Mfahamu kwa picha Abdul-Malik al-Houthi Kiongozi Mkuu wa waasi wa kihouthi huko Yemen wanaopambana na Israel

Aisee? Shukrani mkuu. Umewafunua nikawaona na kuwaelewa Waarabu na mambo yao. Kumbe haina maana kabisa kuwaunga mkono katika vita wanazopigana kwani wanajijua wenyewe agenda iliyopo mezani mbele yao.
 
Houthi sio kakikundi mkuu.
Nakusihi kafuatilie houthi na Yemeni wana muunganiko gani.
 
Utofauti wake na Hizbollah upoje pale Lebanon
Houthi kilianza kama chama cha siasa na kina ushawishi kwa 90% ya raia wa Yemeni.
Ndio maana hata 2014 raia waliwaunga mkono Houthi dhidi ya serikali wasiyoitaka kwasababu ni chama ambacho kinapendwa na watu hadi sasa.

Hizbollah imeundwa kwa mlengwa wa shiite influence pale Lebanon.
Ndio maana kuna watu inawagusa na kuna watu haiwagusi.
 
Houthi sio kakikundi mkuu.
Nakusihi kafuatilie houthi na Yemeni wana muunganiko gani.
Nchi ya Yemen ina makabila makuu 4:
1.Bakil; 2. Hashid; 3. Bonu Harith 4. Humaydah na 5. Makabila mengine madogo-madogo lakini ya waarabu wanaopatikana na kuishi Yemen.
The Houthi tribe: The tribe is branched from Banu Hamdan.
 
Houthi sio tribe mkuu pia sababu ya Houthi kupendwa sio tribal issue.
Nitarudi kuelezea zaidi kama ukiniruhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…