Huyu kocha kimeo, sioni cv ya maana hapo, nilijua ameiwezesha timu yake kufika hata kwenye makundi kumbe ni hatua ya awali!!!!Hatua za awali
tafuta sasa mkolajAmeiwezesha timu yake KUFUZU Asian champions league kwenye hatua gani!!
Uzuri wa huyu rais uko wapi?Mkuu we need to come out with serious arguments
Hizi sifa ambazo ni za kipuuzi hazitusaidii kwenye mpira
wangapi wamesoma na Obama au Kikwete Darasa moja...Je wote wamepewa ushauri mzuri na kikwete au obama kuwa marais wazuri?
Hizi siasa za mpira wa Tanzania ni za hovyo sana...Na ndio maana siku zote tunabaki hapahapa tu
Na huyu kaletwa kukuza vipaji?
Mkuu sembo'Mkuu hivi sasa Simba SC kuna finished product tu.. Huyu "mtalaamu" Kerr mwenye leseni ya kufundsha timu yoyote duniani, kazi yake itakua ni kuturejeshea zile siku za furaha.. kwa kuchukua kila kombe lililo mbele yake.
Mkuu hivi sasa Simba SC kuna finished product tu.. Huyu "mtalaamu" Kerr mwenye leseni ya kufundsha timu yoyote duniani, kazi yake itakua ni kuturejeshea zile siku za furaha.. kwa kuchukua kila kombe lililo mbele yake.
Mkuu sembo'
Unavyompamba huyu kocha sijui siku akija kuharibu sura yako utaiweka wapi!!!
Au na wewe umehusika katika deal la kumleta hapa tz???
Kocha wa maana pale simba ambae alikuwa na uwezo wa kufundisha mpira alikuwa ni yule mzee mfaransa Patrick Leiwig tu! ila kama unavyozijua timu zetu hizi za kariakoo zikamtimua eti kwa sababu hakutaka kuwatumia wakongwe akina boban na wenzake akina nyosso.
Ila huyu Dylar kerr mmmmmmmmmhhh!!!!!
Huyu kocha kimeo, sioni cv ya maana hapo, nilijua ameiwezesha timu yake kufika hata kwenye makundi kumbe ni hatua ya awali!!!!
Mganga njaa tu huyo, bora hata kopunovic alikuwa na cv ya maana kuliko huyo!
Mkuu hivi sasa Simba SC kuna finished product tu.. Huyu "mtalaamu" Kerr mwenye leseni ya kufundsha timu yoyote duniani, kazi yake itakua ni kuturejeshea zile siku za furaha.. kwa kuchukua kila kombe lililo mbele yake.
Mkuu sembo'
Unavyompamba huyu kocha sijui siku akija kuharibu sura yako utaiweka wapi!!!
Au na wewe umehusika katika deal la kumleta hapa tz???
Kocha wa maana pale simba ambae alikuwa na uwezo wa kufundisha mpira alikuwa ni yule mzee mfaransa Patrick Leiwig tu! ila kama unavyozijua timu zetu hizi za kariakoo zikamtimua eti kwa sababu hakutaka kuwatumia wakongwe akina boban na wenzake akina nyosso.
Ila huyu Dylar kerr mmmmmmmmmhhh!!!!!
Eti kocha CV yake ni kufahamiana na Mourhino....majanga haya
South africa alikua kocha msaidizi
Vietnam alikua kocha wa viungo
Hajawahi kuwa kocha mkuu
Eti CV yake ni kufahamiana na mourhino...hahahahah
Simba tu wa hovyo sana