Mfahamu Mark Zukerberg, Mmiliki wa Facebook, Instagram na WhatsApp

Mfahamu Mark Zukerberg, Mmiliki wa Facebook, Instagram na WhatsApp

Mark bwana nadhani ile ulikuwa ni mtego ili hasiingizwe kwenye mijadala ya uwepo wa Mungu ndo maana alisema ,I'm atheism
 
Huyo jamaa hata angekua bongo angeishia kudharauliwa tu, huku bongo mtaji ni cheti na title kama Prof, Dr n.k ndio maana vijana wanakariri kupata hizo sifa sio ujuzi.. haya huyo hana cheti lakini si ajabu aliaminiwa na watu mpaka na serikali yake.
 
Hana bodyguard anatembea huru kabisa sio kama hawa ma celebrity wa bongo pesa kidogo tu bodyguards uchwara 10 [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hiyo ilikuwa ni zamani sana.

Sasa hivi anatembea na 16 security guards.

Yaani mtu mwenye networth ya $56bilns USD atembee bila walinzi? hapana
 
Hiyo ilikuwa ni zamani sana.

Sasa hivi anatembea na 16 security guards.

Yaani mtu mwenye networth ya $56bilns USD atembee bila walinzi? hapana

Naona hata hapa yuko nao huko Alabama recently. Me siwaoni can you spot them?
0ee93bf2ec03217ca54fd868d33d91fb.jpg
 
Back
Top Bottom