Mfahamu kwa picha Abdul-Malik al-Houthi Kiongozi Mkuu wa waasi wa kihouthi huko Yemen wanaopambana na Israel

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Nimeona niwawekee angalao picha yake mumfahamu

Anezaliwa 22 May 1979

Nihayo kwaleo, niwatakie siku njema
 
Attachments

  • Abdolmalek_al_Houthi_(cropped).jpg
    Abdolmalek_al_Houthi_(cropped).jpg
    19.1 KB · Views: 5
Wadau hamjamboni nyote?

Nimeona niwawekee angalao picha yake mumfahamu

Anezaliwa 22 May 1979

Nihayo kwaleo, niwatakie siku njema

Ungewaweka wote na kaka yake aliebaki abaitwa Yahia maana Houthi ni kikundi cha familia sasa hivi wamebaki huyu karim na kaka yake Yahia Houthi nao wamepokea vijiti vya uongoz kutoka kwa kaka zao waliotangulia mbele ya haki kina ibrahim houthi, Hussej Houthi na Abdulkhalik Houthi

Ni familia ya kitajiri iliogeukia siasa na kutengeneza jeshi private na kuanza ku take over miji ya yemen hadi kufikia kugawana maeneo na serikali ya Yemen na vikundi vingine
 
Hapo ndo hesabu za kobaaz zinaponiacha hoi. Yan Serikali inazubaa hadi kikundi kinajimilikisha hadhi ya Serikali; halafu mbaya zaidi kikundi hicho kitakapo anza kufyekwa; Nchi nzima na Serikali halali nayo inasambaratika nacho e.g. ilivyotokea kwa HAMAS huko nchini Palestina na hezbollah huko nchini Lebanon. Kobaaz mahesabu yao ni ya ajabu sana.
 
Wakristo hivi mnadhani kufa ni amri ya nani kama sio ya Mungu.

Au nyie wakristo mtatolewa roho na wayahudi?
 
Hapo ndo hesabu za kobaaz zinaponiacha hoi. Yan Serikali inazubaa hadi kikundi kinajimilikisha hadhi ya Serikali; halafu mbaya zaidi kikundi hicho kitakapo anza kufyekwa; Nchi nzima na Serikali halali nayo inasambaratika nacho e.g. ilivyotokea kwa HAMAS huko nchini Palestina na hezbollah huko nchini Lebanon. Kobaaz mahesabu yao ni ya ajabu sana.

Waraabu toka enzi na enzi wao wanaishi kwa kufata tamaduni zao na tamaduni zao mtiririko wake ni huu

Kwanza utawala wa kikoo ( ndo kama hao Houthi) na kama Hiyo koo ni mambo safi maana yake wanaweza wakajitanua zaidi wakachukua maeneo au hatabkutengeneza influence kwenye serikali na kwenye jamii kiasi cha kuweza kuwa na kundi lao la mercenaries na pia kama
Kwenye huo mji kina koo nyingi tofauti zile zenye mkwanja automaticaly zina hodhi nafasi zote za uongozi zenye kufanya maamuzi wanajitengenezea syndicate na its nornal kwenye jamii yao na mara nyingi inafanikiwa sababu waraabu style yao utajiri wa kushare maana yake kaka akitusua atampashavu mdogo mtu ah mjomba au ba mkubwa kwa hiyo generation kwa gerenation wanaendeleza utajiri na wanaendeleza kuhodhi nafasi za uongozi zenye maamuzi na koo zingine wanakuwa machawa

Ndo maana hata ukoangalia vita vya kwenye uislam vile vya wenyewe kwa wenyewe (caliphates wars) utaona msingi wake ulikuwa ugomvi wa ki koo zaidi kuna koo zilijimilikisha baadhi ya nafasi yaani piga ua hata aje mtawala gabi (caliph) wao watataka nafasi flan ishikwe na wao.. ndo maana walikuwa wanapinduana sana kila baada ya mda kuanzia rashidun caliphatw, umayad, Abbasid hadi ottoman

so baada ya tawala za kiukoo then inakuja ngazi ya mji au eneo husika .. maana yake kama hao houthi tuseme kqenye ngazi ya mji mkoa au nchi always watakuwa wanawa favour watu wa eneo lao then watafata machawa wao wa nje ya himaya yao so inakuwa inaenda kwa staili hiyo

Kwa kifupi kwa mwaarabu yeye msaada wake au mgawanyo wake unaanza kuanzia kwanza je wewe ni nani kwake

1. Kama ni Ndugu je ndugu wa kuzaliwa au mjomba

2. Baada ya ndugu je unatoka eneo analotoka yeye, Yaan hata kama ukoo tofauti lakini wewe ukoo wako unatokea eneo analotoka?

3. Je unatoka nchi anayotoka

4. Baada ya nchi inakuja je wewe ni mwarabu

5. Then je wewe ni Dini yake

6 je wewe ni shia au Sunni

Angalia vita zote wanazopigana wenyewe kwa wenyewe kuanzia sudan hadi huko yemen utaona nyumaa yake kuna vimelea vya vigezo vya hapo juu

kwa mwarabu mwislam mweusi sio sawa na mwislam mwarab ila mwislam mweusi ni bora kuliko mkristo mweusi

Ofcourse hawawez kulisema hili ila ndio uhalisia ndio maana nchi zinazoongoza kuwa na sheria ngumu za kuimba uraia ni ncho za kiarabu.. yaan hata usihi miaka mia hautakuwa raia weqe ba kizazi chako.. hata wenyewe kwa wenyewe..

kuna malalamiko nchi za kiarabu hawataki kuwapa uraia palestinians ambao ni waraabu wenzao ambao hata wengine wamezaliwa kwenye hizo nchi, ndio tunarudi palepale kwenye mtiririko wao je unaangukia wapi hata kama ni mwarabu mwenzie

So huo ndio uhalisia ndio maana hata vita zao wanapataga wakati mgumu kushinda sababu bado katika mgawanyo wa kikazi wanafata zaidi status kuliko uwezo wa mtu
 
Madrasa
 
Ipo kazi! Muislamu mwarabu ni bora kuliko hawa waislamu wetu wa Nzega
 
Mkuu good nimekuelewa sana
 
Back
Top Bottom