Eminem jr
JF-Expert Member
- May 21, 2018
- 2,003
- 4,584
siyo masihara.... na wala siongelei ushabik namkubal jet Lee pia hata Don yen. ila mi naongea nachojua hata maana kwa wataaram wa mashorat wanakwambia Don yen anatumia skill kubwa kulko jet leeacha masihara umeisoma thread vyema au waongea kwaajili ya mapenzi ...mtu alikuwa bingwa ..wa mapigano kuanzia China nzima mpaka Asia nzima ...na kuchaguliwa na raisi ili awe Mlinzi wake "" halafu bado unasemaje ...."" unapaswa kuleta CV za don hapa...kama alivyo Fanya mtoa mada kwa jet...sio kupinga bila tafiti mkuu""