Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Wazalendo mwishoni wanastuka hawana kitu na siku za kustaafu zinakaribia kwa shingo upande inabidi wajiongeze tu. Hizi nchi tatizo ni umaskini tu.1984 mkuu, alikuwa ndiye Mkurugenzi wa CDA na walisimamishwa kazi kwa upotevu wa karibu 20$ mil kama sijakosea, kesi uso ilikuja kwisha kipindi cha mwinyi na wakatimuliwa , mijengo yake ipo pale Dom karibu na SIDO na ukumbi pale Makole karibu na CBE
Sawa Babu nitakuwa na heshimaShusha shikamoo Kama kumi tafadhali Mkuu. Nakuzidi Sana
Halafu watoto wanakuja wanatukana watu tu simply yupo na Mb za kukopa.Marahaba. Niko mid-fifties
Mabere Marando huyu wa TISS na NCCR Mageuzi amefariki lini? sina taarifa za kifo chakeumeandika uongo.
Shahidi X = Waziri Augustine Mahiga (ameshakufa 2021 na mwili umeoza)
Shahidi Y = Mabele Marando (ameshakufa 2022 na mwili umeoza)
Mzee Mohamed Said ni mbobezi wa historia za uhuru wa nchi hii na za miaka mingi ya nyuma sio hizi za juzi juzi tu hizi zinatiwa taarifa au kwa lugha ya vijana wa sasa habari ndio hiyoPascal Mayalla na Mohamed Said na wana history wengine njooni huku