Candyscorpion
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 763
- 780
Mkuu ukiandaa unitagi ([emoji23] [emoji23] [emoji23] )mana bila tag stori hainogi!!Namba 5 daa!
Ila dogo anakiburi ni balaa
Kuna movie na kitabu kinachoelezea jinsi alivyogundua Facebook, it was accidental tena kwa mawazo ya watu wengine ndo aliyatumia kufanya kazi, yaani he had something lakini alikuwa hajui wala hana wazo mpaka pale certain guys walipomwita wakamwambia kuwa wanawazo waungane watengeneze something like hiyo social network mark kakubali kawasoma mawazo then___ (daa ndefu sana ngoja ntamwandikia thread).