Mfahamu mdudu Kantangaze (Tuta absoluta)

Kuna kitu nataka kujua kuhusu huyu mdudu kantangaze.. Je nikiwa niko katikati ya msitu sijazungukwa na mkulima mwingine yeyote yaan ful pori alafu hapo katikati ya pori ndio mm nalima heka zangu za nyanya je huyu mdudu anaweza nipata??
Utakuwa umepona. Na nyanya inapenda shamba la pekee hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…