Mfahamu kwa undani Zarinah, mwanamke anayezima Nyota ya Wema Sepetu

Mfahamu kwa undani Zarinah, mwanamke anayezima Nyota ya Wema Sepetu

Ahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Wewe kweli ni character! Unajua maana ya fact wewe?

Mimi sijakupinga.

Nimeuliza swali juu ya kauli yako kwamba Zari ana miaka 40/ kazaliwa 1975.

Swali lenyewe ni 'umejuaje Zari ana miaka 40'? Hujajibu!! Unazunguka zunguka tu utadhani unacheza mduara.

Kushindwa kwako kujibu kumenishawishi niamini wewe ni mzushi uliyejaa inda.

Wewe umepata wapi? Mamlaka ya kuniita mimi mzushi bila kusema ukweli ni upi?

Haya huyu naye nimemzaa mimi? Hatukuitwa wazushi na tuna roho mbaya hapa kama unavyojaribu wewe kupingana na ukweli?

BTW Zari hana hata mtoto mmoja kwa sababu si mimi wala wewe niliyemzalisha.
 
Attachments

  • 1421152867175.jpg
    1421152867175.jpg
    50.4 KB · Views: 1,009
  • 1421152910017.jpg
    1421152910017.jpg
    61.5 KB · Views: 963
  • 1421152950319.jpg
    1421152950319.jpg
    55.9 KB · Views: 937
Wewe umepata wapi? Mamlaka ya kuniita mimi mzushi bila kusema ukweli ni upi?

Nimeyapata kutokana na kushindwa kwako kusema umejuaje Zari ana umri uliodai anao. Hili hata kambwa kangu hapa kanajua!!

Haya huyu naye nimemzaa mimi? Hatukuitwa wazushi na tuna roho mbaya hapa kama unavyojaribu wewe kupingana na ukweli?

Ni Zari huyo?

BTW Zari hana hata mtoto mmoja kwa sababu si mimi wala wewe niliyemzalisha.

Irrelevant.

Umejuaje Zari ana miaka 40?
 
Nimeyapata kutokana na kushindwa kwako kusema umejuaje Zari ana umri uliodai anao. Hili hata kambwa kangu hapa kanajua!!

Ni Zari huyo?

Irrelevant.

Umejuaje Zari ana miaka 40?

Mimi najuwa hivyo na nimekuuliza do yo know me? Umeshindwa kunijibu, natalajia mtu anapobisha kitu maana yake analo jibu sahihi, wewe ndio jukumu lako sasa kutupa sisi jibu.

Wewe unapowatumia watu unaofahamiana nao birthday wishes ina maana wewe ndio umewazaa? Ubishi wa kishamba kabisa huu usiokuwa hata na chembe ya logic.
 
warumi, ila twende mbele na kurudi nyuma, Zari mzuri jamani.
Diamond anapenda vitamu

binamu kweli kabisa kwa uzuri uzuri kisuuuuuuuuu
tena kisuuuuuuuuuuuuuuuuu
hasaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Kwakweli Zari amekuwa Kiboko ya Wema Sepetu duuu! kweli kila ugonjwa una dawa yake! Nina hakika hata dawa ya Ukimwi itapatikana.

Kwakweli Wema kazidiwa kila idara.
 
Mimi najuwa hivyo na nimekuuliza do yo know me?

I don't know you and I have never ever claimed to know you or know of you.

Umeshindwa kunijibu,

Nini nimeshindwa kujibu?

natalajia

Such a dullard! "natalajia" ndo nini? Hahahahahaaaaa

mtu anapobisha kitu maana yake analo jibu sahihi, wewe ndio jukumu lako sasa kutupa sisi jibu.

Mungu wangu weeeee!! Daaaah!! Wewe hata mantiki tu inakushinda.

Hakuna nilipobisha bali nimeuliza. Kuuliza si kubisha. Nimeuliza swali langu kulingana na kauli yako kwamba Zari ana miaka 40.

Ni dhahiri hujui kutofautisha kati ya kuuliza na kubisha. Ningesema 'Zari hana miaka 40' na nikaishia hapo, hapo ndo ningekuwa nimebisha. Lakini swali nililokuuliza hujalijibu mpaka hivi sasa, dalili ambayo inaashiria hujui maana kama ungekuwa unajua ungesema.

Wewe unapowatumia watu unaofahamiana nao birthday wishes ina maana wewe ndio umewazaa?

Mimi nimeuliza wewe umejuaje Zari ana miaka 40. Sasa mambo ya salamu za siku ya kuzaliwa yanaingiaje katika mlinganyo? Wewe kweli uwezo wako wa kuchakatua mantiki ni mdogo sana.

Ubishi wa kishamba kabisa huu usiokuwa hata na chembe ya logic.

Hahahaaa.....jibu swali: Umejuaje Zari ana miaka 40?
 
Kwakweli Zari amekuwa Kiboko ya Wema Sepetu duuu! kweli kila ugonjwa una dawa yake! Nina hakika hata dawa ya Ukimwi itapatikana.

Kwakweli Wema kazidowa kila idara.

Akome amemuonea sana Diamond, kuna Interview Daimond alifanya na Sporah UK kabla hawajarudiana na Wema hata mimi maneno ya Diamond yaliumiza sana jinsi alivyokuwa anafanyiwa na Wema.

Sasa tiba mbadala ya Wema imepatikana haswaa, dogo amevumilia mengi sana mtu ana cash halafu bado anagongewa nani anataka ujinga huo? Wamwache apumuwe sasa.
 
I don't know you and I have never ever claimed to know you or know of you.

Nini nimeshindwa kujibu?

Such a dullard! "natalajia" ndo nini? Hahahahahaaaaa

Mungu wangu weeeee!! Daaaah!! Wewe hata mantiki tu inakushinda.

Hakuna nilipobisha bali nimeuliza. Kuuliza si kubisha. Nimeuliza swali langu kulingana na kauli yako kwamba Zari ana miaka 40.

Ni dhahiri hujui kutofautisha kati ya kuuliza na kubisha. Ningesema 'Zari hana miaka 40' na nikaishia hapo, hapo ndo ningekuwa nimebisha. Lakini swali nililokuuliza hujalijibu mpaka hivi sasa, dalili ambayo inaashiria hujui maana kama ungekuwa unajua ungesema.

Mimi nimeuliza wewe umejuaje Zari ana miaka 40. Sasa mambo ya salamu za siku ya kuzaliwa yanaingiaje katika mlinganyo? Wewe kweli uwezo wako wa kuchakatua mantiki ni mdogo sana.

Hahahaaa.....jibu swali: Umejuaje Zari ana miaka 40?

Great thinker am out, nitachangananuwa mambo na wenye uwezo mdogo wenzangu.
Have a good day.
 
aaahahh kwel aseeh ndomo ni mzee wa kutumia fursa ashindwe yeye tu kurudi shule, mi hyo stashahada ya zari ya cosmetology kama sijaielewa vile, mambo ya vipodozi na yenyewe yana stashahada? kweli katisha wema apo atulie tu maana hafui dafu kwa zari, hafai hata kuwa kijakazi wake.
zari wa ukwee bwana

yupi tena???

nimesoma historia yake hao wengine nyokooo tu
 
me binamu warumi jamani diamond nimemchoka
 
Last edited by a moderator:
Kheeee umerudi tena? Nilidhani umeaga kumbe wapi!!

*Umejuaje Zari ana miaka 40?*

Kweli binadamu wengine mmeumbwa kuja kutuongezea siku za kuishi imebidi kicheko kinitoke kama punguwani mpaka wasiojuwa kitu wanashangaa.

Kweli wewe Nyani.
 
Back
Top Bottom