Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Linda siyo Mdar es salama yuko zake USA anaendelea na fani yake ya mitindo na ni mke wa Mali Kimeresa. Wala haitaji nyota kama umalaya alishaufanya enzi na kina Mbilia bell sasa kautuliza mpapa kwa mumewe.
Dada yetu Linda pia yuko over 40 na she looks sex too.
NdioHuyo naye unaujua umri wake?
Yuko Atlanta do ur home work kama uko interested.Umejuaje yuko over 40?
Ndio
Yuko Atlanta do ur home work kama uko interested.
ahahah... nataman kujua historia yake kiundan
I am asking you.
So why are you telling me to do my homework?
We ain't in junior high up in here.
If you know, say so and how. If you don't, zip it.
Hahaha wabongo kwakuthamini vya nje hatujambo,kwao hata hawamtambui, hao mnaowasifia ndo kwanza hata hawana time na sis hata ukienda kwao wanakuona kama omba omba, sasa hivi mtabeba mtapetipet Ila cku akiwageuka na kuwatolea maneno ya dharau mtaona wenyewe mtavyoanza kumshambulia kama nyumbu yote mnayompamba nayo sasa hivi mtayageuza
You start non sence since arlier, namjuwa Linda tangu akiwa O-level am the one niliyeprocess birth certificate yake kwa ajili ya kuomba passport wakati anakwenda Milano Italy in 90's.
By the way wakati anatimiza miaka 40 haikuwa siri alifanya birthday ya aina ya yake kwa ujumbe life start after 40 beibe.
Je Una lingine? Vipi kiduka chake cha Milano hapo Atlanta kilichopo kwenye vimall vya uchochoroni kinapata wateja siku hizi?
Hapana si kweli ni wa 1975.
Jifunze kuandika kwanza una hati chafu.ww mkunga o mzazi wake?
Huyu ana miaka 43 na watoto wanne.
She is very proud of her age na her kids.
Anhaaaaa!! Unaona sasa...?
Hivyo ulivyojibu hapo (iwe kweli ama si kweli), ukiondoa hiyo mipasho yako ndivyo ulivyotakiwa kujibu swali langu kuhusu wewe kuujua umri wa Zari.
Lakini, hamad, hukufanya hivyo.
Kiduka kilishafungwa siku mbona......
weka source km ana miak 43
Kwanza kimantiki nimeleta picha za Linda kuonesha wazi umri siyo ulemavu watu wengi humu wanatamani Zari angetambulishwa ana miaka 22 ili dogo asionekane amepigwa gap kubwa la umri na Zari.
Ukweli ni kwamba Zari ni girlfriend tu wa Diamond having and spending together days of grace lakini hawezi kuwa mkewe huo ndio ukweli.
Kwahiyo hata Zari angekuwa na miaka 60 those are just numbers wapo mademu wana miaka 25 tu na wameshazeeka hata mimi pia siwezi kutoka nao.
Kwahiyo fact ni kwamba umri wa Zari haupunguzi uzuri wake au uzuri wake hauwezi kupunguza umri wake.
Mwisho kwa status ya Zari umri wake wala siyo siri sawa na Diamond mwaka jana kafanya birthday ya kutimiza miaka 25 lakini kujuwa umri wa Diamond haina maana kwanba sisi ndio wazazi wake.
Huyu hapa alishirikiana na wazazi wake kudanganya umri lakini alibanwa na fact na wazazi waliomzaa walishindwa hoja na watu baki ambao hawajamzaa wala kumlea.
Jifunze kuandika kwanza una hati chafu.
Huyu ana miaka 43 na watoto wanne.
She is very proud of her age na her kids.
Wewe siyo size yangu hapa JF. Kwanza ndio kwanza leo nakuona.
Ngonjera nyiiiiiingi lakini bado hujasema umeujuaje umri wa Zari achilia mbali hata kuujua!
Kama una akili timamu utajuwa kwa nini Zari anaficha umri wake sahihi.
Angalia hapa umri wa mume wake Ivan. Huyu ni professional serengenti hunter.