Mfahamu Kocha Mpya Wa Simba SC, Dylan Kerr

Hatua za awali
Huyu kocha kimeo, sioni cv ya maana hapo, nilijua ameiwezesha timu yake kufika hata kwenye makundi kumbe ni hatua ya awali!!!!
Mganga njaa tu huyo, bora hata kopunovic alikuwa na cv ya maana kuliko huyo!
 
Naheshimu mawazo yako.
 
nyie leteni tu huyo kocha . kwani wote mliowaleta si walikuwa na cv zao?.. atamkuta Pluijm.
 
kingozi mmoja alisema kwamba simba ni timu bora tanzania na yanga watafukuza makocha kila siku.Hii dua yako inakuandama nyie simba.na huyu miezi mitatu tuu.
 
Mkuu we need to come out with serious arguments

Hizi sifa ambazo ni za kipuuzi hazitusaidii kwenye mpira

wangapi wamesoma na Obama au Kikwete Darasa moja...Je wote wamepewa ushauri mzuri na kikwete au obama kuwa marais wazuri?

Hizi siasa za mpira wa Tanzania ni za hovyo sana...Na ndio maana siku zote tunabaki hapahapa tu
Uzuri wa huyu rais uko wapi?
 
Na huyu kaletwa kukuza vipaji?

Mkuu hivi sasa Simba SC kuna finished product tu.. Huyu "mtalaamu" Kerr mwenye leseni ya kufundsha timu yoyote duniani, kazi yake itakua ni kuturejeshea zile siku za furaha.. kwa kuchukua kila kombe lililo mbele yake.
 
Mkuu sembo'
Unavyompamba huyu kocha sijui siku akija kuharibu sura yako utaiweka wapi!!!
Au na wewe umehusika katika deal la kumleta hapa tz???
Kocha wa maana pale simba ambae alikuwa na uwezo wa kufundisha mpira alikuwa ni yule mzee mfaransa Patrick Leiwig tu! ila kama unavyozijua timu zetu hizi za kariakoo zikamtimua eti kwa sababu hakutaka kuwatumia wakongwe akina boban na wenzake akina nyosso.

Ila huyu Dylar kerr mmmmmmmmmhhh!!!!!
 
Unajidanganya tu....simba hii ya kina Hanspope ni bomu tu...Utakuja kuniambia
 
Mkuu sembo'
Unavyompamba huyu kocha sijui siku akija kuharibu sura yako utaiweka wapi!!!
Au na wewe umehusika katika deal la kumleta hapa tz???
Kocha wa maana pale simba ambae alikuwa na uwezo wa kufundisha mpira alikuwa ni yule mzee mfaransa Patrick Leiwig tu! ila kama unavyozijua timu zetu hizi za kariakoo zikamtimua eti kwa sababu hakutaka kuwatumia wakongwe akina boban na wenzake akina nyosso.

Ila huyu Dylar kerr mmmmmmmmmhhh!!!!!

Eti kocha CV yake ni kufahamiana na Mourhino....majanga haya

South africa alikua kocha msaidizi

Vietnam alikua kocha wa viungo

Hajawahi kuwa kocha mkuu

Eti CV yake ni kufahamiana na mourhino...hahahahah

Simba tu wa hovyo sana
 
Huyu kocha kimeo, sioni cv ya maana hapo, nilijua ameiwezesha timu yake kufika hata kwenye makundi kumbe ni hatua ya awali!!!!
Mganga njaa tu huyo, bora hata kopunovic alikuwa na cv ya maana kuliko huyo!

Kopunovic na Liewig ndio walikua makocha bora simba
 
Wamepita makocha wazuri hapo Simba zaidi ya huyu bwana na wakafukuzwa...

Ngoja siye waungwana tusubiri tuone hizi sifa unazozimimina hapa kama zitazaa matunda...

Mkuu hivi sasa Simba SC kuna finished product tu.. Huyu "mtalaamu" Kerr mwenye leseni ya kufundsha timu yoyote duniani, kazi yake itakua ni kuturejeshea zile siku za furaha.. kwa kuchukua kila kombe lililo mbele yake.
 
Yaani viongozi wa simba huwa siwaelewi kabisa. Katika kipindi hiki walitakiwa kuleta kocha mwenye uzoefu na soka la afrika na ubora kumzidi kapunovic kwani alikuwa kocha mzuri. Huyu waliyemleta huyu sijui tusubiri tuone.
 
Mkuu sembo'
Unavyompamba huyu kocha sijui siku akija kuharibu sura yako utaiweka wapi!!!
Au na wewe umehusika katika deal la kumleta hapa tz???
Kocha wa maana pale simba ambae alikuwa na uwezo wa kufundisha mpira alikuwa ni yule mzee mfaransa Patrick Leiwig tu! ila kama unavyozijua timu zetu hizi za kariakoo zikamtimua eti kwa sababu hakutaka kuwatumia wakongwe akina boban na wenzake akina nyosso.

Ila huyu Dylar kerr mmmmmmmmmhhh!!!!!

Haha.. Patrick Lewig ni kocha mwenye heshima kubwa msimbazi, mana lile zao lote la Simba B yeye ndo kalipandisha timu A.. na mpaka sasa tunatamba nao. Kuhusu Kerr tumpe mda Mkuu.
 
Eti kocha CV yake ni kufahamiana na Mourhino....majanga haya

South africa alikua kocha msaidizi

Vietnam alikua kocha wa viungo

Hajawahi kuwa kocha mkuu

Eti CV yake ni kufahamiana na mourhino...hahahahah

Simba tu wa hovyo sana

Hahaha.. Mkuu Freeland hebu tuanze kumuhukumu huyu fundi agosti ligi ikianza.
 
Dylan Kerr Interview in 2014..

Qn: Where will you be in three years?

Ans: It depend if Manchester United want to replace Moyes! Or if England need a new manager! I'm happy in Vietnam, but my aim is to reach at the top.

My Take: Huyu "Mtalamu" ana malengo makubwa sana, na nadhani msimu huu ndo atafikia top aliyokua akiizungumzia.
 
Back
Top Bottom