Kwahiyo hapo hoja ni ipi ni kwamba tukubali tu kuchanjwa chanjo za corona kwa sababu tushachanjwa sana michanjo toka huko utotoni hivyo haina haja ya kuhofia usalama wa chanjo tena?''Chanjo hazifai" kisha mwilini mwako unazo kwa uchache 7,ee ndio sabaa.
Watoto kila leo wanachanjwa kadiri ya wanavyokua.
Kweli huu ni ushujaa.
As if ile LUKU ya moyo ilitengenezwa sido...Hebu tujikumbushe kwa kifupi mchango wa shujaa katika haya masuala ya sayansi ya chanjo.
View attachment 1877738
π€£π€£π€£As if ile LUKU ya moyo ilitengenezwa sido...
πππMbona hakuna niliposema umeniambia nikachanje, nilikuwa najadili tu hoja ya kusema tushachanjwa sana chanjo toka utotoni.
Hizo zaidi ya 7 mnazopuyanga nazo mtaani maisha yenu yote mlizijadili lini?Kwahiyo hapo hoja ni ipi ni kwamba tukubali tu kuchanjwa chanjo za corona kwa sababu tushachanjwa sana michanjo toka huko utotoni hivyo haina haja ya kuhofia usalama wa chanjo tena?
Kwa hivyo unavyotaka wewe basi hata wasingekuwa wanasema kuwa hizo chanjo ni salama, kwa sababu kumbe watu hawajali kuhusu usalama bali wao wanachanja tu na ndio maana wameshachanja hizo chanjo saba bila kuhoji chochote. Na hiyo maana yake mijitu ilikuwa inachanjwa tu haikuwa na uelewa wowote pengine ujinga wao ndio uliyofanya wakubali tu kuchanjwe hizo chanjo saba na ujinga huo huo ndio unaofanya watu hao hao kupinga chanjo, kwahiyo sasa meza imegeuka ujinga uleule wa watu uliyotumika kuwachanja hao watu ndio ujinga huo huo unatumika kupinga chanjo.Hizo zaidi ya 7 mnazopuyanga nazo mtaani maisha yenu yote mlizijadili lini?
Ukitaka chanja usihoji,
Na usipotaka kataa kuchanja na usijifanye unajua sana maana mmeshaambiwa SIO LAZIMA.