Mfahamu Kocha Mpya Wa Simba SC, Dylan Kerr

Mfahamu Kocha Mpya Wa Simba SC, Dylan Kerr

Huyu analipwa sh ngapi?

Kocha wa Yanga analipwa sh ngapi?

Kocha wa Azam analipwa sh ngapi?

Coz lazima ulinganishe na wenzako

Mkuu kwa hali uchumi tuliyo nayo ni kosa kujilinganisha na kina Ngoswe.. wacha sisi tuendelee kudili na perfect candidate with perfect CV but mahtaji yao yaendane na hali yetu ya uchumi.
 
Kiukweli huyu kocha hana CV kubwa kama baadhi ya makocha waliowahi kupita Simba mfano Nielsen Elias, Trot Moloto, au waliopita Yanga kama Jean Marie Bonganya, Marcio Maximo, n.k

Lkn wakati mwingine ni bora kuacha muda utoe hukumu sahihi hasa ukikumbuka hata huyu Goran hakupokelewa kwa mbwembwe wala hakuwa na CV la kufa mtu lakini ameondoka kichwa juu.

Naheshimu sana mawazo yako.
 
Mkuu kwa hali uchumi tuliyo nayo ni kosa kujilinganisha na kina Ngoswe.. wacha sisi tuendelee kudili na perfect candidate with perfect CV but mahtaji yao yaendane na hali yetu ya uchumi.

sasa kwa hali hiyo hiyo ya kuchukua cheap labour tusitegeemee matokeo mazuri

Sisi tunataka makocha wa kuwalipa sh milioni moja alafu hapo hapo unataka timu ifanye vizuri?

Ni undorobo tu huo

Cheap is expensive
 
"Kwa kocha huyu wa Simba SC lazima mtalala na viatu"

Source: Gazeti Bora La Michezo Tanzania, Mwanaspoti.
 
Hivi kubadili kocha ni suluhisho?
Toka mwaka 2000 simba imekuwa na makocha wangapi?
 
Hivi kubadili kocha ni suluhisho?
Toka mwaka 2000 simba imekuwa na makocha wangapi?

Si suluhisho.. ila kama kocha mkataba wake umeisha, alafu anataka tumlipe hela mara 3 tofauti na uwezo wake.. hatuna jinsi inabidi tutafute kocha mwingine.
 
"Kwa kocha huyu wa Simba SC lazima mtalala na viatu"

Source: Gazeti Bora La Michezo Tanzania, Mwanaspoti.
Mkuu sembo!
Utampromo sana huyu kocha lakini ukweli utabaki pale pale kuwa hana uwezo huo unaouzungumzia wewe!
Nakuhakikishia kuwa hatamaliza msimu pale msimbazi.
 
Mkuu sembo!
Utampromo sana huyu kocha lakini ukweli utabaki pale pale kuwa hana uwezo huo unaouzungumzia wewe!
Nakuhakikishia kuwa hatamaliza msimu pale msimbazi.

wanapromote jitu boya.
 
Mkuu sembo!
Utampromo sana huyu kocha lakini ukweli utabaki pale pale kuwa hana uwezo huo unaouzungumzia wewe!
Nakuhakikishia kuwa hatamaliza msimu pale msimbazi.

Hahaha.. Mkuu mkolaj kwa sasa inabidi tumsifu tu.. akianza kuvuruga ndo tutaanza kumkosoa.. kwa sasa tuizungumzie elimu yake ya kumiliki grade A ya ukocha wa UEFA.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu we need to come out with serious arguments

Hizi sifa ambazo ni za kipuuzi hazitusaidii kwenye mpira

wangapi wamesoma na Obama au Kikwete Darasa moja...Je wote wamepewa ushauri mzuri na kikwete au obama kuwa marais wazuri?

Hizi siasa za mpira wa Tanzania ni za hovyo sana...Na ndio maana siku zote tunabaki hapahapa tu

Hawezi kumpa ushauri wa kuwa raisi mzuri hata raisi wa wasafi!!
 
Back
Top Bottom