Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

Mungu hakuwahi kuteua kanisa fulani kuwa alama yake, ila kanisa lake ni wale ambao huzishika amri zake na kuzifuata, acha kupotosha watu na kujipotosha kuhusu SDA na upendeleo wa Mungu kwao
amen wasabato Mungu amewafunulia kuujua unabii ndio kanisa la Mungu la wale waifuatao sheria na imani ya Yesu
 
Ni rahisi kujua dhehebu lenye characteristics hizo,wala huhitaji kuwa na akili nyingi saana.
 
Unasoma mstari wa biblia unatafsi kwa kuunga unga maneno yako mwenyewe. Wapi Biblia imetaja Vatican/ Roma?? Papa?
 
Naona umetafsiri mandoto uliyoota usiku. Yaani mwanamke kahaba ndio kanisa la Roma? Acheni kupotosha maandiko matakatifu.
 
Unasoma mstari wa biblia unatafsi kwa kuunga unga maneno yako mwenyewe. Wapi Biblia imetaja Vatican/ Roma?? Papa?
Biblia imetaja kwa code Huo ni unabii ,ulitaka utajiwe Vatican,papa utasubiri sana ,fungua code
 
Sio hawa waabudu masanamu wa hapo Roma?
Walioua watakatifu na kubadili amri za Mungu?
Wasabato mna hasira za kijinga, jumamosi yenu
huko mnakokutarajia ni lini mlifika na kurudi kutupa ushuhuda kuwa Mbinguni au ahera wanaitambua jumamosi au jumapili, wewe sali kwa ujuavyo achana na Dini nyingine na pagani
wapo wasabato walishinda uwanja wa ndege Dsm wakisubiri ndege waende mbinguni na hawakuondoka sijui wapo wapi
 
Usabato umeingiaje hapa ? Jadili hoja bila mihemko mm sio msabato kwa taarifa yako
 
Usabato umeingiaje hapa ? Jadili hoja bila mihemko mm sio msabato kwa taarifa yako
Pole mihemko yako ya kutoijua hii ni Mada ya waSabato usingesema hayo, maana Wasabato hawakuwepo ila walidanganywa kuwa adui yao ni yule aliyebadili siku ya jumamosi
Sio hawa waabudu masanamu wa hapo Roma?
Walioua watakatifu na kubadili amri za Mungu?
Bi Ellen Gould White
 
Pole mihemko yako ya kutoijua hii ni Mada ya waSabato usingesema hayo, maana Wasabato hawakuwepo ila walidanganywa kuwa adui yao ni yule aliyebadili siku ya jumamosi

Bi Ellen Gould White
View attachment 1372870
Utajijua wewe ,Mimi sizungumzii usabato nazungumzia kilichopo ndani ya maandiko au hujui ukatoliki ni upagani?
 
Wengine walifia pale kipundupindu kiliwapindua safari yao ikaishia pale, wengine walikuwa omba omba ili wapate nauli ya kurudia makwao waliko toka, wasabato masalia hao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…