Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,403
- 1,837
Mkuu nimekuelewa achana na huyo CCM akili kaweka tumboni, wanabishana na ukweli.suala la kuzaliwa toka lini likawa la muhimu kujua historia,tatizo ni waandishi wa historia wanaotanguliza njaa zao kama ww kupindisha ukweli kwani ukiwaambia watu kuwa kwenye hili suala hawa watu walipingana kunashida gani? mgonjwa kulikuwa na makundi mawili la freetown na monrovia kila kundi lilikuwa na kiongozi ingwa hawakuchaguliwa rasmi lkn waliyaongoza makundi haya kwa kujenga hoja kutetea maoni yao.