Mfahamu kwa ufupi Donnie Yen

huyu mwamba yuko vizuri sana aisee.

IP MAN no 3 na 2 nimezipenda zaidi aise
 
Japo na mimi siikumbuki jina vizuri Ila nahis itakuwa inaitwa The boss ..mm nilikuwa nazitazam miaka ya 2005/2010
 
Kama unatumia star times hizi movies za kihenga zinachezwa sana star kong fu
Juzi tu nimeicheki tiger cage hadi kuna nyingine inaitwa meal on wheel yupo Jack Chan,Yuan Biao na Samo Hong enzi hizo tunaiita Jack Chan kipanya msosi nimeicheki
 
Tiger Cage.
 
In the line of duty
 
Kitambo sana,, moja aneanda pigana na baunsa mmoja airpot juu ya ghorofa.

Nyingine yule baunsa anapigana nae kwenye cage ya wavu, don alinipigia vichwa mtu ni kisanga
naam na kuna scene walifungwa pingu ikawa wanakimbia pamoja mpaka kwa yen kufika huko mtihani ukawa ni yen kwenda toilet

daahh kitambo [emoji2][emoji2] sana

sisi wengine le mubebez ni age mate mwenzetu
kuna sehem msichana alikua anakula tambi akapaliwa zikampata yen??
 
Namkubali sana Donnie yen aisee, kuna movie zake nyingine hujaweka hapo sikumbuki vizuri jina ila ni kama pros sijui, anatoka kupigana vita anarudi China na kua mfanyakazi wa hotel,
Though katika IP Man zote napenda sana namba 2 & 3
Dah ip man ni movie mojawapo imetulia sana kwa kweli.
 
Wuxia, the big boss, tiger cage, Shanghai affairs, 14 blades, in the line of duty, IP man, Blood on the moon, Flash point, Iron monkey, Legend of the fist (The return of Chen zhen), Kung Fu jungle, Jungle of the wolf n.k
 
Namkubali sana Donnie yen aisee, kuna movie zake nyingine hujaweka hapo sikumbuki vizuri jina ila ni kama pros sijui, anatoka kupigana vita anarudi China na kua mfanyakazi wa hotel,
Though katika IP Man zote napenda sana namba 2 & 3
Nadhani unaongelea "The legend of shen zhen ,fist down"
 
Namkubali sana Donnie yen aisee, kuna movie zake nyingine hujaweka hapo sikumbuki vizuri jina ila ni kama pros sijui, anatoka kupigana vita anarudi China na kua mfanyakazi wa hotel,
Though katika IP Man zote napenda sana namba 2 & 3
Don Yen ana dada'ake ana Dada yake, ameonekana katika filamu ya Adventures of Johnny Tao, Rock Around the Dragon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…