Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wewe kweli ni character! Unajua maana ya fact wewe?
Mimi sijakupinga.
Nimeuliza swali juu ya kauli yako kwamba Zari ana miaka 40/ kazaliwa 1975.
Swali lenyewe ni 'umejuaje Zari ana miaka 40'? Hujajibu!! Unazunguka zunguka tu utadhani unacheza mduara.
Kushindwa kwako kujibu kumenishawishi niamini wewe ni mzushi uliyejaa inda.
Wewe umepata wapi? Mamlaka ya kuniita mimi mzushi bila kusema ukweli ni upi?
Haya huyu naye nimemzaa mimi? Hatukuitwa wazushi na tuna roho mbaya hapa kama unavyojaribu wewe kupingana na ukweli?
BTW Zari hana hata mtoto mmoja kwa sababu si mimi wala wewe niliyemzalisha.