Mfahamu Mark Zukerberg, Mmiliki wa Facebook, Instagram na WhatsApp

Bongo hata uvumbue nini huwi billionaire ng'oo....

Situation tells
 

- Mkuu umedanganywa sana huyu ni shareholder tu na front, lakini wenyewe behind ni CIA, FBI, Mossad, M16. hii mitandao imewarahisishia kuwakamata wanaowatafuta kwa makosa ya kuvunja sheria huko kwao.

le Mutuz
 
Namba 5 daa!

Ila dogo anakiburi ni balaa

Kuna movie na kitabu kinachoelezea jinsi alivyogundua Facebook, it was accidental tena kwa mawazo ya watu wengine ndo aliyatumia kufanya kazi, yaani he had something lakini alikuwa hajui wala hana wazo mpaka pale certain guys walipomwita wakamwambia kuwa wanawazo waungane watengeneze something like hiyo social network mark kakubali kawasoma mawazo then___ (daa ndefu sana ngoja ntamwandikia thread).
 
Haamin kuna Mungu na ni tajiri,,sisi tunaoamini Mungu Maskin wa kutupwa
 
Ingekuwa yupo bongo watu wangeanza kusema ana pesa za majini au freemason ndio maana havai vizuri nk
 
Zuck inasemekana anajiandaa na political career, hizo picha zote ni staged anatembea na pro photographers kadhaa kila sehemu na ana watu kama 10 ambao wanamsaidia kuandika post zake za social media.
Facebook imetumia zaidi ya dola million 16 kwa ajili ya ulinzi wake ndani ya miaka mitano.
Pia hiyo kukubali dini inaweza ikawa ni gia ya kisiasa maana marekani hawawezi kumchagua Atheist kuwa raisi.

Huyu kiumbe ni hatari sana, alipokuwa anajipendekeza kwa serikali ya China iruhusu FB kutumika ndani ya China (iko blocked) moja ya vituko alivyofanya ni kumwomba raisi wa China ndo ampe jina mtoto wake wa kwanza alipozaliwa, Xi Jinping akakataa. Jamaa hana limit kwenye ambition zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…