Movie ya kwanza kuiona ya don ulikuwa ni mwaka 96 nimeisahau jina ila kwa wakati ule ilikuwa ni movie Kali Sana
Kuna scene yupo na demu 1 hivi anaye tafutwa kwa tuhuma za mauaji ya bf wake wakati siye yeye aliye muua huyo bf wake
Ghafla wana kutana na makachero wanao watafuta ikabidi don aanze kuwapa kichapo .. Kuna sehemu demu wakati ana msaidia don alichukua kasha la kuhifadhia. Maua ili ampige nalo jambazi ghafla katika kasha hilo akatokea mjusi ikabidi limponyoke lika mdondokea don kichwani aka zimia