Mfahamu kwa ufupi Donnie Yen

Mfahamu kwa ufupi Donnie Yen

Kitambo sana,, moja aneanda pigana na baunsa mmoja airpot juu ya ghorofa.

Nyingine yule baunsa anapigana nae kwenye cage ya wavu, don alinipigia vichwa mtu ni kisanga
Hiyo anayopigana na baunsa juu ya ghorofa ndo hawa wanaisemea wanachanganya na tiger cage japo na humo kalitumia lile baunsa lilikua noma
 
Movie ya kwanza kuiona ya don ulikuwa ni mwaka 96 nimeisahau jina ila kwa wakati ule ilikuwa ni movie Kali Sana

Kuna scene yupo na demu 1 hivi anaye tafutwa kwa tuhuma za mauaji ya bf wake wakati siye yeye aliye muua huyo bf wake
Ghafla wana kutana na makachero wanao watafuta ikabidi don aanze kuwapa kichapo .. Kuna sehemu demu wakati ana msaidia don alichukua kasha la kuhifadhia. Maua ili ampige nalo jambazi ghafla katika kasha hilo akatokea mjusi ikabidi limponyoke lika mdondokea don kichwani aka zimia
Story ni Tiger Cage....japo sio kuwa demu alikuwa na mishe za kumuua boyfrnd wake bali ni kuwa kuna pesa ziliibwa zikatupwa mahali na yy icho kisanga kilitokea tu kumkuta akiwa kitaa....
 
Movie ya kwanza kuiona ya don ulikuwa ni mwaka 96 nimeisahau jina ila kwa wakati ule ilikuwa ni movie Kali Sana

Kuna scene yupo na demu 1 hivi anaye tafutwa kwa tuhuma za mauaji ya bf wake wakati siye yeye aliye muua huyo bf wake
Ghafla wana kutana na makachero wanao watafuta ikabidi don aanze kuwapa kichapo .. Kuna sehemu demu wakati ana msaidia don alichukua kasha la kuhifadhia. Maua ili ampige nalo jambazi ghafla katika kasha hilo akatokea mjusi ikabidi limponyoke lika mdondokea don kichwani aka zimia
Itakuwa inaitwa TIGER CAGE
 
Yupo vizuri. Kuna ip man moja ivi anatwangana na mjapani ulingoni kauzu kinyama. Mi nimevurugwa na yule mjapani kila nikilitafuta jina silipati
 
Nilianza kujua donnie yeni kwenye movie yake ya 7swords
images%20(25).jpg
 
Back
Top Bottom