Mfahamu Li lianje [Jet Li] legendary wa muvi anayeteseka na ugonjwa miaka 10

acha masihara umeisoma thread vyema au waongea kwaajili ya mapenzi ...mtu alikuwa bingwa ..wa mapigano kuanzia China nzima mpaka Asia nzima ...na kuchaguliwa na raisi ili awe Mlinzi wake "" halafu bado unasemaje ...."" unapaswa kuleta CV za don hapa...kama alivyo Fanya mtoa mada kwa jet...sio kupinga bila tafiti mkuu""
siyo masihara.... na wala siongelei ushabik namkubal jet Lee pia hata Don yen. ila mi naongea nachojua hata maana kwa wataaram wa mashorat wanakwambia Don yen anatumia skill kubwa kulko jet lee
 
inakupasa ulete " reference zake hapa...jooh "" hii ni Jf watu huwa hawaongei ya mdomoni tu...."" ndio maana nikakushauri ufanye kama Alivyofnya mtoa mada...ili kututoa tongo tongo sisi ambao tunaamini kuwa jet ni balaa..."" binafsi mimi naamini hivyo ..so ni prove wrong basii kwa fact
 
ok pw mkuu maelezo bila ushahd ni Kazi Bure.. nimekuelewa.
 
Anasumbuliwa na ugonjwa wa uti wa mgongo,lakini sio serious kivile,
pia jetlee alishakuwa mzee,na ana kipara sikuhizi ukikutana nae unaweza usimjue,
means career yake ndo ishafika mwisho kwani yale madoido na kashikashi hawezi tena,
NOTHING IS PERMANENT
Na hapa ndo utajua kuwa kumbe kuna wakati pesa si kitu
 
Donnie Yen ni kiumbe mwingine asee!!

Huyo jamaa kiuhalisia alishawi kuwapiga watu 8 kwa wakati mmoja. Hiyo habari niliisoma kwenye mtandao wa Wachina wenyewe. Miongoni mwa hao 8 walikuja kubebwa na Ambulance.
 
Jet Li movie zake fiction sana, karate za uwongo sana, kiboko yake ni don yen, akipiga ngumi unaona kabisa kaitoa wapi, unaweza kupata kate mbili tatu, lakin sio kwa jet li
 
kwahiyo unaweza kumpiga Li kama utapewa ulingo?
 
Jet Li movie zake fiction sana, karate za uwongo sana, kiboko yake ni don yen, akipiga ngumi unaona kabisa kaitoa wapi, unaweza kupata kate mbili tatu, lakin sio kwa jet li
Ah we jamaa embu kuwa serious bana.

Don ni muongo sana tu.
 
Miaka 55 si umri wa kuzeeka kwa huko mambele
Kuna kipande kipya wametoa Mwaka huu,wakiwa na tajir jack ma(alibaba),donie yen,wu jing

Kinaonyesha muonekano wa sasa wa huyu mwamba,ni mtu mzima sasa.
 
Back
Top Bottom