sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
-Ni mzaliwa wa uingereza,ana umri wa 48.
-Katika kipindi anasakata kabumbu amepitia timu kadhaa kama Leeds, Reading, Kilmanock, Hamilton.. alikuwa ni miongoni mwa beki "katili" wa kipindi hicho.
-Msimu wa 1993/94 alichuguliwa kuwa mchezaji bora wa Reading FC pia alikua katika kikosi cha mwaka.
-Mwaka 2001 alikuwa na Jose Mourinho [ndio huyo huyo wa chelsea] darasa 1, wakiisaka leseni ya UEFA daraja A.. na walikuwa ni marafiki wakubwa sana.
-Mwaka 2005 ndo alikabidhiwa leseni yake ya ukocha.
-Alianza kufundsha mpira mwaka 2009 nchini S.A, na alikaa huko hadi mwaka 2011.
-Kuanzia mwaka 2011 hadi msimu uliopita alikuwa akifundisha timu ya Hai Phong FC na msimu uliopita aliiwezesha kuchukua FA CUP, na kuiwezesha kufuzu Asia Champions League.
Maoni Yangu.
"Upele umepata Mkunaji."