Mfahamu kwa kifupi Kizzmekia Corbett mwana dada mwenye asili ya Afrika (Mmarekani mweusi) na Mgunduzi mkuu wa chanjo ya COVID-19

Kwa hiyo huyu ndio ametuletea chapa ya mnyama ?🤣🦁🐯🐒
 
😁😁😁tunapenda sana kuendesha mabo yetu kihisia.tushasahau kwamba hz chanjo hazijaanza leo, toka tumezaliwa tunapigwa tu hayo machanjo.
Ni kama ccm wengine toka tunzaliwa tunaona ccm tu inaongoza nchi, wazee wetu ni ccm kwahiyo inabidi na sisi tuendelee nayo ccm ipo toka zamani.
 
Hata kwetu wapo japo hawapewi support inayostahili, kunavijana wanafanya vtu vkubwa sana ila huwezi wasikia kma si mtafuta taarifa.
Kwetu wapo wengi sana ili urasimu na ubabaishaji ni mwingi. Mimi Nina mfano halisi kuna braza jirani alikua fundi welding aliyengeneza prototype helicopter vizuri tu iliyokua inahitaji approval ya wataalamu na serikali alipigwa danadana tu na kupelekwa kwenye maonyesho ya 77 basi yule braza alikuja kufirisika biashara yake ya welding akaishia kuchanganyikiwa mpaka akajakufariki akiwa chizi
 
Ila wengi sana wamefirisika au kushindwa kuendelea kwa vikwazo vya serikali.
 
Ni kama ccm wengine toka tunzaliwa tunaona ccm tu inaongoza nchi, wazee wetu ni ccm kwahiyo inabidi na sisi tuendelee nayo ccm ipo toka zamani.
Inapofika time umejitambua n lazima uwe na uchaguzi wa kile unachokiona bora sio kulisi kila kitu.
 
Hongera zake kwa kutuletea 666 id,yaani unataka kusema chanjo ni salama tuwape mabega wachome syringe za chip?
😵😵😵

Hivi kweli unaamini hizi fix za 666? Tuko nyuma sana kimaendeleo!!!!!!!!!!!
 
Kwetu wapo wengi sana ili urasimu na ubabaishaji ni mwingi. Mimi Nina mfano halisi kuna braza jirani alikua fundi welding aliyengeneza prototype helicopter vizuri tu iliyokua inahitaji approval ya wataalamu na serikali alipigwa danadana tu na kupelekwa kwenye maonyesho ya 77 basi yule braza alikuja kufirisika biashara yake ya welding akaishia kuchanganyikiwa mpaka akajakufariki akiwa chizi
Kwetu wapo wengi sana ili urasimu na ubabaishaji ni mwingi. Mimi Nina mfano halisi kuna braza jirani alikua fundi welding aliyengeneza prototype helicopter vizuri tu iliyokua inahitaji approval ya wataalamu na serikali alipigwa danadana tu na kupelekwa kwenye maonyesho ya 77 basi yule braza alikuja kufirisika biashara yake ya welding akaishia kuchanganyikiwa mpaka akajakufariki akiwa chizi
Ni kweli bhana, serikali imekuwa haitoi support ya kutosha ktk kuwawezesha vjana ktk kuwaendeleza.
Vjana wengi sana wenye ubunifu wao wanalia sana na serikali.tunapoteza talent nyingi sana.
 
Wamarekani wanadhani kutangaza mgunduzi ni mweusi, Basi Waafrika watashoboka, kumbe Waafrika hawana Imani hata kidogo na ugunduzi wowote wa mtu mweusi
Siyo sahihi, mbona traffic lights zimegunduliwa na mtu mweusi na tunazitumia kuongozea njia barabarani?
 
Inapofika time umejitambua n lazima uwe na uchaguzi wa kile unachokiona bora sio kulisi kila kitu.
Sasa kama kuna hoja ya kwamba tumeshachanjwa sana hayo toka utotoni hivyo hata chanjo ya corona tukubali tu maana tushazoea kuchanjwa,unadhini hoja hiyo inatofauti gani na hoja ya kurithi ccm?
 
Sijakwambia ukachanjwe, chagua ww lipi jema kama utaona inakufaa kachanjwe kama haikufai pita kushoto🙏🙏
 
Mbona hamuithamini dawa ya Madagascar?
Tuliithamini na tulipeleka ndege kwenda kubeba zile dozi. Lakini wenyewe walianza kutoithamini baadae.

Sisi pia tunathamini sana COVIDOL na UDANOL lakini wenyewe hawazitangazi sana.
 
Hazipo kabisa madukani, hata Ile mashine ya kujifukiza ilisha tolewa pale Muhimbili
 
Hata angekuwa mpoki mujuni au ray kigosi kabla hajanywa maji sichomi ng'o
 
Sijakwambia ukachanjwe, chagua ww lipi jema kama utaona inakufaa kachanjwe kama haikufai pita kushoto🙏🙏
Mbona hakuna niliposema umeniambia nikachanje, nilikuwa najadili tu hoja ya kusema tushachanjwa sana chanjo toka utotoni.
 
😵😵😵

Hivi kweli unaamini hizi fix za 666? Tuko nyuma sana kimaendeleo!!!!!!!!!!!

😵😵😵

Hivi kweli unaamini hizi fix za 666? Tuko nyuma sana kimaendeleo!!!!!!!!!!!
Naamini sana,siwezi kuacha kuamini,wale jamaa wakenya waliongea kuhusu chanjo hizi kabla ya corona miaka ya 2012-13 leo yanatokea,walikuwa wanaongelea mada za freemason na mpango wa kupunguza watu duniani.
 
Back
Top Bottom