Nnangale
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 2,664
- 1,379
wanao himiza kulipa kodi wakati wao hawalipi na gharama zao za kuishi zinalipwa na ikulu.Wazalendo walioingia madarasani si kama comedy tulizonazo sikuhizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanao himiza kulipa kodi wakati wao hawalipi na gharama zao za kuishi zinalipwa na ikulu.Wazalendo walioingia madarasani si kama comedy tulizonazo sikuhizi
Wote walishindwa, hudhani kwamba kuna kaposibiiti ka falsafa kushinda kama zao zilishindwa zote? Sote tunaungana ktk Afrika moja, ila mbinu ni tofauti za kuiunganisha.kimsingi ww unawapinga wote wawili wao walitaka afrika iungane iwe moja ila kwa njia tofauti ww unaona haiwezekani misri kuwa mkoa kama mbeya.
Hisia hizo pia zinapunguza uwezo wa kujifunza kiuhuru, unaishi kwa yale wengine wanayoyasemea. Unaijua Queen family ya Uingereza na kila kitu ktk maisha yao? Jinsi waishivyo? Hata kingereza bora (RP) huitwa Queen language ujue. Yeye ndiye aliyempa Nyerere Uongozi wa nchi hii, bado yuko hai na bado yuko madarakani ujue? Uzazi wake wote ni watawala wa Uingereza hata wale ambao bado hawajazaliwa pia ni watawala na Duke.wanao himiza kulipa kodi wakati wao hawalipi na gharama zao za kuishi zinalipwa na ikulu.
Sky...![]()
Alizaliwa mwaka 1909 mjini Nkrorful Ghana wakati huo ikiitwa Gold Coast. Hakuna aliyekuwa na elimu katika familia yake enzi hizo. Kwame ni jina wanalopewa watoto wa kiume wanaozaliwa Jumamosi katika mila za Ghana.
Baada ya elimu yake ya awali nchini Ghana mwaka 1935 Nkurumah alisafiri kwenda Pennsylvania USA ambako alisoma Batchelor of Arts, Batchelor of Theology na Masters of Science.
Mwaka 1945 alijiunga na London School of Economics kufanya PhD ya Anthropology
Nitaendelea next week ni ndefu na nzuri sana ila majukumu yamezidi
Asante kiongozi, kwanza nimejifunza tofauti ya umri wa viongozi wapigania uhuru katika kusoma habari za mzee Kwame Nkrumah, Jomo Kenyatta na Kamuzu Banda ndiyo walikuwa age mates wa mr Nkurumah pia kufahamu kwamba mwaka 1945 alipata admission ya kufanya PhD ni habari iliuonitia hamu zaidi ya kumfahu mwana Africa huyu alieanza haraka to za ukombombozi akiwa masomoni MarekaniSky...
Ni ''Nkrumah'' siyo ''Nkurumah.''
Bahati mbaya hukufika mbali kwa kuzingwa na majukumu.
Lakini kwa hali ya mambo yalivyo siku hizi taarifa haisubiri mtu ailete
hapa Majlis.
Mtu akiingia Google kila kitu atakikuta hapo.
Juu hayo mimi nitakusubiri hapa barzani kukusikiliza kuhusu Nkrumah
kwani mimi nimempenda Nkrumah nikiwa labda nina miaka 16 hivi
baada ya kusoma kitabu chake, ''Challenge of the Congo.''
Baada ya hapo ikawa nasoma kila kitabu cha Nkrumah na kufuatilia
maisha yake.
Wakati ule tayari alikuwa kesha pinduliwa na anaishi Guinea ya Sekou
Toure.
Bahati nilikutana na ushawishi wa Nkrumah wakati nafanya utafiti wa
kitabu cha Abdul Sykes.
Mwaka wa 1953 wakati viongozi wa TAA wako katika mipango ya kuunda
TANU walikuwa wanahitaji kuandika katiba ya chama hicho kipya.
Walichokifanya viongozi hawa ilikuwa ni kuchukua katiba ya chama cha
Nkrumah, Convention People's Party (CPP) na kuinakili.
Palipoandikwa CPP viongozi hawa wa TAA waliweka TANU.
(Uongozi wa TAA haukurasimu katiba mpya, katiba ya TANU ilinukuliwa
neno kwa neno kutoka Convention People's Party (CPP) ya Kwame
Nkrumah, kwa kutia TANU mahali pa CPP. Maelezo kutoka kwa Tewa
Said Tewa).
Taarifa hii ya kuwa TANU haikuandika katiba yake bali ilinakili kutoka kwa
CCP imeleta ubishi mkubwa sana hapa Majlis wanaompinga mwandishi wakidai
kuwa katiba ya TANU iliandikwa na Mwalimu Julius Nyerere mwaka wa
1953 baada ya kuchaguliwa kuwa rais wa TAA.
Lakini TANU haikuiga katiba ya Nkrumah peke yake.
TANU na kwa hakika Mwalimu Nyerere walimuiga Nkrumah hata katika mavazi:
![]()
Picha kutoka nakala yangu ya ''The Autobiography
of Kwame Nkrumah,'' (1957)
![]()
Ningependa kuhitimisha kwa kukuwekea masomaji kipande kutoka mswada
wa maisha ya Ally Sykes, ''Under The Shadow of British Colonialism,'' Ally
Sykes akieleza kuhusu Kwame Nkrumah:
''Kwame Nkrumah and the Gold Coast as it was then known had a special place
to us. All of us in TANU including Nyerere were great admirers of Nkrumah on
his stand against colonialism so much so we copied the TANU constitution from
Nkrumah’s Convention Peoples Party (CPP). We also copied Nkrumah’s propaganda
and mass mobilisation style. Nkrumah had great influence in the politics of
Tanganyika. For instance we called TANU members who were jailed as result of their
political activities “prison graduates” after Nkrumah had done so. Robert Makange
and Heri Baghdelleh wrote an article, which the British considered seditious and the
two were sentenced to six months, imprisonment. Baghdelleh and Makange therefore
became TANU’s first prison graduates. The two were editors of TANU paper Mwafrika.
Many politicians in Tanganyika adopted the attire, which was won by Ghanaians during
the struggle, a long robe thrown over one shoulder as their own dress. At that time all
these were symbols of defiance against the British. Nkrumah and Ghana inspired us.''
Sky...

Ni wengi tunaokupenda mkuu
Huyu ndiyo anetufanya tujue mengi katika kuanzishwa kwa TANU. Wazee wengi anaowaongelea walikuwa marafiki wa wazazi wangu, ninafahamu mengi kupitia mzee Mohamed SaidMzee anajua sana huyu kuna kipindi nilikuwa nafuatilia sana website yako sema hai-update mara kwa mara itabidi nitafute maandiko yake nisome zaidi
Nafurahia story za mzee hasa pale anapoandika kwamba alikutana na mtu anayemuelezaHuyu ndiyo anetufanya tujue mengi katika kuanzishwa kwa TANU. Wazee wengi anaowaongelea walikuwa marafiki wa wazazi wangu, ninafahamu mengi kupitia mzee Mohamed Said
Jimmy...Nafurahia story za mzee hasa pale anapoandika kwamba alikutana na mtu anayemueleza
itabidi nitafute vitabu vyake