Ungekua smart ungetaja hizo biashara mkuu!
Wewe sasa si umfuate huyo Ridhwani na muulize biashara zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekua smart ungetaja hizo biashara mkuu!
naona hali ya hewa imechafuka hehehee
Wakuu samahani kwa muda mrefu nimekua nimesikia jina la huyu bilionea anayeitwa kinje mtoto wa mwanasiasa aliyestaafu CCM mzee Kingunge Ngombare Mwiru.
Nasikia ni tajiri kupindukia na biashara zake hazijulikani hasa ni zipi ntashukuru endapo nitapata wasifu wake..
He heeeee kidogo sana!
Ni mkulima hodari wa mahindi,ana mashamba kibaigwa,anapovuna hukoboa/kusaga unga wa mahindi anauza S/Africa..ni biashara yake ya muda mrefu sana..
Wakuu samahani kwa muda mrefu nimekua nimesikia jina la huyu bilionea anayeitwa kinje mtoto wa mwanasiasa aliyestaafu CCM mzee Kingunge Ngombare Mwiru.
Nasikia ni tajiri kupindukia na biashara zake hazijulikani hasa ni zipi ntashukuru endapo nitapata wasifu wake..
Wakuu samahani kwa muda mrefu nimekua nimesikia jina la huyu bilionea anayeitwa kinje mtoto wa mwanasiasa aliyestaafu CCM mzee Kingunge Ngombare Mwiru.
Nasikia ni tajiri kupindukia na biashara zake hazijulikani hasa ni zipi ntashukuru endapo nitapata wasifu wake..
biashara zake ni kama za Ridhiwani Kikwete
sijawah sikia huyo bilionea
Inawezekana kweli hujamsikia kwani yeye hutumia wasanii wa fleva kumbebea madudu yake akishirikiana na kina Ruge wa clouds FM.
shika adabu yako ni NZOWA sio NzoaGodfrey-Nzoa, anaweza kuwa na habari zake.