Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
- Thread starter
-
- #41
KWAHIYO HATA HILI UNABISHA ?Unaweza kuwa mpinzani wa dhehebu fulani hili halina shida,lakini kuanza kudanganya ni jambo la ajabu na lisilokubalika maana kuna watu wanaweza kuamini maneno yako...
Najua matatizo ya kanisa katoliki lakini usidanganye watu...
Naomba uweke na ushahidi wa kila kimoja hapo kuwa kwanza kimeruhusiwa na kanisa katoliki na pia ni kosa kimaandiko....
"umeufahamu" upande mmoja wa imani uliyokuwa nayo (ukatoliki) lakini pia ukiufahamu upande wa pili wa kanisa ulilohamia sitaki kuamini kwamba pia utahama... tambua moja tu, huenda yale ulioyapokea ni ya "kweli" lakini tawala hizi zinaongozwa na wanadamu wenye mapungufu ya hali ya juu kiroho, ila wakawa na maarifa sana kwa wanadamu wenzao, jaribu kukaa na kuwaza wewe binafsi ushawahi kutumia fikra zako mwenyewe kuutafakari utukufu na ufalme wa Mungu?Bado upo chungu kimoja na papa
Mungu hakuwahi kuteua kanisa fulani kuwa alama yake, ila kanisa lake ni wale ambao huzishika amri zake na kuzifuata, acha kupotosha watu na kujipotosha kuhusu SDA na upendeleo wa Mungu kwao
dah umenena kweli mkuu, kanisa lake ni wale ambao huzishika amri zake na kuzifuata; tukumbushe zile amri kumi za Mungu tuone labda ni wapi tumejukwaa kwa kutokuzitiiMungu hakuwahi kuteua kanisa fulani kuwa alama yake, ila kanisa lake ni wale ambao huzishika amri zake na kuzifuata, acha kupotosha watu na kujipotosha kuhusu SDA na upendeleo wa Mungu kwao
Yesu hakutaka kujaribiwa, pia ni vyema hata usipende kujaribu imani za watu.dah umenena kweli mkuu, kanisa lake ni wale ambao huzishika amri zake na kuzifuata; tukumbushe zile amri kumi za Mungu tuone labda ni wapi tumejukwaa kwa kutokuzitii
Yule anayejidhania kuwa amesimama na angalie asianguke.Pia tuyasome maandiko na tuweze kuyatafakari siyo kuyakariri.
Bado hujaufahamu ulimwengu na walimwengu, siku ukiutambua vizuri utasema ni heri kuamini fikra zangu kuliko za wengine, nilitaka niseme "nakuonea huruma" ila nikawaza huenda nami kuna mtu "ananionea huruma"Nilishahamaga huko tangu 2012 nikaamua Kuokoka.
Kama Yesu anaitwa MUNGU na mariam ni mama wa Yesu then Mariam ni mama wa MUNGU. Unataka uhalali upi?Mimi ni roman catholic
kwa mroma mwenzangu
atakayeweza kunielewesha, kiunagaubaga zile sanamu kanisani ni za nini? Kwanini maandiko yamepinga na still bado zipo? vp kwenye salama Maria kuna sehemu tunatamka mama wa Mungu je ni halali?. Ntaendelea kuuliza zaidi
Nb hayo maswali hasa la sanamu limenifanya niwe mgumu wa kwenda kanisani kabisa.
Yesu sio MunguKama Yesu anaitwa MUNGU na mariam ni mama wa Yesu then Mariam ni mama wa MUNGU. Unataka uhalali upi?
mkuu roho yupi unayemzungumzia.kama ni huyu roho mtakatifu ambaye habari zake tunazipata katika Bibilia,hawa jamaa wamefunuliwa mambo makubwa sana na huyo roho mtakatifu,ambaye huenda wewe huijui vizuri kazi yake.labda kama unamzungumzia yule roho mtakavitu wa ROKOBOSAKARARARA;SHAKARARAR,KANDARABOKOSAUsomaji wa bible kama hauna roho mtakatifu ni ngumu kupata tafakari nikama kusoma gazeti ss hapa ndipo kwenye shida kwa Jamaa zangu wasabato,mashahidi wa jehova,.....
We mti mkavu ujaribiwe una kitu gani ,labda tu una uvivu wa kufikiri na kutokujua mambo vizuriYesu hakutaka kujaribiwa, pia ni vyema hata usipende kujaribu imani za watu.
hekima unayojiona kuwa nayo umeipata toka kwa watu wengine, na maarifa ya wanadamu kwa Mungu Wa Majeshi ni UPUMBAVU, chunga ulimi wakoWe mti mkavu ujaribiwe una kitu gani ,labda tu una uvivu wa kufikiri na kutokujua mambo vizuri
hii ni hekima itokayo juu si kwa mwanadamu awaye yote, hakuna yeyote atakejisufu kanigawia. ISIPOKUWA MZEE WA SIKUhekima unayojiona kuwa nayo umeipata toka kwa watu wengine, na maarifa ya wanadamu kwa Mungu Wa Majeshi UPUMBAVU, chunga ulimi wako
Jitahidi uwe unaelewa unachoulizwa ili ukijibu na usijibu kitu kingine ambacho hujaulizwa.....KWAHIYO HATA HILI UNABISHA ?
HII SIO IBADA YA SANAMU?