wazabangah1
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 315
- 114
natamani kujua source ya utajiri lakini
Mrembo by Nature za mchana?
Kwakweli Zari amekuwa Kiboko ya Wema Sepetu duuu! kweli kila ugonjwa una dawa yake! Nina hakika hata dawa ya Ukimwi itapatikana.
Kwakweli Wema kazidiwa kila idara.
natamani kujua source ya utajiri lakini
warumi, ila twende mbele na kurudi nyuma, Zari mzuri jamani.
Diamond anapenda vitamu
Kwakweli Zari amekuwa Kiboko ya Wema Sepetu duuu! kweli kila ugonjwa una dawa yake! Nina hakika hata dawa ya Ukimwi itapatikana.
Kwakweli Wema kazidiwa kila idara.
Yani mdada mzuri yule..ama kuzaa si kuzeeka....
Diamond afanye amuongeze wa NNE azidi kuwa kigori....
Binamu warumi miss uu...
zarina mzuriiiiiiii jamaniiiiiii
we peny,katekate,wema na pimbi wengine wotee kwa zarina kasomeni chuoni kwake ila ye hamumpati ng'ooooooooo
na zaryy namba nyingine ileeee
kubali sana mimiiiiii
Yaanii katika huo utajiri wote ulioutaja hapo inamaana kwamba huyo IVAN Hana kitu hapo? Au aliolewa embu nisaidienii wakuu daaaah! Nihatarii
Hilii nalo linamashikoo
Haya maswali usitegemee kujibiwa hapa.
Dada yetu Linda pia yuko over 40 na she looks sex too.
tatizo linda hana nyota..zari kaja kwa kasi mnoo , yule mwana mama ni kiboko aisehh ana nyota ya umalaya,uzuri,utajir na ya kutembea na wanaume mastaa na wenye pesa zao kasoro kwa ndomo tu ndo kabugi
Linda siyo Mdar es salama yuko zake USA anaendelea na fani yake ya mitindo na ni mke wa Mali Kimeresa. Wala haitaji nyota kama umalaya alishaufanya enzi na kina Mbilia bell sasa kautuliza mpapa kwa mumewe.