Mfahamu kwa undani Zarinah, mwanamke anayezima Nyota ya Wema Sepetu

Sasa kama anauficha umri wake sahihi, kwanza, wewe hilo umelijuaje, na pili, umri wake sahihi ni upi na wewe umeujuaje?

Umri wa mume wa Zari au sijui mumewe wa zamani si umri wa Zari.

Wewe umesema Zari ana miaka 40 na mpaka sasa hujajibu swali langu kuwa umeujuaje umri wake.

Unarukaruka tu kama bata bukini aliyetishwa na vyura.

Watanzania wengi ni wanasiasa.wanatoa comment ukiwaambia thibitisha siasa inaingia
 
Nasikia tayari ana mimba. Chibu jr huyooooo!

Utaambiwa thibitisha ndio utabakia hoi, ila kwakuwa hiyo ni habari njema kwa Maconsevertive hawatakuuliza swali hilo au hautoitwa bata bukini tegemea kupata like za kutosha zikiongozwa na mbeba mabox maarufu.
 
Sikiliza wewe....mwenzio kaandika hivi "Nasikia tayari ana mimba. Chibu jr huyooooo!"

Kasikia. Kusikia si kujua. Vya kusikia havidaiwi ithibati. Vinavyojulikana ndo hudaiwa.

Hata wewe ungesema/ andika kuwa umesikia Zari ana miaka 40 wala nisingekukomalia koo.
 
Yupo vizuri sana huyu Dada kwa vyote .. hongera zake.
 
Sikiliza wewe....mwenzio kaandika hivi "Nasikia tayari ana mimba. Chibu jr huyooooo!"

Kasikia. Kusikia si kujua. Vya kusikia havidaiwi ithibati. Vinavyojulikana ndo hudaiwa.

Hata wewe ungesema/ andika kuwa umesikia Zari ana miaka 40 wala nisingekukomalia koo.

Nimesoma Ivan ana miaka 30 another serengeti boy wa Zari.
 
Mkuu huyu mwana mama namtamani kila siku..ukisikia mwanamke ndio hivyo...
Nasubiria nimuone wema akifikisha umri wa huyo mama jinsi atakavyokuwa

Wema alishauharibu mwili wake na mikorogo na fake chinese booty.

Hawezi kufika umri huo wa Linda akawa na mvuto kama wa Linda sahau hilo kabisa.

Hawa wenzake ni ma-Africast ni rangi zao za kuzaliwa wamezaliwa na rangi za masiah na siyo powered by mkorogo.
 
Zari kuwa na 40 yrs na diamond plutnumz 25 sio tatizo

Kule India akshay Kumar alumuoa rekha na rekha alimzidi akshay Kumar miaka 12
 
Wala hakuna anayesema ni tatizo ila kuna wanaodhani wanaweza kuubadili ukweli huu.

Kwanza mwanamke anapotoka na kijana anayemzidi umri ndio anampa dozi ya uhakika, so exactly anajuwa kwa hakika ni nini anachohitaji kwa mwanaume.

Huyu anahitaji kupigwa pipe kiuhakika ndio maana akikosa mti anajitia madildo mwenyewe.

Kwahiyo usitegemee Zari kutoka na vibabu hana shida navyo yeye anataka ukuni wa uhakika.
 
Sikiliza wewe....mwenzio kaandika hivi "Nasikia tayari ana mimba. Chibu jr huyooooo!"

Kasikia. Kusikia si kujua. Vya kusikia havidaiwi ithibati. Vinavyojulikana ndo hudaiwa.

Hata wewe ungesema/ andika kuwa umesikia Zari ana miaka 40 wala nisingekukomalia koo.
Mkuu umemshika baya huyu kiumbe Matola naona anaruka ruka tuuuu

Anakimbilia kuthibitisha umri wa akina Siti badala ya kuthibitisha umri wa zari
 
Last edited by a moderator:
Wala hakuna anayesema ni tatizo ila kuna wanaodhani wanaweza kuubadili ukweli huu.

Kwanza mwanamke anapotoka na kijana anayemzidi umri ndio anampa dozi ya uhakika, so exactly anajuwa kwa hakika ni nini anachohitaji kwa mwanaume.

Huyu anahitaji kupigwa pipe kiuhakika ndio maana akikosa mti anajitia madildo mwenyewe.

Kwahiyo usitegemee Zari kutoka na vibabu hana shida navyo yeye anataka ukuni wa uhakika.

Kwa hyo unaamansha zari kafata ukuni kwa diamond au kavutiwa na kutaka kuolewa na daimond
 
Soma media za uganda kwanza kuhusu story za Zari ndio utamuelewa kama unamjuwa Zari kupitia Diamond kwa hakika huwezi kumjuwa mama huyu.

Mwanzo alitaka kufanya project na Le Mutuz mshkaji speed yake ikawa ya kobe akapotezewa.
 
Attachments

  • 1421211847359.jpg
    1421211847359.jpg
    77.2 KB · Views: 283
Soma media za uganda kwanza kuhusu story za Zari ndio utamuelewa kama unamjuwa Zari kupitia Diamond kwa hakika huwezi kumjuwa mama huyu.

Mwanzo alitaka kufanya project na Le Mutuz mshkaji speed yake ikawa ya kobe akapotezewa.

Inaweza mwanzo alikua hvyo lakini sasa anaweza badilika sababu ya kunogewa na diamond
 
Mkuu umemshika baya huyu kiumbe Matola naona anaruka ruka tuuuu

Anakimbilia kuthibitisha umri wa akina Siti badala ya kuthibitisha umri wa zari

Ushabiki kwa Wabongo haupo Simba na Yanga tu, upo pia kwa
Makamba na Matonya na City na wamachinga na bila kusahau upinzani wa jadi konda na denti.

Hata wewe unaruhusiwa kuleta ushabiki wako hapa tena ruksa kukata na mauno kabisa.
 
Last edited by a moderator:
tatizo linda hana nyota..zari kaja kwa kasi mnoo , yule mwana mama ni kiboko aisehh ana nyota ya umalaya,uzuri,utajir na ya kutembea na wanaume mastaa na wenye pesa zao kasoro kwa ndomo tu ndo kabugi

Anaomba hela za kumuhonga ndomo?
 
Wala hakuna anayesema ni tatizo ila kuna wanaodhani wanaweza kuubadili ukweli huu.

Kwanza mwanamke anapotoka na kijana anayemzidi umri ndio anampa dozi ya uhakika, so exactly anajuwa kwa hakika ni nini anachohitaji kwa mwanaume.

Huyu anahitaji kupigwa pipe kiuhakika ndio maana akikosa mti anajitia madildo mwenyewe.

Kwahiyo usitegemee Zari kutoka na vibabu hana shida navyo yeye anataka ukuni wa uhakika.

Umejuaje Zari ana miaka 40?
 
Back
Top Bottom