Mfahamu Kocha Mpya Wa Simba SC, Dylan Kerr

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
-Ni mzaliwa wa uingereza,ana umri wa 48.

-Katika kipindi anasakata kabumbu amepitia timu kadhaa kama Leeds, Reading, Kilmanock, Hamilton.. alikuwa ni miongoni mwa beki "katili" wa kipindi hicho.

-Msimu wa 1993/94 alichuguliwa kuwa mchezaji bora wa Reading FC pia alikua katika kikosi cha mwaka.

-Mwaka 2001 alikuwa na Jose Mourinho [ndio huyo huyo wa chelsea] darasa 1, wakiisaka leseni ya UEFA daraja A.. na walikuwa ni marafiki wakubwa sana.

-Mwaka 2005 ndo alikabidhiwa leseni yake ya ukocha.

-Alianza kufundsha mpira mwaka 2009 nchini S.A, na alikaa huko hadi mwaka 2011.

-Kuanzia mwaka 2011 hadi msimu uliopita alikuwa akifundisha timu ya Hai Phong FC na msimu uliopita aliiwezesha kuchukua FA CUP, na kuiwezesha kufuzu Asia Champions League.

Maoni Yangu.
"Upele umepata Mkunaji."
 
-Mwaka 2001 alikua na Jose Mourinho [ndio huyo huyo wa chelsea] darasa 1, wakiisaka leseni ya UEFA daraja A.. na walikua ni marafiki wakubwa sana.

Hii ya kuwa rafiki na Mourhino inasaidia nini kwenye mpira wetu?

Simba na uongozi wake nayo ni bomu kama alivyo malinzi.

Na nakuhakikishia Simba hii haitakaa ichukue kikombe cha ligi kuu kwa miaka mingize zaidi ya miwili endapo itaendelea na viongozi aina ya Aveva na Hanspope.

Wewe kila msimu kocha mpya na wachezaji wapya

Kopunovic alikubali dau waliloweka viongozi wa simba...why hakupewa mkataba.....Kopunovic alishaifahamu timu.....mfumo wake wachezaji walishauzoea...sasa unaleta mtu mwingine mwezi mmoja kabla ya ligi kuanza na unategemea matokeo mazuri?

Huo ni undorobo tu
 
Soka la Tanzania linatia hata njaa ukifatila sana,Tanzania fitna federation plus uchawi wa kumwaga ,wachezaji hawalipwi hela zao makocha hawalipwi hela zao,wanaofaidika ni vile vizee vinavyokaa pale makao makuu ya ofisi za timu vinakunywa kahawa huku vimepaki prado, lakini wanaoteseka uwanjani wao wanaishia kuzungushwa tuu haki zao lazima morali ishuke hata kama ni wewe.

Fitina za kisoka zinazofanyika bongo ni zile za kukandamiza soka la bongo yenyewe sio zile fitna zenye manufaa kama wanazofanya waarabu...sasa watanzania wanashindwa kila sekta hadi vitandani.
 
Hata mlete Wenger mtabaki kukuza vipaji na kuwa wa mchangan tuu
 
Hii ya kuwa rafiki na Mourhino inasaidia nini kwenye mpira wetu?

Simba na uongozi wake nayo ni bomu kama alivyo malinzi.

Na nakuhakikishia Simba hii haitakaa ichukue kikombe cha ligi kuu kwa miaka mingize zaidi ya miwili endapo itaendelea na viongozi aina ya Aveva na Hanspope.

Wewe kila msimu kocha mpya na wachezaji wapya

Kopunovic alikubali dau waliloweka viongozi wa simba...why hakupewa mkataba.....Kopunovic alishaifahamu timu.....mfumo wake wachezaji walishauzoea...sasa unaleta mtu mwingine mwezi mmoja kabla ya ligi kuanza na unategemea matokeo mazuri?

Huo ni undorobo tu

Naimani anajifunza mengi sana toka kwa Mourinho.. na hii inatokana na kufahamiana nae tangu enzi hizo wanajifunza ukocha.
 
hahahahaaa like it!!
 
Naimani anajifunza mengi sana toka kwa Mourinho.. na hii inatokana na kufahamiana nae tangu enzi hizo wanajifunza ukocha.

Mkuu we need to come out with serious arguments

Hizi sifa ambazo ni za kipuuzi hazitusaidii kwenye mpira

wangapi wamesoma na Obama au Kikwete Darasa moja...Je wote wamepewa ushauri mzuri na kikwete au obama kuwa marais wazuri?

Hizi siasa za mpira wa Tanzania ni za hovyo sana...Na ndio maana siku zote tunabaki hapahapa tu
 
-Ni mzaliwa wa uingereza,ana umri wa 48.

-Katika kipindi anasakata kabumbu amepitia timu kadhaa kama Leeds, Reading, Kilmanock, Hamilton.. alikuwa ni miongoni mwa beki "katili" wa kipindi hicho.

-Msimu wa 1993/94 alichuguliwa kuwa mchezaji bora wa Reading FC pia alikua katika kikosi cha mwaka.

-Mwaka 2001 alikuwa na Jose Mourinho [ndio huyo huyo wa chelsea] darasa 1, wakiisaka leseni ya UEFA daraja A.. na walikuwa ni marafiki wakubwa sana.

-Mwaka 2005 ndo alikabidhiwa leseni yake ya ukocha.

-Alianza kufundsha mpira mwaka 2009 nchini S.A, na alikaa huko hadi mwaka 2011.

-Kuanzia mwaka 2011 hadi msimu uliopita alikuwa akifundisha timu ya Hai Phong FC na msimu uliopita aliiwezesha kuchukua FA CUP, na kuiwezesha kufuzu Asia Champions League.

Maoni Yangu.
"Upele umepata Mkunaji."

ahahaa...hiyo ni FA ya dr. mwaka ndondo cup ? au michuano ipi hiyo ya FA unayoimaanisha?

Yaani hadi ligi ya mchangani ya Asia nayo ni CV? Kusoma na Mourinho nayo ni CV kaandika kwenye wasifu wake? Basi kama ndo hivyo hata kumfulia socks na njumu Mourinho ilibidi iwe CV tosha kwake kocha wa mikia, ila ukweli ni kwamba kama Mourinho aliisha wahi kwenda kwenye darasa la huyo kocha wakati anasoma, basi atakuwa Mourinho alikuwa anapita zake , wakamuomba aje kuwasalimia wanafunzi vilaza (akiwa huyo kocha wa mikia) japo kwa dk 1 tu kisha aendelee na safari yake., lakini sio kutupiga kamba kuwa alisoma na le mbulura kocha mpya wa mikia.

Haingii akilini kocha anayesoma kozi za ukocha wa level ya kina Morinho aje afundishe mchangani huku Tanzania kwa kina MIKIA ambao hata kulipa mishahara tu ni sheeeda...(kumbuka yule babu wa simba mwingereza anawadai mshara mpaka kesho). Hakika kila siku tuta endelea kuwa kichwa cha mwenda wazimu.
 
Mkuu we need to come out with serious arguments

Hizi sifa ambazo ni za kipuuzi hazitusaidii kwenye mpira

wangapi wamesoma na Obama au Kikwete Darasa moja...Je wote wamepewa ushauri mzuri na kikwete au obama kuwa marais wazuri?

Hizi siasa za mpira wa Tanzania ni za hovyo sana...Na ndio maana siku zote tunabaki hapahapa tu

Hahaha.. Ila msimu ulioisha ameiwezesha timu yake kufuzu Asian Champions League, ambayo level za UEFA Champions League au Klabu Bingwa ya Africa.. kwa hili nazani anatosha.
 
MeinKempf

-Mwaka 2001 kipindi Mourinho akiwa Barcelona, Kocha Mkuu Bobby alimshauri Jose akasomee ukocha, na huko ndipo alipokutana na Kerr.

-Hiyo ni Cup ya nchini Vietnam.

-Ni makocha kibao wenye leseni ya UEFA daraja A.. wapo wanafundisha timu za mchangani.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hizo CV za huyo kocha ni bora hata mungempa kibadeni kazi ya kuinoa simba.
Yaani kusoma darasa moja na Morinho nayo ni CV!
 
Hahaha.. Ila msimu ulioisha ameiwezesha timu yake kufuzu Asian Champions League, ambayo level za UEFA Champions League au Klabu Bingwa ya Africa.. kwa hili nazani anatosha.
Ameiwezesha timu yake KUFUZU Asian champions league kwenye hatua gani!!
 
Kwa hizo CV za huyo kocha ni bora hata mungempa kibadeni kazi ya kuinoa simba.
Yaani kusoma darasa moja na Morinho nayo ni CV!!!!!

Mkuu katika maelezo yote hayo.. umeona kua tu kusoma na mourinho?
Hujaona kuhusu elimu aliyonayo?
 
Hahaha.. Ila msimu ulioisha ameiwezesha timu yake kufuzu Asian Champions League, ambayo level za UEFA Champions League au Klabu Bingwa ya Africa.. kwa hili nazani anatosha.

Aliyepaswa kutosha Simba ni Kopunovic tu.....Na tutamkumbuka sana

Huyu nampa mechi 3 tu mtamuona alivyo mtupu......

Sidhani kama umenielewa arguments zangu
 
Yaani kabumbu la bongo ushindi ungekuwa mdomo,
Tungebeba world cup kila msimu, nachukia kabumbu ya bongo ka sumu
 
Back
Top Bottom