Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

KWAHIYO HATA HILI UNABISHA ?

HII SIO IBADA YA SANAMU?

bda08ae1a39de2ad00a4f0ab631aa42b.jpg
Mimi mkatoliki hayo ni maigizo tu Hakuna Ukweli kila anaejinasibu kuwa katoliki liko hv Mm binafsi sioni baya
 
Mm mkatoliki,hvi nikijichongea langu hiyo sanamu nikaiweka ndani kwangu je naweza pata wokvu tofauti na kanisani?
 
Mimi mkatoliki hayo ni maigizo tu Hakuna Ukweli kila anaejinasibu kuwa katoliki liko hv Mm binafsi sioni baya
kijana katoliki inawenyewe huwezi ona baya lolote,ni kama ilivyo chama dola hapa kwetu
 
Hongera kwenu wachambuzi. Maana mambo ya bible bw yapo kisengerenyuma zaidi. Maana yake la mbele linaweza likawa ni la kwanza.
 
Kumtambulisha “Babiloni Mkubwa”

KITABU cha Ufunuo kina majina ambayo yana maana ya mfano. (Ufunuo 1:1) Kwa mfano, kinataja mwanamke ambaye jina “Babiloni Mkubwa” limeandikwa katika paji la uso wake. Kinasema kwamba mwanamke huyo ameketi juu ya “umati na mataifa.” (Ufunuo 17:1, 5, 15) Kwa kuwa hakuna mwanamke halisi anayeweza kufanya hivyo, lazima Babiloni Mkubwa awe mwanamke wa mfano. Kwa hiyo, kahaba huyo wa mfano anawakilisha nini?

Kwenye Ufunuo 17:18, mwanamke huyohuyo wa mfano anatajwa kuwa “lile jiji kubwa lililo na ufalme juu ya wafalme wa dunia.” Jina “jiji” linarejelea kikundi cha watu. Kwa kuwa ‘jiji hilo kubwa’ linaongoza “wafalme wa dunia,” lazima yule mwanamke anayeitwa Babiloni Mkubwa awe shirika lenye uvutano ulimwenguni pote. Linaweza kuitwa milki ya ulimwengu. Milki ya aina gani? Ya kidini. Ona jinsi maandiko mengine katika kitabu cha Ufunuo yanavyotusaidia kufikia uamuzi huo.

Milki inaweza kuwa ya kisiasa, ya kibiashara, au ya kidini. Mwanamke anayeitwa Babiloni Mkubwa si milki ya kisiasa kwa sababu Neno la Mungu linasema kwamba “wafalme wa dunia,” au wanasiasa wa ulimwengu huu, “walifanya uasherati” naye. Uasherati wake ni mapatano ambayo amefanya na watawala wa dunia na ndiyo sababu anaitwa “kahaba mkubwa.”—Ufunuo 17:1, 2; Yakobo 4:4.

Babiloni Mkubwa hawezi kuwa milki ya kibiashara kwa sababu “wanabiashara wa dunia,” watamlilia atakapoharibiwa. Isitoshe, wafalme na wanabiashara watamwangalia Babiloni Mkubwa wakiwa “mbali.” (Ufunuo 18:3, 9, 10, 15-17) Kwa hiyo, ni wazi kwamba Babiloni Mkubwa, si milki ya kisiasa wala ya kibiashara, bali ni milki ya kidini.

Hilo linathibitishwa na ile taarifa ya kwamba Babiloni Mkubwa anapotosha mataifa yote kwa ‘mazoea yake ya kuwasiliana na pepo.’ (Ufunuo 18:23) Kwa kuwa mazoea yote ya kuwasiliana na pepo hutokana na dini na roho waovu, haishangazi kwamba Biblia inamwita Babiloni Mkubwa “makao ya roho waovu.” (Ufunuo 18:2; Kumbukumbu la Torati 18:10-12) Pia, milki hiyo inapinga vikali dini ya kweli, ikiwatesa “manabii” na “watakatifu.” (Ufunuo 18:24) Kwa kweli, Babiloni Mkubwa anachukia sana dini ya kweli hivi kwamba anawatesa kikatili na hata kuwaua “mashahidi wa Yesu.” (Ufunuo 17:6) Hivyo, ni wazi kwamba mwanamke huyo anayeitwa Babiloni Mkubwa anawakilisha milki ya ulimwenguni pote ya dini ya uwongo, inayotia ndani dini zote zinazompinga Yehova Mungu

Rejea

Biblia inafundisha nini hasa? @ jw.org chini ya kichwa machapisho>vtabu
 
Mimi ni roman catholic
kwa mroma mwenzangu
atakayeweza kunielewesha, kiunagaubaga zile sanamu kanisani ni za nini? Kwanini maandiko yamepinga na still bado zipo? vp kwenye salama Maria kuna sehemu tunatamka mama wa Mungu je ni halali?. Ntaendelea kuuliza zaidi
Nb hayo maswali hasa la sanamu limenifanya niwe mgumu wa kwenda kanisani kabisa.
Wewe sio Mroman catholic period. Acha kuhadaaa umma hapa
 
Kumtambulisha “Babiloni Mkubwa”

KITABU cha Ufunuo kina majina ambayo yana maana ya mfano. (Ufunuo 1:1) Kwa mfano, kinataja mwanamke ambaye jina “Babiloni Mkubwa” limeandikwa katika paji la uso wake. Kinasema kwamba mwanamke huyo ameketi juu ya “umati na mataifa.” (Ufunuo 17:1, 5, 15) Kwa kuwa hakuna mwanamke halisi anayeweza kufanya hivyo, lazima Babiloni Mkubwa awe mwanamke wa mfano. Kwa hiyo, kahaba huyo wa mfano anawakilisha nini?

Kwenye Ufunuo 17:18, mwanamke huyohuyo wa mfano anatajwa kuwa “lile jiji kubwa lililo na ufalme juu ya wafalme wa dunia.” Jina “jiji” linarejelea kikundi cha watu. Kwa kuwa ‘jiji hilo kubwa’ linaongoza “wafalme wa dunia,” lazima yule mwanamke anayeitwa Babiloni Mkubwa awe shirika lenye uvutano ulimwenguni pote. Linaweza kuitwa milki ya ulimwengu. Milki ya aina gani? Ya kidini. Ona jinsi maandiko mengine katika kitabu cha Ufunuo yanavyotusaidia kufikia uamuzi huo.

Milki inaweza kuwa ya kisiasa, ya kibiashara, au ya kidini. Mwanamke anayeitwa Babiloni Mkubwa si milki ya kisiasa kwa sababu Neno la Mungu linasema kwamba “wafalme wa dunia,” au wanasiasa wa ulimwengu huu, “walifanya uasherati” naye. Uasherati wake ni mapatano ambayo amefanya na watawala wa dunia na ndiyo sababu anaitwa “kahaba mkubwa.”—Ufunuo 17:1, 2; Yakobo 4:4.

Babiloni Mkubwa hawezi kuwa milki ya kibiashara kwa sababu “wanabiashara wa dunia,” watamlilia atakapoharibiwa. Isitoshe, wafalme na wanabiashara watamwangalia Babiloni Mkubwa wakiwa “mbali.” (Ufunuo 18:3, 9, 10, 15-17) Kwa hiyo, ni wazi kwamba Babiloni Mkubwa, si milki ya kisiasa wala ya kibiashara, bali ni milki ya kidini.

Hilo linathibitishwa na ile taarifa ya kwamba Babiloni Mkubwa anapotosha mataifa yote kwa ‘mazoea yake ya kuwasiliana na pepo.’ (Ufunuo 18:23) Kwa kuwa mazoea yote ya kuwasiliana na pepo hutokana na dini na roho waovu, haishangazi kwamba Biblia inamwita Babiloni Mkubwa “makao ya roho waovu.” (Ufunuo 18:2; Kumbukumbu la Torati 18:10-12) Pia, milki hiyo inapinga vikali dini ya kweli, ikiwatesa “manabii” na “watakatifu.” (Ufunuo 18:24) Kwa kweli, Babiloni Mkubwa anachukia sana dini ya kweli hivi kwamba anawatesa kikatili na hata kuwaua “mashahidi wa Yesu.” (Ufunuo 17:6) Hivyo, ni wazi kwamba mwanamke huyo anayeitwa Babiloni Mkubwa anawakilisha milki ya ulimwenguni pote ya dini ya uwongo, inayotia ndani dini zote zinazompinga Yehova Mungu

Rejea

Biblia inafundisha nini hasa? @ jw.org chini ya kichwa machapisho>vtabu
Hata Jehova's Witness naye ana audacity ya kuchimba mkwara wengine kuhusu imani na kudadavua mambo ya unabii? Mtu asiyeruhusiwa kuisoma Biblia yeye mwenyewe na kuielewa wala kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na Yesu Kristo? Mtu ambaye kila kitu kuhusu imani yake ni lazima kichapishwe katika vitini vinavyotoka makao makuu Brooklyn na yeye kazi yake ni kumeza tu bila kuhoji? Mtu ambaye wokovu wake unategemea masaa anayotumia kujitolea kwenda nyumba kwa nyumba kila mwaka kushawishi watu wajiunge na cult yake? Mtu ambaye haruhusiwi kusoma kitu kingine cho chote isipokuwa machapisho ya jw.org? Mtu ambaye haamini katika Yesu wa kwenye Biblia? Mtu ambaye haamini katika mbingu? Mtu ambaye haruhusiwi kusoma toleo jingine lolote la Biblia isipokuwa lile lililochakachuliwa na makao makuu ya Brooklyn na kubadilishwa badilishwa sehemu nyingi muhimu? Nawe unadokezea mambo ya unabii? Unajua nini juu ya unabii mbali na kunukuu vipeperushi hivi? Una uhuru hata wa kufikiri mwenyewe kuhusu wokovu wako? Mkuu, unaijua historia ya Jehova's Witness sawasawa mbali na vipeperushi vya kutoka Brooklyn? Unamfahamu tapeli mkubwa aitwaye Russell?

Hizi dini achaneni nazo na kama kuna mtu anaamini kuwa atakwenda mbinguni kwa sababu eti ni Mkatoliki, Msabato, Mjehova Witness, Mmomoni...bila kumakinikia usafi wa kiroho na utauwa uliosimikwa katika Neema na mibaraka ya Mungu kupitia kwa mwana wake Yesu Kristo basi anajidanganya.
 
Yesu sio Mungu
na wala mariam sio mama wa Mungu. So mariamu ni mama yake Nabii ambaye ndiye kristo.
Ingekuwa hivyo pale Yohana alipokuwa anambatiza ile sauti ya Mwenyenzi Mungu isingesema huyu ndiye mwanangu nimependezwa naye.

Kwa maneno hayo we siyo mkristo!
 
Kwani nyie shida yenu nini? nyie wasabato endeleeni kusali jumamosi. wakatoliki kwani kuna siku waliwasema nnyinyi?? embu achaneni na sisi bwana
 
Hata Jehova's Witness naye ana audacity ya kuchimba mkwara wengine kuhusu imani na kudadavua mambo ya unabii? Mtu asiyeruhusiwa kuisoma Biblia yeye mwenyewe na kuielewa wala kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na Yesu Kristo? Mtu ambaye kila kitu kuhusu imani yake ni lazima kichapishwe katika vitini vinavyotoka makao makuu Brooklyn na yeye kazi yake ni kumeza tu bila kuhoji? Mtu ambaye wokovu wake unategemea masaa anayotumia kujitolea kwenda nyumba kwa nyumba kila mwaka kushawishi watu wajiunge na cult yake? Mtu ambaye haruhusiwi kusoma kitu kingine cho chote isipokuwa machapisho ya jw.org? Mtu ambaye haamini katika Yesu wa kwenye Biblia? Mtu ambaye haamini katika mbingu? Mtu ambaye haruhusiwi kusoma toleo jingine lolote la Biblia isipokuwa lile lililochakachuliwa na makao makuu ya Brooklyn na kubadilishwa badilishwa sehemu nyingi muhimu? Nawe unadokezea mambo ya unabii? Unajua nini juu ya unabii mbali na kunukuu vipeperushi hivi? Una uhuru hata wa kufikiri mwenyewe kuhusu wokovu wako? Mkuu, unaijua historia ya Jehova's Witness sawasawa mbali na vipeperushi vya kutoka Brooklyn? Unamfahamu tapeli mkubwa aitwaye Russell?

Hizi dini achaneni nazo na kama kuna mtu anaamini kuwa atakwenda mbinguni kwa sababu eti ni Mkatoliki, Msabato, Mjehova Witness, Mmomoni...bila kumakinikia usafi wa kiroho na utauwa uliosimikwa katika Neema na mibaraka ya Mungu kupitia kwa mwana wake Yesu Kristo basi anajidanganya.
Wewe ni mjuzi wa ku attack even with wrong targets.

Kosoa hoja iliyotolewa, usimkosoe mletaji. Au imekuwa kosa kuleta citation?

Hata wanafuzi wanapofanya assignments huambiwa watoe references za majibu wanayotoa. Hivyo huja na vyanzo tofautitofauti kila mmoja na chake.

Na kwa uelewa nilionao, maswali mengi uliyouliza sio halisi na hao watu walivyo.

Lakini kifupi nimetambua unawachukia Jehovah's witnesses.
 
Safi Sana Kwa uzi nzuri Sana. Kama huko nyuma kofia ya alama ya Mnyama 666 ilivaliwa na Papa. Wakatoliki wanashindwa kuoji Nani aliyekabuni kofia Ile na alikuwa na cheo gani huko Vatican na lengo Lake ni nini, je alikuwa ni mtu mmoja au kikundi . Kwa nini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa Kwa mbunifu wa Ile kofia. Badala yake tunaambiwa kofia ilipigwa marufuku, Kwa nini Ile alama ya Mnyama 666 ilionekana watu wakashtuka. Fikira huru inakuja baada kuwa unbiased

Tuma uthibitisho wa usemi wako sio porojo... Unazungumzia kuwa unbiased at the same time fikra zako hazijakaa kujifunza zaidi Ya kutaka kusikilizwa bila fact..maongezi yako yote yamejaa kwenye "kofia" hata unasahau Kwamba kanisa hilo hilo la mashetani ndio limezaa dhana Ya kanisa na dini Ya wafuasi wa Kristo.

Ukitoka Hapo unaenda hospital Ya mission Ya Hao hao unaowaita mashetani, alafu wengine mnasoma Kwenye shule zao, Wengine ndio watawala wenu wa siasa mnaowaita baba wa taifa.

Acheni unafiki, nyie watakatifu mmefanya nini?

Shetani hawezi kumkemea shetani mwenzake wala kumtangaza Kristo,
 
Yesu sio Mungu
na wala mariam sio mama wa Mungu. So mariamu ni mama yake Nabii ambaye ndiye kristo.
Ingekuwa hivyo pale Yohana alipokuwa anambatiza ile sauti ya Mwenyenzi Mungu isingesema huyu ndiye mwanangu nimependezwa naye.

ImageUploadedByJamiiForums1483384051.374822.jpg

Huyo Yohana unayemsema yeye pia anamthibitisha Yesu ni Kristo na tena ni Mungu mwana
 
Wewe ni mjuzi wa ku attack even with wrong targets.

Kosoa hoja iliyotolewa, usimkosoe mletaji. Au imekuwa kosa kuleta citation?

Hata wanafuzi wanapofanya assignments huambiwa watoe references za majibu wanayotoa. Hivyo huja na vyanzo tofautitofauti kila mmoja na chake.

Na kwa uelewa nilionao, maswali mengi uliyouliza sio halisi na hao watu walivyo.

Lakini kifupi nimetambua unawachukia Jehovah's witnesses.
Acha kutoka povu mkuu. Soma post yangu uielewe. Niwachukie Jehova's Witness ili iweje? Wewe umeweka copy and paste ya kutoka Brooklyn ulitaka watu tukae kimya? Hii ni JF where we dare to talk openly (japo tunazuiwa) na maswali yote niliyoyauliza hapo juu yanagusia moja kwa moja misingi mikuu ya imani ya Jehova's Witness. Wewe huwezi kuyajua haya kwa sababu huruhusiwi kujisomea nje ya box na pengine hata huijui historia yenye giza ya hawa "Mashahidi wa Jehova"

Naamini wewe ni Jehova's Witness lakini kwa vile huna uhuru wa kujisomea mambo wala kujibu maswali nje ya vipeperushi vya kutoka makao makuu Brooklyn mijadala kama hii inakuwa mizito sana kwako. Haya mambo waachie Wasabato mkuu. Wao tangu kuanzishwa kwao wanatabiri tabiri kurudi kwa Yesu, kutimia kwa unabii na mapambano yasiyoisha dhidi ya Papa na ukatoliki huku wakifuata mawaidha ya Nabii wao Bibi Ellen G. White.
 
Unataka copy and paste ipi ili ukae kimya? Mleta uzi hajatoa maelezo.
 
Heb anzisheni thread special ant catholic au against catholic maana mmezidi kila kila catholic tu, kuna makanisa ya yanafungisha ndoa ya jinsia moja kanisani, kuna cults watu wanauana. Yote mnayaacha mnakimbilia kwa R.C ambacho nakiona huenda kila anayeanzisha kanisa analenga kupata waumini kutoka rc kwan ndipi kuna waumini wengi hivyo lazma uwaponde. Sasa hawa waumini wa makanisa hayo wanakopi utamaduni huo bila kujua chanzo. Kanisa linafundisha amani, upendo nk lina shida Gan? By the way hakuna atakayeenda mbinguni sababu yeye ni dini Fulani, wapo waislamu wataingia, wabudha wataingia, rc na lutheri kila mtu kutokana na matendo yake. Kama unadhani mbinguni utakwenda jehova witness peke yenu sababu hamruhusu kuongezewa damu utakua mjinga wa mwisho na Kama utadhani mbinguni utakwenda kwa kusali jumamosi na ni mjinga vile vile.
 
Back
Top Bottom