Mfahamu kwa ufupi Donnie Yen

Mfahamu kwa ufupi Donnie Yen

KILL ZONE 2005.

alinipigia wu jing na kisu chake mpaka nikamuonea huruma dogo wakati alikuwa keshaniudhi natamani afe[emoji16][emoji16].

bahati mbaya hii movie alikufa.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Piga yake ni kama hatumii nguvu wala hatoki jasho. Muvi hizi naangaliaga sana kwenye mabasi ya shabiby nikiwa nasafiri.
 
Kuna ile wanaonyeshana ubabe na mzee mmoja nae hua mtata sana wakajikuta wamepasua meza flani ya duara kila mmoja akaruka na kipande chake akaenda kutua kivyake, ngoma ikatoka droo. Hua naipenda sana hii scene. Baadae huyu mzee akaja kuuliwa ulingoni na mzungu flani mjuaji sana na mzungu akaja kukalishwa na mwamba Donnie
 
naam na kuna scene walifungwa pingu ikawa wanakimbia pamoja mpaka kwa yen kufika huko mtihani ukawa ni yen kwenda toilet

daahh kitambo 😃😃 sana

sisi wengine le mubebez ni age mate mwenzetu
Mkuu, hii mbona kama ni dragon tiger cage ambayo don aliiba pesa hadi akawa anaunguza dolla ili kuwashia sigara??

Kuna movie flani hivi ya kitambo kidogo nayo kaicheza inaitwa drunken kungfu, mle alikutana na kisiki cha mpingo.
 
Kuna ile wanaonyeshana ubabe na mzee mmoja nae hua mtata sana wakajikuta wamepasua meza flani ya duara kila mmoja akaruka na kipande chake akaenda kutua kivyake, ngoma ikatoka droo. Hua naipenda sana hii scene. Baadae huyu mzee akaja kuuliwa ulingoni na mzungu flani mjuaji sana na mzungu akaja kukalishwa na mwamba Donnie
Ip man namba 2
 
Jamaa anangumi spidi utafikiri anaunga juhudi awamu ya tano!
Kwa speed hapo muweke jet lee

Jet li hilo ni jina alipewa kutokana na speed yake watu walikua wanamfananisha speed yake na ndege aina ya "jet"

Ni muigizaji ambaye hajawahi kucheza kama adui katika movie, tafuta "once upon a time in china" wako wote na donie
 
Vp kuhusu mzee wa kupaa hewani jet li
Huyu ni noma mkuu, hua namfananisha na jeshi ambalo liko fit katika sekta zote za mapambano yani "jeshi la anga, jeshi la ardhini, nk.

Kikosi cha anga: fong sai yuk, legend of the red dragon, flying swords, taichi, wong fei hung, nk.

Kikosi cha ardhini: the bodyguard, fist of legend, black mask, forbidden kingdom, dan the dod, nk
 
tai chi..acha kabisa
 
mwamba huyu tatizo lake kamba nyingi sana kweny action zake kuna moja hiyo alikuwa anamiminiwa risasi km mvua eeeh..si akawa anazikwepa kama anacheza mdako dah.. nilizima tv nikaondoka..
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kuna hii inaitwa crystal hunt,humo unapigwa mkono balaa,dah kwa kweli mi ndio maana hizi movie za kisasa siziwezi kabsa,hasa haya maseason yao
Hii movie ni next generation.mle kuna ngumi ya mtikisiko
 
Kwa speed hapo muweke jet lee

Jet li hilo ni jina alipewa kutokana na speed yake watu walikua wanamfananisha speed yake na ndege aina ya "jet"

Ni muigizaji ambaye hajawahi kucheza kama adui katika movie, tafuta "once upon a time in china" wako wote na donie

Kwa haraka haraka jet le kacheza adui katika movie kama mbili hivi, kuna ile the mummy tomb of the dragon emperor sijui na kuna ile yupo na jason statham sijui inaitwa war, nimeisahau kidogo.
 
Kwa haraka haraka jet le kacheza adui katika movie kama mbili hivi, kuna ile the mummy tomb of the dragon emperor sijui na kuna ile yupo na jason statham sijui inaitwa war, nimeisahau kidogo.
pia kwenye lether weapon 4 na movie flani hivi yuko na mark darcascos
 
Back
Top Bottom