Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Wazalendo mwishoni wanastuka hawana kitu na siku za kustaafu zinakaribia kwa shingo upande inabidi wajiongeze tu. Hizi nchi tatizo ni umaskini tu.1984 mkuu, alikuwa ndiye Mkurugenzi wa CDA na walisimamishwa kazi kwa upotevu wa karibu 20$ mil kama sijakosea, kesi uso ilikuja kwisha kipindi cha mwinyi na wakatimuliwa , mijengo yake ipo pale Dom karibu na SIDO na ukumbi pale Makole karibu na CBE