Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,403
- 1,837
Mkuu nimekuelewa achana na huyo CCM akili kaweka tumboni, wanabishana na ukweli.suala la kuzaliwa toka lini likawa la muhimu kujua historia,tatizo ni waandishi wa historia wanaotanguliza njaa zao kama ww kupindisha ukweli kwani ukiwaambia watu kuwa kwenye hili suala hawa watu walipingana kunashida gani? mgonjwa kulikuwa na makundi mawili la freetown na monrovia kila kundi lilikuwa na kiongozi ingwa hawakuchaguliwa rasmi lkn waliyaongoza makundi haya kwa kujenga hoja kutetea maoni yao.
Unafikiri sijui. Hakuna kitu kinaitwa Freetown group. Wewe vipi?suala la kuzaliwa toka lini likawa la muhimu kujua historia,tatizo ni waandishi wa historia wanaotanguliza njaa zao kama ww kupindisha ukweli kwani ukiwaambia watu kuwa kwenye hili suala hawa watu walipingana kunashida gani? mgonjwa kulikuwa na makundi mawili la freetown na monrovia kila kundi lilikuwa na kiongozi ingwa hawakuchaguliwa rasmi lkn waliyaongoza makundi haya kwa kujenga hoja kutetea maoni yao.
mtu mwenyewe kasoma shule ya kata watoto 200 darasa moja mwl hana nafasi.Mkuu nimekuelewa achana na huyo CCM akili kaweka tumboni, wanabishana na ukweli.
Endeleeni kujipotosha. Sina tatizo na hilo kabisaa.mtu mwenyewe kasoma shule ya kata watoto 200 darasa moja mwl hana nafasi.
kama unajua unabisha nini?Unafikiri sijui. Hakuna kitu kinaitwa Freetown group. Wewe vipi?
Acha kunipotezea muda na mambo ya kilofa lofa.kama unajua unabisha nini?
kama hakuna freetown hilo jingine linaitwaje?kama unajua unabisha nini?
kilofa lofa halafu unapoteza muda,mtaendelea na huu ujinga mpaka mwisho wa dunia umekaa kujibu kila kitu wakati kazi hiyo ya B7 umetafutiwa na shemeji yako,huna unalolijua anyway hata hiyo B7 inakutosha kula kwa dada na kulala sebuleni.Acha kunipotezea muda na mambo ya kilofa lofa.
Wewe endelea kuamini eti ukifa utaenda mbinguni, ha ha ha.kilofa lofa halafu unapoteza muda,mtaendelea na huu ujinga mpaka mwisho wa dunia umekaa kujibu kila kitu wakati kazi hiyo ya B7 umetafutiwa na shemeji yako,huna unalolijua anyway hata hiyo B7 inakutosha kula kwa dada na kulala sebuleni.
Casablanca na Brazzaville groups. Nimekuambia soma historia wewe, sio unajifanya mjuaji huku ni kilaza wa kutupwa.kama hakuna freetown hilo jingine linaitwaje?
Wewe ni mwongo mkubwa.huyo nani hii unaemsema kw mafumbo ametumia mshahara wake kumhudumia nkurumah baada ya kupinduliwa.mpk alipolishwa sumu na kuugua mpk mauti inamkuta.kimsingi nkurumah ndiye aliye mtia hofu nanihii asikubali kuundwa kwa umoja wa afrika kwani ilionekana yy nkurumah alistahili zaidi uongozi wa afrika ikiwa moja kuliko nanihii.
hapo hoja tu walipishana siyo kuwa walikuwa maadui na wote walikuwa wazalendo wa kiafrika hata walipotukanana siyo kwamba walikosana ni namna ya kutaka kueleweka ili kukubalika.Wewe ni mwongo mkubwa.huyo nani hii unaemsema kw mafumbo ametumia mshahara wake kumhudumia nkurumah baada ya kupinduliwa.mpk alipolishwa sumu na kuugua mpk mauti inamkuta.
Acha stori za kijiweni, zile ni filosofi. Wote walikuwa na falsafa moja ya Africa moja, ktk namna ya kuianzisha ndo mbinu zikawa tofauti. Kwani wewe unaonaje, ingewezekana kwa misri kuwa mkoa wa nchi moja ya Africa na ukawa kama Mbeya ktk Tz? Muungano wetu wenyewe panachimbika achilia mbali uunguja na upemba unaoendelea, sembuse liafrika zima. So it was a filosofi.kimsingi nkurumah ndiye aliye mtia hofu nanihii asikubali kuundwa kwa umoja wa afrika kwani ilionekana yy nkurumah alistahili zaidi uongozi wa afrika ikiwa moja kuliko nanihii.
Afadhali na wewe umempa somo huyu jamaa.Acha stori za kijiweni, zile ni filosofi. Wote walikuwa na falsafa moja ya Africa moja, ktk namna ya kuianzisha ndo mbinu zikawa tofauti. Kwani wewe unaonaje, ingewezekana kwa misri kuwa mkoa wa nchi moja ya Africa na ukawa kama Mbeya ktk Tz? Muungano wetu wenyewe panachimbika achilia mbali uunguja na upemba unaoendelea, sembuse liafrika zima. So it was a filosofi.
Vitabu vipo, mtu anatoa hoja zake unamuelewa kabisa. Tena ningekuwa mimi ningesema live, ziundwe kwanza nyanda mbili, kaskazini mwa jangwa la sahara na kusini, then baadae tuziunganishe. Isingewezekana kwa nchi zile kuwa Pamoja hakika. Mfano ni mmegeko wa Sudan, Afrika ilikuwa imegawanyika vibaya sana.Afadhali na wewe umempa somo huyu jamaa.
kimsingi ww unawapinga wote wawili wao walitaka afrika iungane iwe moja ila kwa njia tofauti ww unaona haiwezekani misri kuwa mkoa kama mbeya.Acha stori za kijiweni, zile ni filosofi. Wote walikuwa na falsafa moja ya Africa moja, ktk namna ya kuianzisha ndo mbinu zikawa tofauti. Kwani wewe unaonaje, ingewezekana kwa misri kuwa mkoa wa nchi moja ya Africa na ukawa kama Mbeya ktk Tz? Muungano wetu wenyewe panachimbika achilia mbali uunguja na upemba unaoendelea, sembuse liafrika zima. So it was a filosofi.
hao huwezi linganisha na kagame au mseveni au nkamia hao walikuwa wazalendo wa kweli.Acha stori za kijiweni, zile ni filosofi. Wote walikuwa na falsafa moja ya Africa moja, ktk namna ya kuianzisha ndo mbinu zikawa tofauti. Kwani wewe unaonaje, ingewezekana kwa misri kuwa mkoa wa nchi moja ya Africa na ukawa kama Mbeya ktk Tz? Muungano wetu wenyewe panachimbika achilia mbali uunguja na upemba unaoendelea, sembuse liafrika zima. So it was a filosofi.
Kuna tofauti kidogo hapo. Viongozi waliounda kundi la Monrovia na kundi la Brazzaville walitaka mataifa ya kiafrica yasiungane bali yashirikiane. Viongozi waliokuwa kundi la Casablanca, na ambao walikuwa na mrengo wa siasa kali, walitaka Africa iungane na kuwa taifa moja. Baada ya majadiliano walikubali wote kuungana na kuunda umoja wa nchi za kiafrica OAU (Organisation of African Unity); May 1963 Addis Ababa, Ethiopia (mwanzoni ilikuwa nchi 23 tu). OAU ilibadilika na kuwa African Union (AU) kufuatia mkataba wa Abuja 1991. Hayo mambo sijui Nyerere aliogopa Nkrumah atakuwa rais wa Africa ni hadithi za vijiweni. Kumbuka Nyerere alikuwa tayari kungoja kupata uhuru wa Tanganyika kama hiyo ingeharakisha uhuru wa Uganda na Kenya ili nchi hizi ziungane.kimsingi ww unawapinga wote wawili wao walitaka afrika iungane iwe moja ila kwa njia tofauti ww unaona haiwezekani misri kuwa mkoa kama mbeya.
Alizaliwa mwaka 1909 mjini Nkrorful Ghana wakati huo ikiitwa Gold Coast. Hakuna aliyekuwa na elimu katika familia yake enzi hizo. Kwame ni jina wanalopewa watoto wa kiume wanaozaliwa Jumamosi katika mila za Ghana.
Baada ya elimu yake ya awali nchini Ghana mwaka 1935 Nkurumah alisafiri kwenda Pennsylvania USA ambako alisoma Batchelor of Arts, Batchelor of Theology na Masters of Science.
Mwaka 1945 alijiunga na London School of Economics kufanya PhD ya Anthropology
hao huwezi linganisha na kagame au mseveni au nkamia hao walikuwa wazalendo wa kweli.