Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mtatuonyesha hadi koplo wa huko ila Yahudi akija tusibadilishe maneno
Nb, hilo kofia nishaliwahi
Mzayuni wa Lupembe katika ubora wakoMtatuonyesha hadi koplo wa huko ila Yahudi akija tusibadilishe maneno
Nb, hilo kofia nishaliwahi
Sawa tuanze sasa kumjadili waziri wa ulinzi wa nchi fulani sasa πWadau hamjamboni nyote?
Mfahamu kwa picha brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh Waziri wa ulinzi wa Iran.
Yule hajui kushika Darubini ??Sawa tuanze sasa kumjadili waziri wa ulinzi wa nchi fulani sasa π
Weka na cv yake
Ova
Kwamba unayapigia kura mavazi yake mkuu?Mtatuonyesha hadi koplo wa huko ila Yahudi akija tusibadilishe maneno
Nb, hilo kofia nishaliwahi