siyo masihara.... na wala siongelei ushabik namkubal jet Lee pia hata Don yen. ila mi naongea nachojua hata maana kwa wataaram wa mashorat wanakwambia Don yen anatumia skill kubwa kulko jet leeacha masihara umeisoma thread vyema au waongea kwaajili ya mapenzi ...mtu alikuwa bingwa ..wa mapigano kuanzia China nzima mpaka Asia nzima ...na kuchaguliwa na raisi ili awe Mlinzi wake "" halafu bado unasemaje ...."" unapaswa kuleta CV za don hapa...kama alivyo Fanya mtoa mada kwa jet...sio kupinga bila tafiti mkuu""
ok pw tuishie tu hapakina nani hao ...acha masihara basiiii..mkuu
inakupasa ulete " reference zake hapa...jooh "" hii ni Jf watu huwa hawaongei ya mdomoni tu...."" ndio maana nikakushauri ufanye kama Alivyofnya mtoa mada...ili kututoa tongo tongo sisi ambao tunaamini kuwa jet ni balaa..."" binafsi mimi naamini hivyo ..so ni prove wrong basii kwa factsiyo masihara.... na wala siongelei ushabik namkubal jet Lee pia hata Don yen. ila mi naongea nachojua hata maana kwa wataaram wa mashorat wanakwambia Don yen anatumia skill kubwa kulko jet lee
sawaok pw tuishie tu hapa
dah kuna mwamba ananibishia yaan dahDon Yen ndio mnyama, kwanza movies zake zote kali tu balaa
ok pw mkuu maelezo bila ushahd ni Kazi Bure.. nimekuelewa.inakupasa ulete " reference zake hapa...jooh "" hii ni Jf watu huwa hawaongei ya mdomoni tu...."" ndio maana nikakushauri ufanye kama Alivyofnya mtoa mada...ili kututoa tongo tongo sisi ambao tunaamini kuwa jet ni balaa..."" binafsi mimi naamini hivyo ..so ni prove wrong basii kwa fact
Na hapa ndo utajua kuwa kumbe kuna wakati pesa si kituAnasumbuliwa na ugonjwa wa uti wa mgongo,lakini sio serious kivile,
pia jetlee alishakuwa mzee,na ana kipara sikuhizi ukikutana nae unaweza usimjue,
means career yake ndo ishafika mwisho kwani yale madoido na kashikashi hawezi tena,
NOTHING IS PERMANENT
Pamoja chief ..."" karibu sanaok pw mkuu maelezo bila ushahd ni Kazi Bure.. nimekuelewa.
hahaadah kuna mwamba ananibishia yaan dah
Jet li is better than..dah kuna mwamba ananibishia yaan dah
Donnie Yen ni kiumbe mwingine asee!!
kwahiyo unaweza kumpiga Li kama utapewa ulingo?Jet Li movie zake fiction sana, karate za uwongo sana, kiboko yake ni don yen, akipiga ngumi unaona kabisa kaitoa wapi, unaweza kupata kate mbili tatu, lakin sio kwa jet li
Kuna ile yaitwa CLAW OF STEEL ambayo Jet Li alisalitiwa na ndugu yake akajiunga maaduiUnaifahamu The Legend of Shaolin?
Ah we jamaa embu kuwa serious bana.Jet Li movie zake fiction sana, karate za uwongo sana, kiboko yake ni don yen, akipiga ngumi unaona kabisa kaitoa wapi, unaweza kupata kate mbili tatu, lakin sio kwa jet li
Kuna kipande kipya wametoa Mwaka huu,wakiwa na tajir jack ma(alibaba),donie yen,wu jingMiaka 55 si umri wa kuzeeka kwa huko mambele
Movie ina mkono hiyo hatariKuna ile yaitwa CLAW OF STEEL ambayo Jet Li alisalitiwa na ndugu yake akajiunga maadui
Nilikuja kuitafuta hivi karibuni sikuipata yaani, dahMovie ina mkono hiyo hatari