Mfahamu mfanyabiashara na bilionea Kinjekitile Kingunge Ngombare Mwiru

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
539
Reaction score
644
Wakuu samahani kwa muda mrefu nimekua nimesikia jina la huyu bilionea anayeitwa kinje mtoto wa mwanasiasa aliyestaafu CCM mzee Kingunge Ngombare Mwiru.

Nasikia ni tajiri kupindukia na biashara zake hazijulikani hasa ni zipi ntashukuru endapo nitapata wasifu wake..
 
Mbona hukuwa kumuulizia b4 baba ake hajaondoka CCM??? Acha ulimbukeni ongea mambo ya msingi. Kama unahitaji kujua si umtafute umuulizeee??? Una elimu gani kwanza wewe???

Mbona mkali wewe.Na wewe ni mmoja wao bila shaka.
 
Mzee hajawahi kupindika wala kupata ajali, ya kupindukia umeyatoa wapi? Mnaanza kumchokonoa kisa kawahama?
Mtajiju!!

Mgt kasema ni contractor kwa madiba!!
 
Mnamchafua Ridhiwan kwa sababu na matashi ya kisiasa so vema chuki imepitiliza hadi kuzusha mambo juu ya maisha ya watu
 
hana mkwanja wa maana, ni bishoo tu fulani wa mjini, alikuwa na kijitenda cha kukusanya ushuru wajanja wamepita nacho naona dingi yake kaamua kusala.
 
Mbona hukuwa kumuulizia b4 baba ake hajaondoka CCM??? Acha ulimbukeni ongea mambo ya msingi. Kama unahitaji kujua si umtafute umuulizeee??? Una elimu gani kwanza wewe???

Kingunge kaondoka ndio maswali yanaanza subili wiki moja kabla ya uchaguzi miraji akihamia huku TOROKA UJE nadhani utatuuliza tena ujinga kama huu
 
Elimu sio tatizo hata elimu ya mywere white ni tofauti na marock.marock no dakta mnyre whte ni elimu ya watafuta ajira mitaani
 
Mbona hukuwa kumuulizia b4 baba ake hajaondoka CCM??? Acha ulimbukeni ongea mambo ya msingi. Kama unahitaji kujua si umtafute umuulizeee??? Una elimu gani kwanza wewe???

Usiumize kichwa,huyu ni kutoka kituo cha masaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…