Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #61
Mohamed katika maandishi yako kuhusu wapigani uhuru wa nchi hii wasiotajwa,umetilia mkazo sana watu
wa pwani.Huko bara kuna watu walifanya makubwa kumuwezesha Nyerere.Kwa kuanzia tafiti juu ya mabibi hawa,Fatna binti Mursali wa Arusha na dada yake Hawa binti Feruzi wa Singida uone ukweli uliofichwa.
Kweli MS, hata tukijenga mlingoti(Tower) wakenda juu !! nishaondoa khofu....Zamiluni Zamiluni,
Umri unakwenda na kadar.
Ondoa hofu.
Allah anasema hata ukijificha kwenye ngome mauti yatakufika.
Mohamed katika maandishi yako kuhusu wapigani uhuru wa nchi hii wasiotajwa,umetilia mkazo sana watu
wa pwani.Huko bara kuna watu walifanya makubwa kumuwezesha Nyerere.Kwa kuanzia tafiti juu ya mabibi hawa,Fatna binti Mursali wa Arusha na dada yake Hawa binti Feruzi wa Singida uone ukweli uliofichwa.
Mohamed katika maandishi yako kuhusu wapigani uhuru wa nchi hii wasiotajwa,umetilia mkazo sana watu
wa pwani.Huko bara kuna watu walifanya makubwa kumuwezesha Nyerere.Kwa kuanzia tafiti juu ya mabibi hawa,Fatna binti Mursali wa Arusha na dada yake Hawa binti Feruzi wa Singida uone ukweli uliofichwa.
ukweli uliofichwa? nani anauficha? sema ukweli ambao wenyewe hawataki kuandika
jMali,
Sidhani kama hilo swali umeuliza ukitegemea upate jibu kutoka kwetu.
Nasema hivyo kwa kuwa jibu lake liko wazi mno.
ukweli umefichwa na nani? kuna mtu yoyote aliandika kitabu kwa mfano juu ya huyo bi Mursali wa Arusha, halafu ikatokea mamlaka ikapiga marufuku kitabu?
Dada yangu wa imani, bi Hawa na mswaki wake wa mdaa ni mdogo wake nyanya 'angu 'mzaa baba yangu,hatma yake nitaileta pundeNnamjuwa sana huyu bi Hawa bint Feruzi wa Singida, niliwahi kumtaja katika mijadala humu JF zamani sana. Alikuwa ni rafiki mpenzi wa Marehemu bibi ya mume wangu nae pia akiitwa Bi Hawa.
Bibi huyu wa Singida nnamkumbuka sana sauti yake nyembamba na ya upole, huku akitetema tetema uzeeni na meno yake ya mdaa.
Naam, alikuwa ni mwana harakati wa Singida toka enzi ya mkoloni.
Mwenyeezi Mungu amghufirie na ampe rehma zake na amuingize peponi Bibi yetu huyu.
Machozi yanantoka.
Umenipeleka mbali sana.
Dada yangu wa imani, bi Hawa na mswaki wake wa mdaa ni mdogo wake nyanya 'angu 'mzaa baba yangu,hatma yake nitaileta punde