye misale yetu ya waumini?Atakwambia
Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
Nilishahama mkuu toka Kutambo...baada ya kumsoma Kahaba Mkuu Nabii Mke Ellen G White nilitoka mara moja...Hama huko ndugu
Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
amri ya pili = usilitaje bure jina la bwana Mungu wakoAcha uongo
Kama kweli niambie AMRI YA PILI kwenye katekisimu inasemaje
Amri ya tatu na ya nne pia zinasemaje
Nina misale na katekisimu hapa, nimekaa mishen parokiani nikihudumu Katika cathedral ,navijua vitabu vyote
YHWH IS GOOD
Mbona wewe muamudu sanamu unawashwa hivo, unaanzisha thread baada ya huku kubanwaAcha kujitoa ufahamu....Mods wanahariri thread yangu ya Kahaba Mkuu Nabii Mke Ellen Gould White..
Kule hatujabakiza chochote....tumechambua takataka zote za kahaba yule..
Unakaribishwa
Toa andiko lisemalo "kuchambua biblia au neno la MUNGU hadi usome"tofautisha kusoma biblia na kuchambua maandiko na chimbuko la maandiko...ukiwa na mashaka na ukristu wangu sitashangaa saa kwa sababu ninayeongea naye ni mpinga Kristu na sio mkistu ........
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Jehanum inawangoja hawa hapaNilishahama mkuu toka Kutambo...baada ya kumsoma Kahaba Mkuu Nabii Mke Ellen G White nilitoka mara moja...
Kambi zile za ngono nimehudhuria sana pamoja na lessoni...
Vipi bado upo kwa kahaba EGW..??? Toka fasta..jehanum inakusubiri
Haya ondoeni sanamu hizo,muanze kuitakasa sabato ya siku ya sabaUnaongelea Misale au Biblia...
Hakuna amri iliyobadilishwa hapo...
Ndio maana tunawaambiwa mmepotea hamsikiiamri ya pili = usilitaje bure jina la bwana Mungu wako
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Labda nikuulize...unashika Sabato wewe ni Muebrania...??Haya ondoeni sanamu hizo,muanze kuitakasa sabato ya siku ya saba
Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
Aligeuzaye sikio lake asiisikie sheria,hata sala yake ni chukizo kwa BWANA(mithali 28:9)Nilishahama mkuu toka Kutambo...baada ya kumsoma Kahaba Mkuu Nabii Mke Ellen G White nilitoka mara moja...
Kambi zile za ngono nimehudhuria sana pamoja na lessoni...
Vipi bado upo kwa kahaba EGW..??? Toka fasta..jehanum inakusubiri
Yes! Hiyo ndiyo amri ya pili...leta unayoijua wewe kengeNdio maana tunawaambiwa mmepotea hamsikii
Hivi hiyo ndio amri ya 2?
YHWH IS GOOD
Ofcourse....Kahaba Ellen G White yupo anatekeatea Jehanum kwa kuukataa Utatu Mtakatifu..Aligeuzaye sikio lake asiisikie sheria,hata sala yake ni chukizo kwa BWANA(mithali 28:9)
Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
hata unachoongea haukielewi ...yani ulikaa mission then ukahudimu katika cathedral[emoji50][emoji50] njia us muongo ni fupi sana kwa kweli...endelea na zigo lako la dhambiAcha uongo
Kama kweli niambie AMRI YA PILI kwenye katekisimu inasemaje
Amri ya tatu na ya nne pia zinasemaje
Nina misale na katekisimu hapa, nimekaa mishen parokiani nikihudumu Katika cathedral ,navijua vitabu vyote
YHWH IS GOOD
Weka aya wewe.Hiyo ni amri ta tatu(kutoka 20:7),Ya pili iangalie ktk kutoka 20:4.Soma mwenyewe biblia ususubiri usomewe nduguamri ya pili = usilitaje bure jina la bwana Mungu wako
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
PovuYes! Hiyo ndiyo amri ya pili...leta unayoijua wewe kenge
Hivi unafahamu mimi nilikuwa Msabato wa Hedaru...kande nimekula sanaJehanum inawangoja hawa hapa
YHWH IS GOOD
Povu
YHWH IS GOOD
Unafahamu mm nilikuwa mu rc ,sanamu tumeabudu sana?Hivi unafahamu mimi nilikuwa Msabato wa Hedaru...kande nimekula sana