Pierreeppah
JF-Expert Member
- Feb 2, 2014
- 1,563
- 1,982
Utakuwa umepona. Na nyanya inapenda shamba la pekee hivoKuna kitu nataka kujua kuhusu huyu mdudu kantangaze.. Je nikiwa niko katikati ya msitu sijazungukwa na mkulima mwingine yeyote yaan ful pori alafu hapo katikati ya pori ndio mm nalima heka zangu za nyanya je huyu mdudu anaweza nipata??