Mfahamu marehemu Sheikh Ali Muhsin Barwani (1919 - 2006)

Mfahamu marehemu Sheikh Ali Muhsin Barwani (1919 - 2006)

crabat,
Huyo ni Baraka Shamte siyo Bakari Shamte.

Baraka Shamte ni mtoto wa Sheikh Mohamed Shamte aliyekuwa
Waziri Mkuu Zanzibar ambae alipnduliwa na yeye akaja kufungwa
Ukonga Prison, Dar es Salaam.

Habari zake ni nzito kada huyu wa ASP na CCM.
Nakuombeni wanajamvi muwe na subira.

Nimefanya mahojianonae nyumbani kwake Mkunazini Zanzibar nikiwa
na TV Imaan.

Subirini hivi karibuni TV yetu itakuwa hewani kupitia Startime In Sha
Allah mtamsikie yeye mwenyewe akijieleza.

Picha hiyo hapo chini tukiwa katika majadiliano:
ALI+MUHSIN%252C+KARUME+BABU%252C+SHAMTE.jpg

Sheikh Mohamed Shamte

20121124_144923.jpg

Mzee mohamed lini mtaanza star times ? Mna mpango na ving'amuzi vingine ? Km hakuna nijiandae na star times .. nataka nisikose program yko .
 
help please difference between syndrome and disease @ mdondoaji

Did you mean that you wanted to know the difference between a syndrome and a disease or the disease called Mswahili syndrome???

To provide you with the answers see below:
Noun:

1.

Pathology, Psychiatry.
a group of symptoms that together are characteristic of a specific disorder,disease, or the like.


2.a group of related or coincident things, events, actions, etc.

3.the pattern of symptoms that characterize or indicate a particular social condition.

4.a predictable, characteristic pattern of behavior, action, etc., that tends to occur under certaincircumstances: the retirement syndrome of endless golf and bridge games; the feast-or-famine syndrome of bigbusiness.

A disease is :-

a disordered or incorrectly functioning organ, part, structure, or system of the body resulting from the effect of genetic or developmental errors, infection, poisons, nutritional deficiency or imbalance, toxicity, or unfavorable environmental factors; illness; sickness; ailment.
2.
any abnormal condition in a plant that interferes with its vital physiological processes, caused by pathogenic microorganisms, parasites, unfavorable environmental, genetic, or nutritional factors, etc.
3.
any harmful, depraved, or morbid condition, as of the mind or society: His fascination with executions is a disease.
4.
decomposition of a material under special circumstances: tin disease.



The red coloured print is what I meant which in short it is psychological condition which some of our fellow Tanzanians have to their fellow Tanzanians, that every muslim in Tanzania is mswahili simply because of his belief. Similarly that mswahili belief is closely associated with the attitude of believing that muslims are uneducated, inexperience and who knows nothing except drinking coffee and marrying many wives. Therefore, if you think you have that attitude and racial thinking be sure you are suffering from Mswahili Syndrome. It is important you change your thinking attitude.
 
Barubaru,
Mwanakijiji anaogopa kupiga mbizi aibuke na lulu.

Kote alikopita kanikopi ila kwa ujanja ambao mtu kama wewe huwezi kuzugika.
Anatumia maneno ''mzee,'' bila kujua.

Nyerere alikuwa mkubwa kwa Abdul Sykes kwa miaka miwili.

Nyerere alipokutana na Abdul Sykes Abdul alikuwa na miaka 28 na Nyerere
alikuwana miaka 30 wote walikuwa vijana sana.

Sasa hii ya ''mzee,'' sijui kaitoa wapi.

Katika kuileta TAA katika mikono ya vijana walikuwapo wazee nao ni Sheikh
Hassan bin Amir, Schneider Abdillah Plantan
na Clement Mohamed Mtamila,
Said Chamwenyewe na wengineo.


Hawa ndiyo walikuwa wazee.

Dk Kyaruzi hakukaa sana katika uongozi wa TAA.

Kuna mambo mimi sikuyaweka kwenye kitabu kwa ajili ya staha.

Liko sakata la Amri Kweyamba wa Special Branch na timu yake walipovamia
nyumba ya Abdul Sykes na Nyerere yuko ndani Mtaa wa Sikukuu.

Ilibidi Nyerere ajifiche asikutwe pale.

Mwache Mwanakijiji abwabwaje hana moja anolojua.

Sina haja ya kuendelea zaidi na mtu huyu nilishamuwia radhi siku nyingi sana.
Nilimwambia mwandikieni kitabu Nyerere ndiyo mtaweza labda kumnusuru.

Msipamchike na sifa zisizokuwa zake.
Mtachekesha.

Barubaru,
Hilo ni gazeti la juma lilopita la jana sijui kasema nini maana sinalo.

Sheikh Mohamed Said,

Nasubiri sheikh majibu ya maswali yangu. Ninajua una maji ya kukata kiu yangu ya kujua. Tafadhali sheikh wangu ukipata wasaa nijibu.
 
Nafaidika sana na namna ya history unavyoiweka sawa.. Sijui umepata kulisikia hili jina la Said Soud , kule kwetu kaskazini Unguja akisifika sana na nafikiri ni royal family ya wakati ule au mmoja wa viongozi wa serikali kabla ya mapinduzi. Sifa zake inaonekana hazikuwa nzuri, lakini nimeshindwa kupata information madhubuti juu yake. Ningelifurahi kama ungenisaidia kwa profile yake aliesifika kwa jina la "mpendwa ma wengi".
 
Jabali Sheikh Mohammed Said tupe zaidi vitu vya huyu bwana mkubwa ni muda mrefu umepita bwana wangu. Na nataraji umzima wa afya tangu tulipokutana kwenye kijiwe wanywa kahawa pale kariakoo ramadhani tukafuturu pamoja. Nilifarijika sana kukuona umzima wa afya na endelea kutusomesha.
 
Napenda sana hadith za mohamed said,barubaru na kuna mzee mwingine nimemsahau jina, hadith zenu zinatufundisha mengi sana na ningependa kujua khabari nyingi nyingine ambacho kinanitatiza ni kwann hadith hizi zinakwenda na udini?
 
OcSRAcX3avvAdky9cfhgg9s4aeRanuTeQ8BP1cQXR2hT=w319-h480-no


Sheikh Ali Muhsin Barwani
(1919 - 2006)


Sheikh Ali Muhsin Barwani wakati wa kupigania uhuru wa Zanzibar alikuwa kiongozi wa Zanzibar Nationalist Party (ZNP) vilevile chama hiki kikijulikana kama Hizbu.

Kwa mapenzi makubwa wanachama wa Zanzibar walikuwa wanamwita, "Zaim" yaani Kiongozi. Ilikuwa nia ya Sheikh Ali Muhsin Zanzibar ipiganie uhuru wake chini ya chama kimoja cha kizalendo chenye nguvu chama cha kitaifa badala ya vyama vilivyojijenga katika misingi ya rangi.

Ilikuwa pigo kubwa sana kwake Abeid Amani Karume alipoasisi Afro Shirazi Party, chama kilichosimama kwa maslahi ya Waafrika na Washirazi. Sheikh Ali Muhsin alipigania uhuru wa Zanzibar mpaka ukapatikana tarehe 10 December 1963.

Sheikh Ali Muhsin alishiriki katika mkutano wa katiba Lancaster House. Baada ya mapinduzi yaliyotokea Zanzibar tarehe 12 Januari 1964 Sheikh Ali Muhsin alikamatwa na kusafirishwa Tanganyika ambako alifungwa Ukonga na jela nyingine kwa kipindi cha miaka 10 na miezi michache.

Katika kipindi alichokuwa kifungoni Sheikh Ali Muhsin aliandika miswada kadhaa ambayo alikuja kuichapa kama vitabu baada ya kutoka kifungoni.

Kabla hajafa mwaka 2006 Sheikh Ali Muhsin aliandika kitabu cha maisha yake, ''Conflict and Harmony in Zanzibar,'' ambacho kilikuja kufasiriwa kama ''Kujenga na Kubomolewa Zanzibar.''

Katika kitabu hiki cha maisha yake Sheikh Ali Muhsin anaeleza yaliyopitika Zanzibar kabla na baada ya mapinduzi. Baada ya kushindwa kupata pasi ya kusafiria, Sheikh Ali Muhsin alitoroka nchini mwaka 1974.

Hadi anafariki siku zote Sheikh Ali Muhsin alikuwa akisema yale hayakuwa mapinduzi bali mavamizi.


Ingia hapa kusikiliza kipindi: Skh Ali Muhsin Barwan - Mohamed Said
 
Asante mwalimu Kwa Historia nzuri.
Historia km hizi zinafaa Kuhifadhiwa kwa ajili ya kizazi kijacho.
 
Shukran sana mudeer kwa bayana nzuri kama hii?

Je alipotoroka alikimbia kwenda nchi gani?

Na kifo chake kimetokea huko huko alikokimbilia au hapa hapa nchini?

Shukran.
 
Big Show ingia ktk blog Mohamed Said kuna kipindi nimefanya kuhusu Sheikh Ali Muhsin.
Mohamed katika maandishi yako kuhusu wapigani uhuru wa nchi hii wasiotajwa,umetilia mkazo sana watu
wa pwani.Huko bara kuna watu walifanya makubwa kumuwezesha Nyerere.Kwa kuanzia tafiti juu ya mabibi hawa,Fatna binti Mursali wa Arusha na dada yake Hawa binti Feruzi wa Singida uone ukweli uliofichwa.
 
Back
Top Bottom